The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Naenda kwa Lizzy mara moja halafu nitarudi kwakohahahahaah lol
duuuhh wewe tena mmmhhh
I will try my best... lakini kwa lisaa limoja tu
hahahahahahah lol
Naenda kwa Lizzy mara moja halafu nitarudi kwakohahahahaah lol
duuuhh wewe tena mmmhhh
I will try my best... lakini kwa lisaa limoja tu
hahahahahahah lol
mmmmmmhhhhhhhhNaenda kwa Lizzy mara moja halafu nitarudi kwako
Naenda kuchukua invitation card ya Royal Wedding on Fridaymmmmmmhhhhhhhh
Wamama wenzangu tuache kelele, mumeo ukiona ana tabia ambayo hujui imetoka wapi au ameanzisha ka mchezo ka kiksanii hivi na hujui imetoka wapi, usimuulize chochote. Make sure nguo zake safi, mlo uliokamilika, kwenye sita kwa sita mpe kama kawaida kwa tabasamu. Ni ngumu lakini ebu jaribu.
Anza mahusiano na neno la Mungu, soma bibria kwa kwa speed ya Jet, funga na kuomba uone kama huyo mwanaume ataendelea na hiyo tabia. Nawapa hiyo kwa sababu imenisaidia sana. Sasa hivi aah hata akienda akarudi asubuhi nina amani. Jaribu/Onja uone Mungu alivyo mwema
Caroline kwanini ufanye hayo wakati matatizo yanapoanza kutokea binadamu tuna hulka ya kumkumbuka Mungu pindi tunapopata matatizo hali zetu zikiwa nzuri hatuoni haja ya kusogea mbele za Bwana kila siku muombee mumeo/mkeo asije akaingia kwenye majaribu usisubiri hadi upatwe na matatizo ndio umkumbuke Mungu na BibliaWamama wenzangu tuache kelele, mumeo ukiona ana tabia ambayo hujui imetoka wapi au ameanzisha ka mchezo ka kiksanii hivi na hujui imetoka wapi, usimuulize chochote. Make sure nguo zake safi, mlo uliokamilika, kwenye sita kwa sita mpe kama kawaida kwa tabasamu. Ni ngumu lakini ebu jaribu.
Anza mahusiano na neno la Mungu, soma bibria kwa kwa speed ya Jet, funga na kuomba uone kama huyo mwanaume ataendelea na hiyo tabia. Nawapa hiyo kwa sababu imenisaidia sana. Sasa hivi aah hata akienda akarudi asubuhi nina amani. Jaribu/Onja uone Mungu alivyo mwema
Asha D hebu jaribu kutingisha kiberiti siku mojaThank u..
teh teh teh ... nimeeipenda hii zaidi
Patient:
If you love someone, Set her free ...
If she doesn't come back,
continue to wait until she comes back .
Ahaa ahaa Asha anaweza kuanza kutumia vifungu vya sheria nini lolAisee sijaribu, wangu ni Lawyer - kitakua full kuwaka.. sidhani kama nitaweza zima.
Mwingine unakuwa unaona dalili kuwa atarudi lakini harudi unakuwa unaishi kwa matumaini.LOL... Susy uzuri wa huyu jamaa (patient); unaweza rudi wakati wowote utapochemka huko kwa mwingine...
Good i like that.He is the best katika hiyo sector, let alone others ...
Mvumilivu hula mbivu lol!Patient disadvantage iko kwake, but the advantage iko kwa ex wake.