Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
Naumwa dengue....niombee kwa mungu nipone.
utapona jamani. ikishindikana acha tu urest in peace. amen.
Naumwa dengue....niombee kwa mungu nipone.
Naumwa dengue....niombee kwa mungu nipone.[/QUOT
Njoo nkupe dawa buuuuure kabisa
utapona jamani. ikishindikana acha tu urest in peace. amen.
Tobaaaaaaaaaaa yarabi!
Hufai kabisa wewe. Ngoja nimtafute Sheshibeshi anibembeleze.
Hivi kuamka ni kuwa umesimama au kujua nini kinaendelea!!!!!????????
Umeamka kweli!!!?????
kwa hiyo nikiguswa nijikaze kama ukuni
hlo ndo tatizo besty,mtu na we una mahitaji na mtoa tiba unaemtaka ndo huyo tu..
Atlst mtu usiwe too blind hadi kujitegesha mimba for him wakati unaona hana nia na wewe
mada si inasema ladies wake up,ni kujua nini kinaendelea and how to deal with it...
Mi nimeamka tayari,si kama zamani
kitu nimejifunza, kuna rate ya abortion kubwa sana zaidi ya watu wanavodhani... wadada kuna morning after pills basi kama mmeshindwa kabisa kutumia calendar, condoms...
In fairness, both men and women lie. Have you never fibbed before?
A line from Method Man's 1998 classic goes a lil' some'ing like this......"it's been said
that big girls they don't cry, but they damn sure lie
Look you in the eye, saying you they only
You and I, til the day we die, said you'd never
leave me lonely, fly tenderoni but you phony
Should've listened when my momma told me, soon as I
turn my back you try to ---- my homies`
Ndio furaha yangu hiyo
hivi hazina side effect hzo?..
:A S 39::A S 39: Hebu tuandamane tu maana Threads za kutupigia kelele zimezidi wakati wao ndio chanzo
hivi hazina side effect hzo?..
Usirembe bana wape makavu ...kuua hakuna justification..
Kwani wenzangu hamjaamkaga tu?the day i learnt 'men are liars' nimekuwa na amani sana...and i hardly waste an hour in pain for one..
na we kabisa unajua siku hatari na bado unajitegesha,??no matter what always take care of yourself,
take it from me' don't stay with a man for more than a year hoping that you will get marriage!! Even a single day it's enough for judgement to a man who is committed & knows what he wants from a woman!! He who stays with a woman for several years' believe me he is there for refreshment..
Time can not change someone behavior! And if we agree that all we are human being' we should also agree that no one is perfect!! So you should train your mind to accept some weaknesses of your fellow.
Mimi nli date na binti mmoja only once,kesho yake akanambia "nlikutegeshea,nime-conceive",nlijiskia kuwa bored sana,unfortunately nkamwambia atoe mimba
akakataa,nkamtumia pesa kama kaki moms hivi ili atoe,akanambia "I can't abort,what I want is ur kid"akanrudishia pesa yangu,from there nlijikuta kumuamini sana,mpaka dis time nafikiria sijui nimuoe tu au niache,coz we dated accidentally,na mtoto ndo Ashazaliwa hivyo