Ladies and lovemaking

Ladies and lovemaking

There is more to it....lol!

Umejaribu kuconsider the effect that your decision iz going to have on him, and the both of you?
Kama hisia zimebadilika, na mawazo yamehama no way
siwezi kujilazimisha asee ntajimwagia hata tomato niseme nimesafiri safari ya kijografia kuelekea angani
no plzzzzzz
 
Kwahiyo Eiyer which is the best method ya kumfanya akupe??
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kuingia ndoani huwa kuna mafunzo chungu tele ambayo mwanamke au mwanaume hupewa juu ya suala zima la tendo la ndoa...

Yawe mafunzo ya kimila au ya kidini yote huwaambia wanandoa watarajiwa kuwa wasinyimane na jukumu kubwa kwa wenzi wao ni kuhakikisha wanaridhishana kingono...

Narudia tena kwa wanandoa hili si suala la kujadili unless uwe umeoa au umeolewa na mtu ambaye hukupendana naye...

Natamani kukuuliza maswali lakini naogopa itakuwa mada nyingine.
Ila nimekuelewa.
 
Inategemea ni muda gani tumekutana ....sio tukutane jana na leo utake kunigegeda aah wapi!..

Kingine wanaume muandae mazingira ya kimapenzi kabisa kabla ya mimi kuja gheto kwako ili nikija niwe nimejindaa with mind and body kwamba leo naenda kutombwa.

Kosa mnalofanya hamtuandai kiakili mapema hamna ubunifu wa sex talk....utakuta mwanaume anakwita sehemu, mnakula,mnakunywa na kucheka then we taratibu unaenda kuchukua chumba bila ya kuniambia..unakuja sema tuamie chumbani inahusuu? Ntakutolea mbavuni tu.
 
Kama hisia zimebadilika, na mawazo yamehama no way
siwezi kujilazimisha asee ntajimwagia hata tomato niseme nimesafiri safari ya kijografia kuelekea angani
no plzzzzzz

Duuuhhh....huwezi labda kudeal na expectations zako, kujiweka open and ready for any and every thing?
 
Ukija na kuanza kuvua its a little bit weird, but works fine. Kujifanya kukataa is fine, sababu unanipa motisha ya kupasua ubongo hadi nikushawishi, unipe!

Sasa hawa wanaokataa moja kwa zote yani piga ua ndo hivyo tena....inakuwaje?

Oh...anxiety ndo inasababisha hivyi eh?! So solution ni mwanaume kukuondoa the anxiety au sio?!

Mpaka mwanamke aje geto ni lazima katika akili yake anajua possibility ya kuliwa ni zaidi ya asilimia 80.
Hizo sitaki sitaki ni vionjo tu na ni njia ya kujipandisha thamani ili atofautiane na wale wa corner bar....!

Akikaza sana anamaanisha anataka ulazimishe sanaaa, tena nguvu ikitumika ndo raha.
Yani ni raha kumuona mwanaume anahangaika kwa ajili yako....hao wafalme tu walikuwa wanaua simba ili wawapate mamalkia, huyo jogoo tu anakimbiza hadi anachoka.....halafu we binadamu ndo upewe kiulaini?.....mwanamke ana thamani bwana.

Pia kutoana hofu muhimu, unaweza kumtoa hofu kwa kuchat nae kabla walau ajiandae kisaikolojia.
 
Reason kubwa: ni kukutana na kitu ambacho hakikuwa expected ( Mai expiriensi)
Nakutana na mkaa mzuri kichizi nampania ile mbaya nahisi game yake itakuwa tight mbaya
nikikaa chumbani muda wote napasha weee nakata viuno, najifua kwa ajili ya hiyo siku
siku ya kukutana na jamaa sasa ananuka jasho ile mbaya, labda zimepita days kadhaa basi mindevu imeota amekuwa kama
kabeba kiota cha ndege hapo kidevuni afu mchafu, okay nimejitutumua kupapasa mdoli wake nakuta kitu sikutegemea
nilijipanga kukutana na kitu imara kama kama simba uuh baada ya kuchezea weee kitu size ya msokoto wa bangi
afu kimekaa kimdebwedo tu....
kwa hizo situation kuna mzuka tena?nakuuliza wewe ulieuliza swali

Mnhh huwa mnapasha na kukata viuno?
 
Kwahiyo Eiyer which is the best method ya kumfanya akupe??

Tumia ujanja wote ulionao hadi akupe

Kuna nyakati nilikuwa natumia njia ya kuangalia porno
Ilisaidia kwa muda ila siku hizi nimekua hivyo hii siitumii tena

Ila kuna mbinu tofauti tofauti kulingana na mwanamke husika

Kuna wengine wanapenda sana kubembelezwa hadi unajikuta ushamgegeda
Wengine wanapenda sana story,huyu unamshawishi kwa step hadi anapanda kitandani na kukiwa na kajoto ndio safi atatoa tu vinguo vyake
Wengine wanapenda sana kuangalia muvi za story,hapo hapo kwenye muvi unafanya ushawishi wa mambo yanayohusiana na hiyo kitu hadi anajikuta anabembea [wakubwa watakuwa wamenielewa hapa]

Kimsingi hakuna kanuni kwenye hii kitu mkuu
Unamshambulia adui kama alivyokuja!
 
Duuuhhh....huwezi labda kudeal na expectations zako, kujiweka open and ready for any and every thing?
You don't understand hivi vitu asee bad enough you are a man
najua nyie huwa mnajilipua kama mafisi tu hata mizoga mnavunja mifupa
hivi ulishawahi kukutana na mwanamke akakuturn off hadi nanii ikashindwa kukamata network?
kama hujawahi hautakaa unielewe hata kidunchu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom