Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
tatizo babu unaniona mimi dogo sana,while am not!
Haya bwana...
Unataka kuwa mkubwa??
Babu DC!!
tatizo babu unaniona mimi dogo sana,while am not!
Hueleweki, mara hapendwi mtu ila pochi mara umepewa bure toa bure.....
wewe watoa bure?
Maji ya kununua huku utaosha na nini ukitoa bure
sasa mbona unanigusa mimi na hiyo post yako aisee.... nimeoa lakini huwa natoa maneno matam matam kwa bibie wa nje na ukweli mimi ninachotaka kwake huwa ni utam tu na hakuna cha zaidi maana kitabia mke wangu nampa 100%. so huyu kibwengo acha nifaidi utamu tu
[/B][/COLOR]
All these are facts but others are more strong facts than the others,
This is the true findings and will remain as it is forever.
I do know what is wrong with we people, we should always learn to agree on the reality.
It is not easy at all to take husband of someone to be yours, that is a day dream of a fake dream.
Kwani mpaka useme BURE kwani wewe husikiagi raha? Hiyo raha we kwani unailipia? Sishangai utataka nikulipe wakati nikikuwekea hayo makitu tu unageuza macho ka umezimia kwa raha halafu nikulipe... HAYA, mi nataka kwa kukulipa raha utakayoipatawe unataka bure??sema2
kanijengea nyumba,kanipeleka shule hivi ninavyokwambie ninamasters na kazi kanitafutia ila kuzaa nae ni option
The Boss bana! Unatafuta ugomvi na watu...!What about married men who date married women? lol
kanijengea nyumba,kanipeleka shule hivi ninavyokwambie ninamasters na kazi kanitafutia ila kuzaa nae ni option
You will never be part of his future, so...
:biggrin: