Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,777
Tumezoea katika jamii wanaume kulipia pale anapotaka sex kwa mwanamke kiasi kwamba kumekuwa hadi na biashara huria inayoendeshwa na wadada maarfu kwa jina la CD kwa hapa Bongo.
Swali kwa ma ladies, Je unaweza mlipa mwanaume ili tu upate sex kwake? :A S shade:
Swali kwa ma ladies, Je unaweza mlipa mwanaume ili tu upate sex kwake? :A S shade: