Ladies let us wake up...

Ladies let us wake up...

Wewe binti acha uwongo wewe! Yaani kwa kuwa yamekushinda basi..ndo unakuja na hizo mbwembwe za kizushi...

haujapita hata mwezi...ulikuwa unalia liahapa jamvini..kuwa jamaaa amekufukunyua...na amekuona...ka..lapa...na akamamua kutupa kuleeeeee.., kwa hiyo umepigwa chini...ndo unaleta maneno ya kejeli hapa lakini nafsi yako inazidi kutamani kumiliki....huo ni uzushi...kuwa mkweli, kuwa mstaarabu na sio kuchangia kwa kejeli..kisa umetupwa..kuleeeee

Ni hayo tu, chunga kauli zako!..waswahili wanasema kisebusebu na kiroho .....?

Kwani wenzangu hamjaamkaga tu?the day i learnt 'men are liars' nimekuwa na amani sana...and i hardly waste an hour in pain for one..
na we kabisa unajua siku hatari na bado unajitegesha,??no matter what always take care of yourself,
 
View attachment 160109

Picha hapo juu ni ya movie inaitwa "The Da Vinci Code" ambaye main actor anaitwa Tom Hanks (anayeonekana kwenye cover hapo)

Ukiiangalia hii movie utakubaliana na mimi kuwa T. Hanks ameitendea haki hii movie na ameiact vyema.

Kwa kuiangalia movie hii hutakuwa na makosa kummwagia sifa lukuki Hanks kwa uchezaji wake.

That is until utakapokuja kugundua kuwa movie hii imetokana na kitabu cha Da Vinci Code ambacho mwandishi wake ni Dan Brown ambaye kiuhalisia (licha ya Tom Hanks kuicheza vizuri movie hiyo) ndiye aliyestahili sifa lukuki kwa kuandika kitabu chenye ubora wa namna hiyo.

My point is, beware, si kila script unayoiona uka-conclude ni movie script. Some (and actually just one) are the original writings by the authors. It just hapenned ulianza kuangalia movie kabla ya kusoma kitabu.

Men are liars..but not all. Just as there are so many actors and very few say directors or book writers. Na hili linahitaji wisdom from above kuling'amua sio ujanja wa mjini au experience mia...la sivyo ungekuta kina lara 1 wana ndoa miaka kumi saivi (no pun intended).

NB: Shem, mzima wewe!??

Cc: The Boss na mpwa Elli

wakati mwingine sio rahisi kujua yupi ni yupi,kugeneralize inanisaidia kupunguza maumivu....
 
Last edited by a moderator:

mapenzi hayana mjanja,yakikufika utaelewa,maisha ni kujifunza mi sio malaika...am okay now naendelea mbele
 
wakati mwingine sio rahisi kujua yupi ni yupi,kugeneralize inanisaidia kupunguza maumivu....

bora kungekuwa na alama ingesaidia...ana ana doo unaishia kuitwa malaya

I think jibu liko hapa chini kwenye maneno ya JJ10 (nimeya-edit kidogo)!!!

take it from me, don't stay with a man for more than a year hoping that you will get marriage!! A single day is enough to judge a man who is committed & knows what he wants from a woman!! He who stays with a woman for several years, believe me, is there for refreshment. (most of us..)

Though watu wa sheria husema, "There are always exceptions to the general rule" (kama huyo jamaa aliyekutana na mkewe bar akinywa konyagi)...ni uamuzi wako kuwa hiyo exception!

Na kama nilivyokwisha kusema hapo mwanzo, hili halijulikani kwa ujanja wa duniani au experience ya kuwa na wanaume wengi.
 
Last edited by a moderator:
View attachment 160109

Picha hapo juu ni ya movie inaitwa "The Da Vinci Code" ambaye main actor anaitwa Tom Hanks (anayeonekana kwenye cover hapo)

Ukiiangalia hii movie utakubaliana na mimi kuwa T. Hanks ameitendea haki hii movie na ameiact vyema.

Kwa kuiangalia movie hii hutakuwa na makosa kummwagia sifa lukuki Hanks kwa uchezaji wake.

That is until utakapokuja kugundua kuwa movie hii imetokana na kitabu cha Da Vinci Code ambacho mwandishi wake ni Dan Brown ambaye kiuhalisia (licha ya Tom Hanks kuicheza vizuri movie hiyo) ndiye aliyestahili sifa lukuki kwa kuandika kitabu chenye ubora wa namna hiyo.

My point is, beware, si kila script unayoiona uka-conclude ni movie script. Some (and actually just one) are the original writings by the authors. It just hapenned ulianza kuangalia movie kabla ya kusoma kitabu.

Men are liars..but not all. Just as there are so many actors and very few say directors or book writers. Na hili linahitaji wisdom from above kuling'amua sio ujanja wa mjini au experience mia...la sivyo ungekuta kina lara 1 wana ndoa miaka kumi saivi (no pun intended).

NB: Shem, mzima wewe!??

Cc: The Boss na mpwa Elli

For the record I DONT INTEND TO MARRY! I cant promise things i cant give! MIMI NA OPRAH DAM DAM, marriage is not for everybody!
 
Kuna mpendwa mmoja huwa mara nyingi ananiambia "nina mzigo wa kuwaombea wadada" kumbeee...!
 
For the record I DONT INTEND TO MARRY! I cant promise things i cant give! MIMI NA OPRAH DAM DAM, marriage is not for everybody!

Please call me up on one of your giving back to the community projects...i'd love to participate Oprah wa Bongo!

But seriously i agree marriage wasnt called for everyone. Its good umejitambua. Waste not urs nor another man's time.
 
I like this: Your boobs are now sagging like the socks of a soldier because of him. Wakati mwingine wadada mliopo humu msiachie achie titi zenu zikachezewa, yaheshimuni sana kwa kuwa hukuzaliwa nayo kama papuchi.
 
Kwani wenzangu hamjaamkaga tu?the day i learnt 'men are liars' nimekuwa na amani sana...and i hardly waste an hour in pain for one..
na we kabisa unajua siku hatari na bado unajitegesha,??no matter what always take care of yourself,

Men are liars?hadi babako?
 
hlo ndo tatizo besty,mtu na we una mahitaji na mtoa tiba unaemtaka ndo huyo tu..
Atlst mtu usiwe too blind hadi kujitegesha mimba for him wakati unaona hana nia na wewe

Hapo nakubaliana na nyie
 
Good advice mamy.
Shida ipo hapo kwenye keeping a sober mind wakati mahaba ndio yameshakuvuruga!!!
Bint anaijibu her insticts kuwa,"tumepitia mengi pamoja hawezi kubadilika"
Shame!!!

Shame?
Unajua hyo belief yake imeundwa na nn kama sio kweli kama wamepitia mengi?
 
Back
Top Bottom