LADIES, Before you date a MARRIED MAN you should know this: (Must read and share)

LADIES, Before you date a MARRIED MAN you should know this: (Must read and share)

Ukweli unaumaje sasa,moyo unapasuka ila ndio ukweli huyu mume wa mtu nampenda
 
ndio mjue hivyo nyie akina dada humu jf mnaotoka na waume za watu...mkae mkijua sio rizki yenu hata iweje, mnajitafutia dhambi zinazoweza kuepukika kama huna hulka hiyo! huyo atabaki kuwa na mkewe hadi kifo kimkute wakati wewe ushatumika na kupoteza muda wako, not to mention na dhambi hiyo juu! poleni sana, tafuteni wenu sio kubambia vya watu mtalaanika bure! aagghhhrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!

pole yako, unajitia hasira bure. we angalia maisha yako acha kuhangaika na mume
 
Nafikiri kuna kitu kinakosekana hapa. Nyakati hizi ni zile ambapo nyumba ndogo ni mke wa mtu na mpenzi wake ni mume wa mtu pia, na ingawa wote kila mmoja ameweza jenga nyumba na mwenza wake lkn bado yeye na huyo mpenzi wake wa pembeni ni "wapangaji sehemu nyingine na wanalipa kodi"

ndo maana yake, hapo hakuna kuachana labda mchokane then mpotezeane tu.hakunaga kibuti hapo.
 
halafu ole wako awe mume wangu nakutumia virus

mh na wewe, kwani we ndo wa kwanza kua na mume bwana we.

tena mume mwenye mke mkali ndo anakuaga kitombi na mtamu mbayaaaaaaaaaaaaa
 
mh na wewe, kwani we ndo wa kwanza kua na mume bwana we.

tena mume mwenye mke mkali ndo anakuaga kitombi na mtamu mbayaaaaaaaaaaaaa

maneno yako yamenipa uchungu sana
 
Then why do you bother dating with him?You might be a harlot
 
1. The only thing he wants from you is sex, After Cumming he will be gone. He will only sweet talk you again when he needs some sex.
2. He can spend a day with you touring beautiful places but at the end of the day he will go back to his ...wife and kids who will be missing him.
3. He is never going to leave his kids and wife because of you. He will only be fooling you all the time withwords like “I will marry you, I will build for you a house, I will buy for you land, I will take you to the driving school, I will buy for you a posh car” and many more different lies.
4. Keep it in your minds that you’re not the only one he sleeps with apart from his wife. If he can cheat on his wife with you then can’t he cheat on you with some other lady? Seriously he does. He spends his time and money on other babes just like the way he does with you.
5. He really loves his wife that is whyhe married her, he can’t divorce her and he can’t marry you. You are just his side dish to take off his stress. So his loving you is for fun and temporary.
6. He will dump you after using you for some other fresh babe; he won’t fulfill what he promised you. Those will be lies that he told you just to soften your heart and to get what he wanted.
7. Getting pregnant won’t fully trap him; He has his real kids and wife at home that he can show to the friends and relatives. You and your kids will be hidden.
8. His property and money are his, children and his wife. It’s very hard to get a share on his property.
9. You will never be part of his future, so stop wasting your time and energy. Cease serving your bodyto him because he gives you some money, because he promised you something…
A real lady works hard and gets her own money, pays her bills and a man with a lot of dime should just be a BONUS. Be wise dear Ladies. Getout of that sexual network. Stop wasting your time with married men. Love guys of your age who have true love for you.

Acha ujinga wako, so ww unataka nn, acha wenzio wale vitu vya maried man , we mbaya ndo maana hatukutamani we nenda kwa wabaya wenzio, muone uso.
 
kama mume wa mtu nae anadhani anapendwa na nyumba ndogo, basi kaula wa chuya. pale ni kuchunwa kwa kwenda mbele.
Bwana Mujumba for your information, incase you didnt know, nyumba ndogo zinanunuliwa magari, zinajengewa majumba na vitu vingi vya thamani, kama hutoi ni wewe tu unayejifanya una familia. Tena ukizubaa nyumba ndogo ananunuliwa Prado 5 doors wakati wife anaendesha ki Toyota IST maalum kwa kupelekea watoto shule.
Nyumba ndogo ndio inapelekwa holiday out of the Country na hizo beautiful places ulizosema lakini nyumba kubwa, mtoko wa maana na hubby ni kwenye harusi ya ndugu, kikao cha harusi au familia. Ikibidi nyumba kubwa aende holiday, it will be with the kids ili atoe nafasi ya kutosha kwa baba kufaidi nyumba ndogo yake... Upo....
Wewe sema hayo uliyoandika ni wewe lakini usichanganye na wenzio.
Iko mibaba inapata stroke nyumba ndogo inapoamua kuolewa wakiachwa...
 
Acha ujinga wako, so ww unataka nn, acha wenzio wale vitu vya maried man , we mbaya ndo maana hatukutamani we nenda kwa wabaya wenzio, muone uso.
are u insane?? you need to grow dude
 
Du! mpenzi wangu kama ni member wa JF sijui kama ataendelea kunipa ile tamtam yake.
 
Back
Top Bottom