Ladies let us wake up...

Good advice mamy.
Shida ipo hapo kwenye keeping a sober mind wakati mahaba ndio yameshakuvuruga!!!
Bint anaijibu her insticts kuwa,"tumepitia mengi pamoja hawezi kubadilika"
Shame!!!

Shame indeed.

Mi najiwekaga mbali na mitoto ya kike inayojifanyaga mahaba yalishuka moyoni mwao yakaletwa na Roho Mtakatifu.

Utakuta kila siku unapigiwa simu ongea na shem wako kanifanya hivi kanifanya vile?

Ama kila siku unaombwa ushauri.

Nani?

Sina muda wa kupoteza.
 
Kwani wenzangu hamjaamkaga tu?the day i learnt 'men are liars' nimekuwa na amani sana...and i hardly waste an hour in pain for one..
na we kabisa unajua siku hatari na bado unajitegesha,??no matter what always take care of yourself,

Hivi kuamka ni kuwa umesimama au kujua nini kinaendelea!!!!!????????
Umeamka kweli!!!?????
 
kitu nimejifunza, kuna rate ya abortion kubwa sana zaidi ya watu wanavodhani... wadada kuna morning after pills basi kama mmeshindwa kabisa kutumia calendar, condoms...
 
Mimi nli date na binti mmoja only once,kesho yake akanambia "nlikutegeshea,nime-conceive",nlijiskia kuwa bored sana,unfortunately nkamwambia atoe mimba
akakataa,nkamtumia pesa kama kaki moms hivi ili atoe,akanambia "I can't abort,what I want is ur kid"akanrudishia pesa yangu,from there nlijikuta kumuamini sana,mpaka dis time nafikiria sijui nimuoe tu au niache,coz we dated accidentally,na mtoto ndo Ashazaliwa hivyo
 
Kwani wenzangu hamjaamkaga tu?the day i learnt 'men are liars' nimekuwa na amani sana...,

In fairness, both men and women lie. Have you never fibbed before?

A line from Method Man's 1998 classic goes a lil' some'ing like this......"it's been said

that big girls they don't cry, but they damn sure lie

Look you in the eye, saying you they only

You and I, til the day we die, said you'd never

leave me lonely, fly tenderoni but you phony

Should've listened when my momma told me, soon as I

turn my back you try to ---- my homies`

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom