Ladies..u rejected him when he had nothing..

Ladies..u rejected him when he had nothing..

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,520
Reaction score
61,958
When he was living in that single room in the slum , when all he could afford was to take you for a picnic at a local park yet your best friend kept telling u to be patient with him but you refused because there was this sponsor who was spoiling you with cash who by now left you for another younger girl ..

The hustler you rejected now has his own company, houses and a fleet of cars and he is marrying your best friend who invited you to her wedding and you could not hold your tears when you saw how happy she was with what was originally yours .

Dear ladies, patience pays.

Be with the one that makes u happy but not with the one that gives u everything is God,so stick with that guy and grow with him. Mia
RTEmagicC_madrinha_comemocao.jpg.jpg
 
Muhudumu ongeza mbili ingine hapa, kama haukupangiwa awe wako haukupangiwa tu.
Kweli kabisa miss...yaani mwanaume maskini akikutongoza ukamkatalia ni shida unaonekana unamnyanyapaa. Kama unapendwa utapendwa tu hata kama unakaa kwa mshikaji wako aliyepanga chumba kimoja uswahilini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Io ya patience pays nadhani wadada wangeiangalia kwa umakini na kuacha kufeel entitled na vitu (ego), inahusu sana na inalipa sana, me n mwananume ii kitu imenikuta kwa my ex.. Kila mtu anasikitika kivyake tu saiv, hatuezi hata kuliongelea ili suala japokua kua ukweli anaujua kuwa alizingua.
 
Haya mambo hayaaah! Wacha nizitafute tu mbumba kwanza, nilishanyanyapaliwa na mtu niliewahi kumpenda, niliempa thamani na kumjali kuliko nilivyojijali mimi mwisho wa siku nikaja kuambiwa "Unajua nini................ mimi sina future na wewe wala sikupendi tena, Tuachane tu." Nilinyong'onyea sana ila nina imani iko siku tutakutana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kweli Mungu kuna vitu kakupangia...ni mpango Wa Mungu kwako ila kama unaenda katika njia yake

Sasa kwanza umekiuka amri ya upendo Wa kweli kwa kudhulumu moyo Wa mwenzio...hapo kuna mpango Wa Mungu kweli???

germve himself
Trust me huo ndo ukweli na kama Mungu angepanga wawe wote hao lazima wangeona.......unajua sisi binadamu tunasema tu ila Mungu ndie anaepanga
 
Haya mambo hayaaah! Wacha nizitafute tu mbumba kwanza, nilishanyanyapaliwa na mtu niliewahi kumpenda, niliempa thamani na kumjali kuliko nilivyojijali mimi mwisho wa siku nikaja kuambiwa "Unajua nini................ mimi sina future na wewe wala sikupendi tena, Tuachane tu." Nilinyong'onyea sana ila nina imani iko siku tutakutana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Saka pesa kijana one day yes.

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Io ya patience pays nadhani wadada wangeiangalia kwa umakini na kuacha kufeel entitled na vitu (ego), inahusu sana na inalipa sana, me n mwananume ii kitu imenikuta kwa my ex.. Kila mtu anasikitika kivyake tu saiv, hatuezi hata kuliongelea ili suala japokua kua ukweli anaujua kuwa alizingua.
can u elaborate your story mkuu?
kama imenivutia flani hivi.
 
Back
Top Bottom