Ladies and lovemaking

Ladies and lovemaking

Reason kubwa: ni kukutana na kitu ambacho hakikuwa expected ( Mai expiriensi)
Nakutana na mkaa mzuri kichizi nampania ile mbaya nahisi game yake itakuwa tight mbaya
nikikaa chumbani muda wote napasha weee nakata viuno, najifua kwa ajili ya hiyo siku
siku ya kukutana na jamaa sasa ananuka jasho ile mbaya, labda zimepita days kadhaa basi mindevu imeota amekuwa kama
kabeba kiota cha ndege hapo kidevuni afu mchafu, okay nimejitutumua kupapasa mdoli wake nakuta kitu sikutegemea
nilijipanga kukutana na kitu imara kama kama simba uuh baada ya kuchezea weee kitu size ya msokoto wa bangi
afu kimekaa kimdebwedo tu....
kwa hizo situation kuna mzuka tena?nakuuliza wewe ulieuliza swali
Duh! Kweli mmetuchoka. Lkn kama vile kuna kaukweli. Tumekalia chips mayai, ndio majanga hayo dada. Imeniuma sana
 
Hapo umenikosa mzee....hayo yote hayanihusu. Kwenye upande wa approach, kwani unafikiri kwangu alikujajekujaje? Na mahaba nayajua mzee.
Usijisifie mwenyewe subiri waliopita anga zako waseme. Kila mwanaume/binadamu anadhani yuko kamili kwa kila jambo. Kunuka kikwapa kuna wakati hujisikii mwenyewe mpaka jirani yako aseme, sambamba na kunuka mdomo. Unayoweza kuzungumzia ni kama kunyoa ndevu kwa sababu unajiona kila siku kabla hujondoka
 
Reason kubwa: ni kukutana na kitu ambacho hakikuwa expected ( Mai expiriensi)
Nakutana na mkaa mzuri kichizi nampania ile mbaya nahisi game yake itakuwa tight mbaya
nikikaa chumbani muda wote napasha weee nakata viuno, najifua kwa ajili ya hiyo siku
siku ya kukutana na jamaa sasa ananuka jasho ile mbaya, labda zimepita days kadhaa basi mindevu imeota amekuwa kama
kabeba kiota cha ndege hapo kidevuni afu mchafu, okay nimejitutumua kupapasa mdoli wake nakuta kitu sikutegemea
nilijipanga kukutana na kitu imara kama kama simba uuh baada ya kuchezea weee kitu size ya msokoto wa bangi
afu kimekaa kimdebwedo tu....
kwa hizo situation kuna mzuka tena?nakuuliza wewe ulieuliza swali

Ha haaaa mbavu zangu mie he hreeee ukweli mtupu
 
Mie nipo above 30 na kama tumekutana mara ya kwanza na hatujapima hata unichezeshe vipi´, nilowe vipi uingizi mdudu kwa papuchi yangu. Kwa kweli siwezi ishi kwa hofu tupime kwanza papuchi baadae.

Siande niko tayari kupima tena tukiwa pamoja,are u ready???am above 30 like u
 
Last edited by a moderator:
Ili uwaelewe wanawake na tabia zao inabidi uwe makini sana

Kimaumbile wanawake huwa mara nyingi wanapokuonesha kukataa huwa ni kinyume hasa kwenye mambo haya

Siku moja nilikuwa nyumbani na pale nyumbani kuna jamaa anafuga bata

Nikiwa nimekaa natafakari mambo tofauti tofauti mara bata dume akaja anamkimboza bata jike

Bata jike alikimbia sana na mwishowe akasimama na kupandwa
Baada ya hilo tukio nilianza kutafakari sana sababu ya bata jike kukimbia halafu baadae kukubali kirahisi

Nilikumbuka video mbali mbali za wanyama nilizowahi kuangalia nyakati wakitaka kuingiliana huwa ni hivyo pia yaani ni lazima jike lilete ukorofi kwanza hata kama lenyewe ndilo lilimfuata dume

Hebu chukulia mfano kuku,jogoo linaweza kumuita kwa mbwembwe nyingi na mtetea likaja [usidhani kuwa halijui limeitiwa nini] na jogoo likitaka kupanda mtetea huanza mbio .......... inashangaza eeeehhhh

Kimaumbile wanawake ndivyo walivyo

Wakiwa na uhitaji wa jambo hili ni lazima waoneshe kama hawataki hadi wewe mwanaume uoneshe "uanaume wako"

Ukijidai eti wewe ni mstaarabu inakula kwako,hulambi na akitoka hapo huenda kusema huko "aaah fulani hakuna kitu"

Sijui Mungu amewaumbaje tu hawa watu

Ni mara chache sana hawaoneshi ukorofi
Lakini ni mara chahce pia huonesha kutokutaka kweli

Hao ndio wanawake bana!

Duh kama kweli vile ila kukataa kataa nako kuna utamu wake bwana asikuambie mtu
 
Usijisifie mwenyewe subiri waliopita anga zako waseme. Kila mwanaume/binadamu anadhani yuko kamili kwa kila jambo. Kunuka kikwapa kuna wakati hujisikii mwenyewe mpaka jirani yako aseme, sambamba na kunuka mdomo. Unayoweza kuzungumzia ni kama kunyoa ndevu kwa sababu unajiona kila siku kabla hujondoka

sure,kikwapa anajua mwingine,,,,,,tunaopanda daladala tunajijua
 
Wapo ambao wanakuwa hawataki kweli lakini hii hutokea mara chache sana tena sana

Ila kawaida huwa ni sitaki nataka tu

Mtu anatoka kwao anaoga anakuja "gheto" na anajua kabisa kuwa anakuja "kuchinjwa" na anajiandaa hivyo [hili nina uhakika nalo kwani nilishafanya utafiti]

Lakini cha ajabu ni hadi 'tenki" ndio "anatoa"

Mwanzoni nilidhani ni wato wasichana ndio wana hizi lakini nilikuja kugundua hata wale mature nao wana hii kitu

Wanawake bana acha tu!!!!!!
Mi nadhani ndio maana ya wao kuitwa wanawake, na wanachokifanya ndio kinaleta raha kwetu kumgegeda. Sidhani kama inaleta raha mnafika tu partner wako anaanza kuvua na kudandia kitanda na kuchanua ili uingie kirahisi inaleta raha ya kugegeda. It is nature ili kuleta raha kwetu
 
girls are

stupid
unapiga
angalia
usa mpaka wanalesini
unapiga tu
 
Tumia ujanja wote ulionao hadi akupe

Kuna nyakati nilikuwa natumia njia ya kuangalia porno
Ilisaidia kwa muda ila siku hizi nimekua hivyo hii siitumii tena

Ila kuna mbinu tofauti tofauti kulingana na mwanamke husika

Kuna wengine wanapenda sana kubembelezwa hadi unajikuta ushamgegeda
Wengine wanapenda sana story,huyu unamshawishi kwa step hadi anapanda kitandani na kukiwa na kajoto ndio safi atatoa tu vinguo vyake
Wengine wanapenda sana kuangalia muvi za story,hapo hapo kwenye muvi unafanya ushawishi wa mambo yanayohusiana na hiyo kitu hadi anajikuta anabembea [wakubwa watakuwa wamenielewa hapa]

Kimsingi hakuna kanuni kwenye hii kitu mkuu
Unamshambulia adui kama alivyokuja!

Ha haaaa jamani tunatiana ashkiiiiiii uwiiii
 
hivi ya kupewa kibabe na ya kupewa kilaini zina tofauti gani maana yote ni mgegedo
Moja ina raha sana na nyingine inakuwa kama unakunywa maji ya kawaida wakati una kiu ya maji ya bariiiiiidi
 
Reason kubwa: ni kukutana na kitu ambacho hakikuwa expected ( Mai expiriensi)
Nakutana na mkaa mzuri kichizi nampania ile mbaya nahisi game yake itakuwa tight mbaya
nikikaa chumbani muda wote napasha weee nakata viuno, najifua kwa ajili ya hiyo siku
siku ya kukutana na jamaa sasa ananuka jasho ile mbaya, labda zimepita days kadhaa basi mindevu imeota amekuwa kama
kabeba kiota cha ndege hapo kidevuni afu mchafu, okay nimejitutumua kupapasa mdoli wake nakuta kitu sikutegemea
nilijipanga kukutana na kitu imara kama kama simba uuh baada ya kuchezea weee kitu size ya msokoto wa bangi
afu kimekaa kimdebwedo tu....
kwa hizo situation kuna mzuka tena?nakuuliza wewe ulieuliza swali

haloooooo ooooh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom