Ladies know ur man - usitingishe kibiriti ovyo

Asha umesahau ile last version.
If you love someone lock her in,if she escapes hunt her down hahaha!
 
Wamama wenzangu tuache kelele, mumeo ukiona ana tabia ambayo hujui imetoka wapi au ameanzisha ka mchezo ka kiksanii hivi na hujui imetoka wapi, usimuulize chochote. Make sure nguo zake safi, mlo uliokamilika, kwenye sita kwa sita mpe kama kawaida kwa tabasamu. Ni ngumu lakini ebu jaribu.

Anza mahusiano na neno la Mungu, soma bibria kwa kwa speed ya Jet, funga na kuomba uone kama huyo mwanaume ataendelea na hiyo tabia. Nawapa hiyo kwa sababu imenisaidia sana. Sasa hivi aah hata akienda akarudi asubuhi nina amani. Jaribu/Onja uone Mungu alivyo mwema

asante umenena sawa kabisa ujiachilie ili uwe na amani ,hii itakuepushia presha zisizo na lazima.
 
kila anetingisha kibiriti anakuta kimejaaa
hadi anarudi tena kwa upole....lol
 
Hadi zije kufikia kuoza na yeye bado anaendelea kuwa patient atakuwa wa ajabu sana

Yeye ataona sawa, sisi obsevers ndio tutamshanga, kama ana bahati huyo patient apate mtu wa kujibambikiza kwa lazima!
 
Asha umesahau ile last version.
If you love someone lock her in,if she escapes hunt her down hahaha!

LOL... Huyo si ndo yule over possessive, yeye anaamini kua dont set her free,,, uporoto01 huko chini ya hii nini? ...LOL...
 
kila anetingisha kibiriti anakuta kimejaaa
hadi anarudi tena kwa upole....lol

LOL' Hicho kiberiti cha kujaa kila saa naamini ni biologist mana yeye anaamini ana evolve hivyo kua a better person thus akitegemea atarudi tu.
 
kina bomu ndani yake.

ukitingisha kinakulipukia...
 
LOL... Huyo si ndo yule over possessive, yeye anaamini kua dont set her free,,, uporoto01 huko chini ya hii nini? ...LOL...
Maana yake mwanamke mwenye bahati ni yule atakayepata mwanamme aliyependapenda na sasa kachoka na anataka kutulia,na mwanamme mwenye bahati ni atakayempata mwanamke ambaye hajapenda maishani naye ni wakwanza kupendwa na mwanamke huyo.
 
The way mnavyojifagilia... mnataka mwanamke akupende ww kwanza na mwisho ila nyie vice versa'
 
Sio hivyo Asha afadhali mwanamme amalize uhuni ndio aoe badala ya kuanza uhuni baada ya kuoa na pia wanawake ni waaminifu zaidi katika ndoa.
 
Nakubaliana na wewe.
 
Nakubaliana na wewe.

dah.....Asha D ni 'nani' hasa wajameni kuna kitu nataka tuzungumze, iwe kupendana kwanza au baadaye but biashara kwanza...naombeni file lake...TF na AD hebu m do ze nidiful:eyeroll1:
 
Jamani Kaizer.. au sijakwelewa swali lako? naomba niulize nielewe.
 
Kesho siku ya wapenzi.... Jitahidini basi msitingishe viberiti walau kwa kesho... Make it a wonderful lovable and memorable day! :A S-heart-2:
 
In theory yes...in practise!?!? I doubt....wanadamu wa leo tumejaa uongo na magumashi...tunataka hiki tunatamka kile. So tomorrow is one of those days
 
Back
Top Bottom