Mr noble
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 623
- 550
Hahaa ushawai kuchaguliwa mchumba?Weeeee usitufananishe na shetani......Mungu hapendi tuteseke ila kwa kuwa hatumshirikishi pale tunapotaka kuanza mahusiano mwisho wa siku ndo tunajikuta tunateseka
Wamekutongoza wangap?
Kwanini ulimkubalia fulan?
Ungesubiri ndoa je?
Apo ndo utajua nyie kina nani ndo mana bikra adim
rap beast