Ladies know ur man - usitingishe kibiriti ovyo

In theory yes...in practise!?!? I doubt....wanadamu wa leo tumejaa uongo na magumashi...tunataka hiki tunatamka kile. So tomorrow is one of those days

Kesho ni mtihani kweli kwa wapenzi, ila kumbuka kila couple ina it's own way of dealing with one another... What matters hapa is undestanding mpenzi wako kwa ladies na guys kua hiki apenda na kile hapendi na the like huku mkijaribu by all means ku compromise your positions... for the benefit of both.
 
Honestly, huwa sioni maana ya hii siku. Natamani kila mtu angeufuata moyo wake. Ukijiskia kumpenda mwenzio zaidi in november, go ahead and do just that!
Can't we have valentine everyday? Mambo ya kununuliwa maua once a year hata siyafagilii. It should be more often,lol!

My wifi.... having valentine every day could be tiresome...lol... Kesho kuna ka extra effort hadi ka kuenda kununua lingerie nyingine jus so I look different/sexy and eatable...lol

On a serious note: naamini kua apart from kesha couple wanaweza wakawa wanaamua kabisa kupanga their special days, but ukweli unabaki kua as time goes on with watoto na responsibilites na mahitaji kibao mwajikuta siku za songa na no speacial day ambayo mwa itend ina materialise... hivo via Valentine ni kua a couple wanapata fursa kuipa first priority ya mapunziko, having fun, a lot of sex and loving and a day for them selves...
 
Wifi, unataka kuniambia you buy sexy lingarie once a year? Unataka kuniambia with kids around you feel like a lot of sex once a year?
Well, I'm just protesting that everytime I or ur bro sees a sexy lingerie and buys it we can celebrate it. Life is too short, live at the smallest opportunity banaa! Ofcoz intensity ya celebration itakuwa tofauti kwa siku tofauti, ila siamini kwenye nguo mpya wakati wa krismas tu (afu krismas ni maandalizi ya ada ya mwaka. Why not have a big bash in sept, hehehe)

On a serious note: naamini kua apart from kesho couple wanaweza wakawa wanaamua kabisa kupanga their special days, but ukweli unabaki kua as time goes on with watoto na responsibilites na mahitaji kibao mwajikuta siku za songa na no speacial day ambayo mwa itend ina materialise... hivo via Valentine ni kua a couple wanapata fursa kuipa first priority ya mapunziko, having fun, a lot of sex and loving and a day for them selves...
Hujambo Dada AshaDii?N
Ni kweli kabisa mpendwa, wakati unaweza kukufanyeni zile fantasies za siku za mwanzo zikapungua taratiiibu, lakini majukumu yanawafanya mkawa mnaishi kwa mazowea tu, na sio kwa sababu hampendani. Kwa hivyo kutenga angalau siku moja kujikumbusha sio mbaya. Lakini mimi badala ya kufuata mkumbo wa hii siku moja tu, nahisi tungekuwa tunaadhimisha pia zile siku maalumu kwetu - siku ya ndoa, siku tuliyokutana mara ya kwanza, siku tuliyoahidiana hili au lile na tukalitimiza, siku tuliyopeana taarifa muhimu ya furaha katika maisha yetu (kuja kwa mtoto n.k)... orodha ni kubwa, kiasi kwamba kama tungekuwa tunazijali siku hizi, tungekuwa tunasherekea a lot of "valentines" kivyetu na kuweka chachu zaidi katika mahusiano yetu.

All said, HAPPY VALENTINE kwa wote.
 
Wifi, unataka kuniambia you buy sexy lingarie once a year? Unataka kuniambia with kids around you feel like a lot of sex once a year?
Well, I'm just protesting that everytime I or ur bro sees a sexy lingerie and buys it we can celebrate it. Life is too short, live at the smallest opportunity banaa! Ofcoz intensity ya celebration itakuwa tofauti kwa siku tofauti, ila siamini kwenye nguo mpya wakati wa krismas tu (afu krismas ni maandalizi ya ada ya mwaka. Why not have a big bash in sept, hehehe)

No wifi... I buy lingerie but i don't wear it... he prefers he finds me with wine in my hand wearing only his fav tie...lol.. Well once in a while napenda sex... zile za lazy sex... you spend the whole day in bed sipping drinks, eating crisps, ice creams and the like... Of which I have NO luxury of doing with the kids around (siku hio wawagiza waende kwa bibi zao wakawafulie nguo, kuwafanyia usafi na pia kuwapikia chakula cha usiku. wawambia na bibi yao walale huko huko....)

Nakubaliana na wewe swala la kila siku ila nina maana kua sababu hizo days ni rare.. tomorrow you make the most of it wifi....
 
Hujambo Dada AshaDii?N
Ni kweli kabisa mpendwa, wakati unaweza kukufanyeni zile fantasies za siku za mwanzo zikapungua taratiiibu, lakini majukumu yanawafanya mkawa mnaishi kwa mazowea tu, na sio kwa sababu hampendani. Kwa hivyo kutenga angalau siku moja kujikumbusha sio mbaya. Lakini mimi badala ya kufuata mkumbo wa hii siku moja tu, nahisi tungekuwa tunaadhimisha pia zile siku maalumu kwetu - siku ya ndoa, siku tuliyokutana mara ya kwanza, siku tuliyoahidiana hili au lile na tukalitimiza, siku tuliyopeana taarifa muhimu ya furaha katika maisha yetu (kuja kwa mtoto n.k)... orodha ni kubwa, kiasi kwamba kama tungekuwa tunazijali siku hizi, tungekuwa tunasherekea a lot of "valentines" kivyetu na kuweka chachu zaidi katika mahusiano yetu.

All said, HAPPY VALENTINE kwa wote.

Mammamia nimependa maneno yako na ninaafiki.... Mimi niseme kweli, siku zoote natumia nguvu lakini zile za kawaida ambazo na weza manage na haziwezi nichosha... Na ndio maana mimi special events za family ni muhimu kwangu kwa familia nzima ili kujenga ukaribu na mapenzi ya dhati (for haya mambo hasa strong ties in the family lazima ziwe nurtured through activities za eating together, kufanya kazi pamoja, kukaa jioni moja woote na the like; thou ni kwa kubahatisha.) Hivo anniversary, Birthdays, Valentine ahu holiday za kidini, are these days ambazo niko kwa ajili ya familia yangu kama mama na kama Mke pia. Sasa kwa hili la valentine ina kua watoto hawapo katika mawazo yangu... toka week nzima nafikiria tu baba yao nijinsi gani nim surprise na kumchanganya hio siku ya kesho....lol
 
Hii thread nani alienda kuichimba tena ..
Dahhh tangu April... za wengine zitarukwa isomwe hii
 
Kuna msemo mmoja wa Kispanish unasema "una vez al anyo no hace danyo" yaani "Siki moja kwa mwaka haina madhara".
All the best mpendwa. Life is too short.
 
Hii thread nani alienda kuichimba tena ..
Dahhh tangu April... za wengine zitarukwa isomwe hii

Nimeipandisha mwenyewe dear.... nimepandisha thread zangu zoote ambazo naona zipo applicable siku ya kesho...lol.... Happy Valentine dear...
 
Back
Top Bottom