LADIES, Before you date a MARRIED MAN you should know this: (Must read and share)

I see the truth on it. But some time they benefit and enjoy alot from married men.
To reminder my dearest girls real love is INDIVISIBLE!!
 
kwani huyo married man nataka future naye ya nini. all i want ni vijisenti vya kumalizia nyumba yangu, kama ni kubanana kitandani usiku akabanane na mkewe.
 
Kama mwanaume anacheat hapo jibu ni moja tuuu hapendwi mke wala hicho kichenchedee cha nje

Yani achakachue huko weee kisa mwisho wa siku anarudi kwa mkewe ndo unaconclude anampenda!!???ukiskia umathafantaa ndo huo

Well spoken!!! Ukimpenda mtu unamcheat??? Kizungumkuti!!!......
 
sasa mbona unanigusa mimi na hiyo post yako aisee.... nimeoa lakini huwa natoa maneno matam matam kwa bibie wa nje na ukweli mimi ninachotaka kwake huwa ni utam tu na hakuna cha zaidi maana kitabia mke wangu nampa 100%. so huyu kibwengo acha nifaidi utamu tu

Unaona umeiponda Nyumba ndogo, kumbe umemdhalilisha mke wako! Kama huko nje umefuata utamu basi mke wako ni majangaa!! Ajabu umeoa tabia nzuri100% umeacha utamu! Shame on you na wengine wote wa aina yako!!!
 
ndege wanaofanana huruka pamoja! huyo kibwengo kaona kibwengo mwenzie kaamua kutembea nae

Kibwengo mtamu kuliko mke wake!! Mke wake anapika vizuri na kuamkia kwa adabu lakini si mtamu kama kibwengo!
 
Future na mume wa mtu staki,,; nipe pesa nijenge mjengo wangu na biashara yangu niongezee mtaji bas......... the rest go to ur wife!!!!!!!!!!!
 
Hizo facts zote wanazo wakati wanatongozwa. Pete za ndoa wanaziona lakini hawajali. Ni barter trade. Exchange of sex for material things including money.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom