LADIES, Before you date a MARRIED MAN you should know this: (Must read and share)

LADIES, Before you date a MARRIED MAN you should know this: (Must read and share)

1. The only thing he wants from you is sex, After Cumming he will be gone. He will only sweet talk you again when he needs some sex.
2. He can spend a day with you touring beautiful places but at the end of the day he will go back to his ...wife and kids who will be missing him.
3. He is never going to leave his kids and wife because of you. He will only be fooling you all the time with words like “I will marry you, I will build for you a house, I will buy for you land, I will take you to the driving school, I will buy for you a posh car” and many more different lies.
4. Keep it in your minds that you’re not the only one he sleeps with apart from his wife. If he can cheat on his wife with you then can’t he cheat on you with some other lady? Seriously he does. He spends his time and money on other babes just like the way he does with you.
5. He really loves his wife that is why he married her, he can’t divorce her and he can’t marry you. You are just his side dish to take off his stress. So his loving you is for fun and temporary.
6. He will dump you after using you for some other fresh babe; he won’t fulfill what he promised you. Those will be lies that he told you just to soften your heart and to get what he wanted.
7. Getting pregnant won’t fully trap him; He has his real kids and wife at home that he can show to the friends and relatives. You and your kids will be hidden.
8. His property and money are his, children and his wife. It’s very hard to get a share on his property.
9. You will never be part of his future, so stop wasting your time and energy. Cease serving your body to him because he gives you some money, because he promised you something…

A real lady works hard and gets her own money, pays her bills and a man with a lot of dime should just be a BONUS. Be wise dear Ladies. Get out of that sexual network. Stop wasting your time with married men. Love guys of your age who have true love for you.
copy to katlego
 
Last edited by a moderator:
Wanawapenda waume za watu kwasababu ya pochi na freedom; mume wa mtu lazima arudi nyumbani kwake na ndio wakati wa nyumba ndogo kujirusha kwa wakati wake!!
 
Mimi binafsi nachukia sana mume wa mtu. kwanza atataka uwe na mahusiano nae ya siri ni kwa sababu anampenda mke wake na hataki ajue au amkwaze. Kama haridhiki kwa mke wako ataridhika kwako au nawe utaachwa baada ya kukuchoka. wanawake acheni vya bwerere jishughulisheni ili kujipatia kipato ili kuepuka kudhalilishwa na hao mapedeshee. wanaowahonga. kama kuna kitu nachukia ni mume wa mtu kwanza utajitengenezea lawama kwani wengine wanaacha familia zikiteseka na kuhamishia macare nyumba ndogo (kwa wenye vipato vya wastani ambavyo havitoshi familia mbili). aliyeandika hiyo thread amesema kweli tupu mkatae ila uhalisia ndo huo na malipo ni hapa duniani. Yaani hakuna kitu kinaniuma roho kama kujua anayenitongoza ni mume mtu hata kama wanaume hawataacha kutoka nje ya ndoa ila kwangu siwataki jamani. hivi leo umedate na mume wa mtu kesho nayo unaona mume wako anadate na mtu unayemfahamu utajisiaje. tunajilaani wenyewe tuache hizo tabia
 
ngoja niende kwa king'ast changu hii habari mi siitambui mi navua pichu tu sijali kama hayo yapo
 
Tatizo la kukopy vitu kiupofu upofu! Hizo dondoo zote ulizoweka hapo labda zina apply ktk jamii za upande mwingine wa dunia... na hata sijui ni upande gani huo, ila kwa jamii yetu hii ya vurugumechi... Hivi kweli unamwambia binti kuwa huyo mwanamume wa mtu hatamuacha mkewe wakati kaka, wajomba na hata wazazi wake wanaachana kila leo mbele ya macho yake atakuelewa? Mabinti wafanye kazi kwa bidii?! Jamii nzima siyo tu hawafanyi kazi kwa bidii bali hata uwezo wa kufikiri ktk jamii hii ni kama unapotea! Sasa sijui watafanyaje kazi kwa bidii?! Angalia ushauri uliotoa mwisho... wawapende wanaume wa umri wao 'maana ndio wenye upendo wa kweli kwao'...!!! Ya kweli hayo??? Misingi ikiharibika kila kitu kinakuwa vululu-vululu... Ndo mnayoyaona sasa, huwezi kurekebisha ukuta au paa wakati tatizo liko kwenye msingi.

Nimekupenda bure!
Na huu ndio ukweli...period
 
kwanza nadiclear interest kwamba:mi na waume za watu ni vitu viwili tofauti,i hate them!
Bt lazima tukubali ukweli kwamba hao wanaotembea na waume za watu sio kwamba nao wanawapenda km ilivyo kwa hao wanaume,ila wapo kifedha zaidi! wapo ki strategy, shule, kujengewa,kazi(future) nk,baada ya hapo kila m2 kivyake...so tunasema ngoma droo! 2: kuna wale ambao wapo well off,nafikiri hawa ss ndo utata!coz unakuta m2 ana kila ki2 bt cjui ni nn(mambo mengi yanachangia hapa)....hope wengine mtajazia hapa....
 
Ss kashasomeshw,kajengewa nyumba na kazi katafutiwa, si ndo tayari future yake?(point no 9)
Nashanga wanawwake mwalimu wao kipofu ila wanaona mbali.wewe kaa tulia kwenye ndoa yako mwenzako anatengenezewa maisha na akishakamilisha vyote anammwanvita makamba.
 
kwanza nadiclear interest kwamba:mi na waume za watu ni vitu viwili tofauti,i hate them!
Bt lazima tukubali ukweli kwamba hao wanaotembea na waume za watu sio kwamba nao wanawapenda km ilivyo kwa hao wanaume,ila wapo kifedha zaidi! wapo ki strategy, shule, kujengewa,kazi(future) nk,baada ya hapo kila m2 kivyake...so tunasema ngoma droo! 2: kuna wale ambao wapo well off,nafikiri hawa ss ndo utata!coz unakuta m2 ana kila ki2 bt cjui ni nn(mambo mengi yanachangia hapa)....hope wengine mtajazia hapa....
huna lolote, inaonekana wewe ni mwizi wa mabwana za watu unataka kujifaragua tuu, kuna future gani kati ya mume wa mtu na wewe kimada??
 
kwanza nadiclear interest kwamba:mi na waume za watu ni vitu viwili tofauti,i hate them!
Bt lazima tukubali ukweli kwamba hao wanaotembea na waume za watu sio kwamba nao wanawapenda km ilivyo kwa hao wanaume,ila wapo kifedha zaidi! wapo ki strategy, shule, kujengewa,kazi(future) nk,baada ya hapo kila m2 kivyake...so tunasema ngoma droo! 2: kuna wale ambao wapo well off,nafikiri hawa ss ndo utata!coz unakuta m2 ana kila ki2 bt cjui ni nn(mambo mengi yanachangia hapa)....hope wengine mtajazia hapa....

why do u hate 'em???is it a crime to be a husband??
 
Back
Top Bottom