Ladies know ur man - usitingishe kibiriti ovyo

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,080
Kwa wale girls wanopenda kutingisha kiberiti kwa wapenzi wao, tafadhali mjue kabla hujachukua huo uamuzi for you may regret.

THE ORIGINAL QUOTE
If you love someone,
Set her free...
If she comes back, she's yours,
If she doesn't, she never was.....
VERSIONS ACCORDING TO UR MAN.....
Pessimist:
If you love someone,
Set her free ...
If she ever comes back, she's yours,
If she doesn't, as expected, she never was
Optimist:
If you love someone,
Set her free ...
Don't worry, she will come back.
Suspicious:
If you love someone,
Set her free ...
If she ever comes back, ask her why.
Impatient:
If you love someone,
Set her free ...
If she doesn't come back within some time forget her.
Patient:
If you love someone, Set her free ...
If she doesn't come back,
continue to wait until she comes back ...
Player:
If you love someone,
Set her free ...
If she comes back, and if you love her still,
set her free again, repeat ....
Lawyers:
If you love someone,
Set her free,
Clause 1a of Paragraph 13a-1 in the Second
Amendment of the Matrimonial Freedom
Biologist :
If you love someone,
Set her free,
She'll evolve.
Statisticians:
If you love someone,
Set her free,
If she loves you, the probability of her coming
back is high
If she doesn't, your relation was improbable
anyway.
Over possessive person:
If you love someone
don't set her free.
Psychologist:
If you love someone
set her free
If she comes back her super ego is dominant
If she doesn't come back her id is supreme
If she doesn't go, she must be crazy.

I am over possessive person. I will never set him free, what if he does not come back? Hamna kujaribu/ kutikisa kiberiti big NO.
 
Baada ya kuangalia hii clip nimekumbuka kitu. Kuna mtu alinishauri kuwa si vizuri kutumia magari tofauti kwenda kazini kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo. Kwa kweli na mimi hilo nimeona ni tatizo katika ndoa nyingi. Mababa wengi wanaotumia usafiri tofauti na wake zao ndio wale kutwa kuwapa mabinti lifti na ndio wale wanaorudi saa nane za usiku toka kazini. Unakuta mtu anakaa mbagala lakini kila akitoka kazini lazima apitie mwenge!
 
I believe huyo sasa kua ni player.
 
just assumption!!!!!!!!!
 
yani umenikumbusha mchezo fulani uliyokuwa unaitwa Tikisa Pendo, kama si busara na hikima za wazee, mke alikuwa aachwe tu. Sometime mtu hujaribu baada ya kumuona mwenzake kafanya.
 
just assumption!!!!!!!!!

Bacha hivi ni assumption kweli if a guy kila siku anapita the long cut instead of short cut kwenda home? tena na mafoleni haya, obviously something fishy is goin on.
 
kwanini fikra zako sasa zikutume kuwa ameenda kwa bi mdogo,
kwani hawezi kuwa ameenda kwenye shughuli zake nyingine za kijasiriamali baada ya ofisi?
unless, kama unaijua vizuri hiyo mizunguko yake,
otherwise, tusihukumu pasipo ushahidi!!!!!!
Pasaka njema bibie.............
 
Asha nitachelewa kurudi nyumbani nitapitia ile njia ya mwenge ingawa ni ndefu lakini barabara yake ni nzuri kuliko ile njia nyingine ambayo ni shortcut
 
hamna lolote kiongozi,
hizi fikra si sahihi kabisa,
yaani nisiende kwa mitikasi yangu kisa naogopa waungwana watajiuliza maswali mengi!!!!!
Ndio maana sijashangaa maana wasiwasi kama huu wamama wanakuwa nao sana
 
kwanini fikra zako sasa zikutume kuwa ameenda kwa bi mdogo,
kwani hawezi kuwa ameenda kwenye shughuli zake nyingine za kijasiriamali baada ya ofisi?
unless, kama unaijua vizuri hiyo mizunguko yake,
otherwise, tusihukumu pasipo ushahidi!!!!!!
Pasaka njema bibie.............

Huwezi kila jamaa yako anapopita njia nyingine kufikiria vibaya after all sometimes a guy needs it hawezi kuja straight home kila siku. Bacha mtu anae kua ametoka kunywa/ kwa rafiki zake/kufanya kitu productive ni tofauti ana attitude tofauti anapofika home - Body language speaks it all (or should I say the whole of him?). yeye kama anakaa mbagala na kila siku unapita njia ya mwenge na hali anafanya kazi posta; dont you think kama kuna shughuli huko hatamshirikisha the wife?
 
Asha nitachelewa kurudi nyumbani nitapitia ile njia ya mwenge ingawa ni ndefu lakini barabara yake ni nzuri kuliko ile njia nyingine ambayo ni shortcut

The Finest usijali dear, na hizi mvua ndio zimeharibu kila kitu! by the way asante kwa kunitaarifu chakula naweka kwenye warmers..
 
Huwezi kila jamaa yako anapopita njia nyingine kufikiria vibaya after all sometimes a guy needs it hawezi kuja straight home kila siku. Bacha mtu anae kua ametoka kunywa/ kwa rafiki zake/kufanya kitu productive ni tofauti ana attitude tofauti anapofika home - Body language speaks it all (or should I say the whole of him?). yeye kama anakaa mbagala na kila siku unapita njia ya mwenge na hali anafanya kazi posta; dont you think kama kuna shughuli huko hatamshirikisha the wife?

ndo maana Asha nikasema kuwa , unless uwe unaifahamu hiyo mizunguko yake!
lakini tambua kuwa mizunguko hiyo ni tofauti kabisa na hiyo attitude unayoiongelea,
sio lazima uwe kwenye mizunguko ndo ufanikishe hayo?
safari yako tu ya asubuhi ya kwenda kazini inaweza kuhitimisha hayo yote,
kama umeamua kufanya hivyo!!!!!!!!
Then nikarudi nyumbani straight!!!!!!!!!kama concept tunayozungumza hapa ni mizunguko,
sorry....................
 
Ndio maana sijashangaa maana wasiwasi kama huu wamama wanakuwa nao sana

Linda mali yako, mabinti wazuri mithili ya akina Minaj, Knowles, Jolie, ambao kazi yao ni kufurahisha tu mwanaume hata kama ni bure wanazaliwa kila siku hapa town- sijui wanatoka wapi! Unafikiri naweza shindana nae mimi ninae wahi ofsini nangalia your four kids na kuweka nyumba sawa? once akikukwapua kazi kweli kweli kukurudisha. Wasiwasi ni proactivation ila tu haitakiwi kukithiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom