Spouse wangu, I lost count zilipofikia pairs 100 baada ya 4 years ya marriage . . . sasa sijui idadi aliyonayo.
Vingine havivaliwi, kina msimu au sherehe na kiatu chake . . . . sasa hata sijui ni kwa nini. Katika kipindi chote nina pairs mbili za viatu ambavyo vile vya 2006 mpaka leo viko kwenyue chati na kila siku navivaa kazini.
Ni huyu Madame Superlady tu au ni kwa Ladies wengi?
Kwa kuwa jukwaa lenu pendwa wapo ladies wengi na gents ambao spouse wao wanaweza kuwapa majibu, naomba tusaidiane kuelewa ni kwa nini?
Viatu ndio vya muhimu zaidi kwenye kivazi cha mwanamke (kwa mtizamo wangu)
Manake unaweza kukuta mwanamke apendeza ukishusha macho kwenye kiatu ukashangaa. A lady who knows her shoes most likely anajua namna ya kulipuka na vivazi vyengine
nakubaliana na wewe,viatu kwa mwanamama/mdada vina leta hadhi flani ivi
haipendezi kwa mdada kuvaa nguo nzuuuuuri na viatu vya hovyo
hata hivyo pea mia zote za nini?kwani ni show room ya viatu?e!
Spouse wangu, I lost count zilipofikia pairs 100 baada ya 4 years ya marriage . . . sasa sijui idadi aliyonayo.
Vingine havivaliwi, kina msimu au sherehe na kiatu chake . . . . sasa hata sijui ni kwa nini. Katika kipindi chote nina pairs mbili za viatu ambavyo vile vya 2006 mpaka leo viko kwenyue chati na kila siku navivaa kazini.
Ni huyu Madame Superlady tu au ni kwa Ladies wengi?
Kwa kuwa jukwaa lenu pendwa wapo ladies wengi na gents ambao spouse wao wanaweza kuwapa majibu, naomba tusaidiane kuelewa ni kwa nini?
Angekuwa anavaa kidogo kisha anatoa 'sadaka', ananunua chengine.
Kama pesa ipo shida gani bwana, mwacheni apendeze.
Masaki
Kwani si ananunua kwa pesa yake au? Au ndo yale unataka kumpangia pesa za viatu ni sawa na matofali 100 si bora tujenge nyumba! lolz
Hahahah! Ananunua kwa pesa yake ndio, ila sasa ndio hivyo usitegemee msaada wa pesa toka kwake, itabidi tu ujipange sawa sawa kuhudumia familia kwa kuwa pesa yake yeye ni ya shopping tu!
Maisha mafupi na staarehe chache bwana, as long as haingii kwenye madeni na wala hakukwazi kwa kuomba pesa extra za shopping zake, mwache tu