Ladies and lovemaking

Ladies and lovemaking

Inategemea ni muda gani tumekutana ....sio tukutane jana na leo utake kunigegeda aah wapi!..

Kingine wanaume muandae mazingira ya kimapenzi kabisa kabla ya mimi kuja gheto kwako ili nikija niwe nimejindaa with mind and body kwamba leo naenda kutombwa.

Kosa mnalofanya hamtuandai kiakili mapema hamna ubunifu wa sex talk....utakuta mwanaume anakwita sehemu, mnakula,mnakunywa na kucheka then we taratibu unaenda kuchukua chumba bila ya kuniambia..unakuja sema tuamie chumbani inahusuu? Ntakutolea mbavuni tu.

Muambiwe miezi sita Kabla?mi nakuambia mwaka Mzima Kabla lol
 
You don't understand hivi vitu asee bad enough you are a man
najua nyie huwa mnajilipua kama mafisi tu hata mizoga mnavunja mifupa
hivi ulishawahi kukutana na mwanamke akakuturn off hadi nanii ikashindwa kukamata network?
kama hujawahi hautakaa unielewe hata kidunchu....

Hujambo weye?
 
Hapo umenikosa mzee....hayo yote hayanihusu. Kwenye upande wa approach, kwani unafikiri kwangu alikujajekujaje? Na mahaba nayajua mzee.

Poa mkuu tusubiri wataalamu wafunguke huo ni mtazamo wangu tu.
 
Kwa mujibu wa sheria gani?

Kaka ni wewe uulizaye haya maswali au wauliza kimazoea tu?

Sheria ya kujaamiana inaeleza hivyo, sheria za kiimani (dini) zinaeleza hivyo, sheria za kijamii (mila) zinaeleza hivyo pia.
 
Tumia ujanja wote ulionao hadi akupe

Kuna nyakati nilikuwa natumia njia ya kuangalia porno
Ilisaidia kwa muda ila siku hizi nimekua hivyo hii siitumii tena

Ila kuna mbinu tofauti tofauti kulingana na mwanamke husika

Kuna wengine wanapenda sana kubembelezwa hadi unajikuta ushamgegeda
Wengine wanapenda sana story,huyu unamshawishi kwa step hadi anapanda kitandani na kukiwa na kajoto ndio safi atatoa tu vinguo vyake
Wengine wanapenda sana kuangalia muvi za story,hapo hapo kwenye muvi unafanya ushawishi wa mambo yanayohusiana na hiyo kitu hadi anajikuta anabembea [wakubwa watakuwa wamenielewa hapa]

Kimsingi hakuna kanuni kwenye hii kitu mkuu
Unamshambulia adui kama alivyokuja!

Eeeh kumbee???
 
M hua nawaachaga wanaenda....maana vijisababu ooh ts the first day...hatujazoeana!!...awa ni wale wa fasta fasta..unamwambia aya msalimie mama ee...km na no unazo unazifutilia mbal
 
Inategemea makubaliano tangu bint anakuja,mlipanga akija mfanye yenu?
Kama ndivyo basi sitaki itakuwa ya mbwembwe tu as akiingia na kuanza kusaula unaweza nawe ustuke na kuahirisha mechi.
Kama hamkupanga hilo,ana haki ya kukataa kwa maana halisi ya kukataa na hasa kama ndio 1st time,ni fear of unknown!
Maumbile yako yakoje?,game yako dkk ngapi?,utam rate vipi?,utaridhika naye?,atakumudu?
Kama mlisha do before na ana majibu ya baadhi ya haya maswali bado anaweza kukataa pia kwa sababu zake binafsi ila ukifanikiwa kuingia hana jinsi bora tu atoe ushirikiano ili iwe win win situation!!!
 
Unajifanya bikra kumbe birika he he he

Hahahaaaa, kuzaliwa mwanamke raha mwee!
Tena akivua unafumba macho kama hujawahi kuuona.....wakati we ndo unaongoza ligi....yani team libolo hazikutishagi.
Cha ajabu zaidi round ya pili unaianzisha mwenyeweeee....lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom