LADIES, Before you date a MARRIED MAN you should know this: (Must read and share)

LADIES, Before you date a MARRIED MAN you should know this: (Must read and share)

Kama mwanaume anacheat hapo jibu ni moja tuuu hapendwi mke wala hicho kichenchedee cha nje

Yani achakachue huko weee kisa mwisho wa siku anarudi kwa mkewe ndo unaconclude anampenda!!???ukiskia umathafantaa ndo huo
 
ha ha ha tatizo avatar ilinichanganya halafu fix kibao
cc: The Boss
duh ni wa hapa? pole sana mbona jamaa wa hapa wapo poa tu! mimi nipo na wa huku full burudani ila ni brand new sio mume wa mtu! mi used situmii
 
Do you think this will deter women from sleeping around with married men?

Nakubaliana na wewe Karucee, hakuna ugunduzi mpya ndugu yangu.....Hayo yote watu wanajua na bado wanaendelea kupiga league!!

Addiction ya ngono ni zaidi ya nicotini (sigara) au cocain...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
What about married men who date married women? lol

Ndiyo maana kila siku huwa nasema kama ningepewa na nafasi ya kukariri darasa, haki ya nani watoto wadogo wasingenisogelea...

Ningetumia bidhaa ambazo brands zake hazina utata tena...lol!!

Babu DC!!
 
sasa mbona unanigusa mimi na hiyo post yako aisee.... nimeoa lakini huwa natoa maneno matam matam kwa bibie wa nje na ukweli mimi ninachotaka kwake huwa ni utam tu na hakuna cha zaidi maana kitabia mke wangu nampa 100%. so huyu kibwengo acha nifaidi utamu tu
 
duh ni wa hapa? pole sana mbona jamaa wa hapa wapo poa tu! mimi nipo na wa huku full burudani ila ni brand new sio mume wa mtu! mi used situmii

cc The Boss lol utakoma leo
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe Karucee, hakuna ugunduzi mpya ndugu yangu.....Hayo yote watu wanajua na bado wanaendelea kupiga league!!

Addiction ya ngono ni zaidi ya nicotini (sigara) au cocain...

Babu DC!!
addiction si unae bibi? mtumie muda wote unaotaka..ama kuna addiction ya kubadili badili..kama kuna kipindi ambacho huwa nachukia wanaume ni wakati ambao mtu analeta application ya kunifanya spare tyre..yaani huwa wanajuta kunifahamu,,,nakupa neno moja tu na roho yako inapona
 
Hayo NI mazoea tuu YA mdoa ndio maana anamaliza haja zake nje alaf nyumbani kulala
 
sasa mbona unanigusa mimi na hiyo post yako aisee.... nimeoa lakini huwa natoa maneno matam matam kwa bibie wa nje na ukweli mimi ninachotaka kwake huwa ni utam tu na hakuna cha zaidi maana kitabia mke wangu nampa 100%. so huyu kibwengo acha nifaidi utamu tu
ndege wanaofanana huruka pamoja! huyo kibwengo kaona kibwengo mwenzie kaamua kutembea nae
 
addiction si unae bibi? mtumie muda wote unaotaka..ama kuna addiction ya kubadili badili..kama kuna kipindi ambacho huwa nachukia wanaume ni wakati ambao mtu analeta application ya kunifanya spare tyre..yaani huwa wanajuta kunifahamu,,,nakupa neno moja tu na roho yako inapona

Ngoja nisiseme mengi kwani nilishatundika vifaa...

Otherwise, ningejifua ili kuonesha kwamba kinachomata ni ujuzi na uzoefu...lol!!

Enzi zetu bwana watu waliamini kwamba menu ile ile inaua ubunifu...

Hivi nyie mnaendaje??

umeandika kibondei babu? sijakuelewa kabisa
 
umeandika kibondei babu? sijakuelewa kabisa

Siku ukiwa mstaafu kama sie utaelewa mdogo wangu Smile...

Wewe endelea kutesa kwa zamu....uzuri ni kwamba hatuwezi kurudi kwenye hilo kundi tena..lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ndege wanaofanana huruka pamoja! huyo kibwengo kaona kibwengo mwenzie kaamua kutembea nae
hahahahaaaaa wewe bibie hebu niache nijifaidie mautamu mtoto wa mwenzio... eboooo
 
haaha there a number of factors! am working on it, soon nitaleta the findings
Za kuanza nazo:

image.jpg

image.jpg

image.jpg
image.jpg

image.jpg

image.jpg
 
hata mimi nimestaafu kabisa izo mambo babu

Umestaafu leo usiku??

Usiwe na haraka, yatakufika tu hata kama ungejificha kwenye shimo la panya...

Heri yetu tumeshajioelea.....

Babu DC
 
tatizo babu unaniona mimi dogo sana,while am not!
Umestaafu leo usiku??

Usiwe na haraka, yatakufika tu hata kama ungejificha kwenye shimo la panya...

Heri yetu tumeshajioelea.....

Babu DC
 
1. The only thing he wants from you is sex, After Cumming he will be gone. He will only sweet talk you again when he needs some sex.
2. He can spend a day with you touring beautiful places but at the end of the day he will go back to his ...wife and kids who will be missing him.
3. He is never going to leave his kids and wife because of you. He will only be fooling you all the time withwords like “I will marry you, I will build for you a house, I will buy for you land, I will take you to the driving school, I will buy for you a posh car” and many more different lies.
4. Keep it in your minds that you’re not the only one he sleeps with apart from his wife. If he can cheat on his wife with you then can’t he cheat on you with some other lady? Seriously he does. He spends his time and money on other babes just like the way he does with you.
5. He really loves his wife that is whyhe married her, he can’t divorce her and he can’t marry you. You are just his side dish to take off his stress. So his loving you is for fun and temporary.
6. He will dump you after using you for some other fresh babe; he won’t fulfill what he promised you. Those will be lies that he told you just to soften your heart and to get what he wanted.
7. Getting pregnant won’t fully trap him; He has his real kids and wife at home that he can show to the friends and relatives. You and your kids will be hidden.
8. His property and money are his, children and his wife. It’s very hard to get a share on his property.
9. You will never be part of his future, so stop wasting your time and energy. Cease serving your bodyto him because he gives you some money, because he promised you something…
A real lady works hard and gets her own money, pays her bills and a man with a lot of dime should just be a BONUS. Be wise dear Ladies. Getout of that sexual network. Stop wasting your time with married men. Love guys of your age who have true love for you.

All these are facts but others are more strong facts than the others,

This is the true findings and will remain as it is forever.

I do know what is wrong with we people, we should always learn to agree on the reality.

It is not easy at all to take husband of someone to be yours, that is a day dream of a fake dream.
 
Back
Top Bottom