Ladies only - Win a date with Ngabu

Halafu hako ka-avatar kako hako... huyo mtoto namfananisha sana. haitwi JUNIOR huyo?
Dah! amefanana saaaana na yule mtoto wa fidodo!
 
Sasa Kiranga watu watadhani huyo kwenye picha ndio mimi...

My bad, my bad son

That be Pimp C, your whole enterprising could surprise.

That swagger def'nly got the "Pimp of The Month" prize.

pimpofthemonth1.gif
 
Halo halo halo.I wish kama ningekuwa mdada ningeshiriki kwenye hili shindano..Shindano linahusu nini?likoje?

Usanii mtupu! Taifani, Mtaani hadi Mtandaoni! Take care, ukikumbana na Ban ya Mod usije ukapiga kelele kuwa unaionewa.
 
Trend ya mitundiko humu ndani hivi sasa inaonekana kuna maboflo kibwena.lol. Ati unasema ungeenda, ungeenda wapi?

Sasa umekuwa mwanamke? We si kidume? (chokomchongoma).. Ni hii vipi?

Makubwa haya!!

BWAHAA HAAAAAAAAAAAAA akili zako changanya na kuambiwa!!!
 
Oo girl look at you, bet you ain't know that I be checking you out when you be putting your heels on

So what's really good?

sijui uko PM kukoje ila hapa kibarazani nadhani ushiriki wa wadada hautii moyo!LOL punguza vigezo banaa....
 
Vigezo ni kama ifuatavyo:

-Umri kati ya miaka 25-32
-Urefu kati ya 5'3 - 5'8
-Complexion yoyote ile
-Dini yoyote
-Elimu ya chuo kikuu (GPA isiwe chini ya 3.0)

Kijana una vigezo vigumu wewe sidhani mpaka sasa kama kuna mtu kajitokeza labda Da Sophy peke yake
 
Kijana una vigezo vigumu wewe sidhani mpaka sasa kama kuna mtu kajitokeza labda Da Sophy peke yake

Really? But wait a minute...let's put things into perspective here. Are you trying to tell me most of the ladies in here are under 5'3 in height? And I said any complexion...dark, caramel, lighskinned, red bone, yellow bone etc....yaani hakuna hata mmoja mwenye rangi yoyote ile? Na ina maana wengi wenu humu vilaza wa kutupwa na hakuna hata wawili watatu waliofika chuo na kuhitimu na GPA ya 3.0? Na dini nimesema yoyote ile hata wasio na dini. Umri na wenyewe nimeweka range ya kati ya 25-35 unless uniambie nyie wote humu ni vibibi mlio kwenye menopause tayari au bado mko chini ya 25.....It's amazing to say the least
 
Vigezo ni kama ifuatavyo:

-Umri kati ya miaka 25-32
-Urefu kati ya 5'3 - 5'8
-Complexion yoyote ile
-Dini yoyote
-Elimu ya chuo kikuu (GPA isiwe chini ya 3.0)

nafit hapo lakini nimeolewa sasa inabd umtafute da sophy
 
Vigezo vyote ninavyo -married status hahahahaha...utapata tu usijari
 
Nyani kwani wewe na kelly mliishia vipi???mlikuwa na a lot of chemistry jamaniii...
 
wapo lakini hawana vigezo vyote, lakini mbona we waonekana kama urefu ni 3 to 4" hivi?

Wapi niliposema lazima huyo mtu awe na vigezo vyote? Nimesema akiwa asilimia kati ya 65-85 ya vigezo nilivyotoa atapewa strong consideration. Na usiwe na shaka na urefu wangu. Hiyo avatar ni wakati nilipokuwa elementary school
 
Vigezo ni kama ifuatavyo:

-Umri kati ya miaka 25-32
-Urefu kati ya 5'3 - 5'8
-Complexion yoyote ile
-Dini yoyote
-Elimu ya chuo kikuu (GPA isiwe chini ya 3.0)

Duh! Mpaka GPA tena! Mbona balaa! Kwa hiyo mwanamke kilaza kwako hana nafasi, hata kama zile sifa zaingine hapo juu anazo?
 
Nyani kwani wewe na kelly mliishia vipi???mlikuwa na a lot of chemistry jamaniii...

Jamani mwacheni bana Cuppy wangu yupo tu amejaa tele kaa maji ya mtungi. She's finer than ever with a killer body to die for. Atarudi tu ku claim mali zake. Just watch.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom