Ladies know ur man - usitingishe kibiriti ovyo

Baada ya kuangalia hii clip nimekumbuka kitu. Kuna mtu alinishauri kuwa si vizuri kutumia magari tofauti kwenda kazini kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo. Kwa kweli na mimi hilo nimeona ni tatizo katika ndoa nyingi. Mababa wengi wanaotumia usafiri tofauti na wake zao ndio wale kutwa kuwapa mabinti lifti na ndio wale wanaorudi saa nane za usiku toka kazini. Unakuta mtu anakaa mbagala lakini kila akitoka kazini lazima apitie mwenge!
Uking'ang'ania kwenda ae ofisini kama sio mtu wa kukaa baa utajuta, utapiga mihayo mpaka kesho yake hurudii tena
 
Kiberiti lazima kitingishwe kuona kama njiti zimejaa zikipungua unawahi dukani kureplace haraka sana mpendwa
 
Patient:
If you love someone, Set her free ...
If she doesn't come back,
continue to wait until she comes back ...

hii mie ndo naiogopa dahhh
vipi asipo rudi kimoja kimoja mmhh
halafu hapo miaka 50 baadaye bado unasubiri tu daahh
mii mie sitaki ntajisikia vibaya sana nikisikia ka kuna aliefanya hivi..

Mmenichekesha sana. Naendelea kukusanya data za ka research kangu.
Foleni zimesaidia wanaume kupata sababu za kuchelewa kurudi nyumbani

Kumiliki magari zaidi ya moja kumechangia wanaume kuchelewa kurudi nyumbani

BUT: Wanawake nao wanafanya kazi na wanapita barabara hizo hizo zenye foleni lakini wao wanawahi kurudi nyumbani

Watoto wanampenda na kumjua MAMA zaidi kwa sababu anawahi kurudi nyumbani
 
Afrodenzi wapo am telling you, but the good thing ni wachache mno na siku zinavyozidi kwenda wanazidi kupungua pamoja na uchache wao; mana vitu vya kumpush mtu kua katika mahusiano vimekua kwa kasi. si umeona siku hizi unakuta dogo ana 14 years na ana engage katika sexual intercourse ki ufundi kabisa. sijui tunaelekea wapi?
 
Umeona eeeh! Nyumba kubwa looking forward to the research results and analysis.
 
siku hizi sipendi kujipa presha kama zamani

Thats good 1ST lady1, inaonesha sasa ni mdada ambae tayari anajua anachotaka na you make decisions before na within relationships for the best of you na hio relationship.
 
Afrodenzi wapo am telling you, but the good thing ni wachache mno na siku zinavyozidi kwenda wanazidi kupungua pamoja na uchache wao; mana vitu vya kumpush mtu kua katika mahusiano vimekua kwa kasi. si umeona siku hizi unakuta dogo ana 14 years na ana engage katika sexual intercourse ki ufundi kabisa. sijui tunaelekea wapi?
vizuri na nimefurahi kusikia kuna wenye moyo hivyo
daaahhhhh kweli mapenzi ni kitu kingine my dear mmmhh
my dear hilo swali la tunaenda wapi naliuliza mwenyewe kila siku
mmhhhhh maana vitu vinavyoibuka dunia hii kila siku vinatisha .......
 
Patient:
If you love someone, Set her free ...
If she doesn't come back,
continue to wait until she comes back ...

hii mie ndo naiogopa dahhh
vipi asipo rudi kimoja kimoja mmhh
halafu hapo miaka 50 baadaye bado unasubiri tu daahh
mii mie sitaki ntajisikia vibaya sana nikisikia ka kuna aliefanya hivi..

Be patient nitarudi sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom