Ladieeeeees help......

Ladieeeeees help......

mtani nina kitchen party puleeeeez wekea mimi mshono!puleeeez!
kha!au nikuletee kitenge unipelekee kwa fundi!
haiwezkani mi naumiza kichwa kila siku kubuni mishono af kumbe we unayo mingi iv!
tafadhaaali! watu8 puleeez!
 
Last edited by a moderator:
Ujue nimetoka kuufanyia waxing weekend tu?

Ni ferari kabisa
ahahahahhah basi huo wako noma!
hv zile baisikeli za zaman zilikuwa zinaitwajee ,
ukishapata jina basi huo ndo wangu!
sasa mwambia watu8 kabisaa anavonitaftia mshono ahakikishe analizingatia hilo!
mi staki kuwafanya watu waikumbuke xhinua ya enzi hizo
 
Last edited by a moderator:
Bora wewe una swala
King'asti anajiburuza chini, hana miguu kabisa

ahahahahhah basi huo wako noma!
hv zile baisikeli za zaman zilikuwa zinaitwajee ,
ukishapata jina basi huo ndo wangu!
sasa mwambia watu8 kabisaa anavonitaftia mshono ahakikishe analizingatia hilo!
mi staki kuwafanya watu waikumbuke xhinua ya enzi hizo
 
Last edited by a moderator:
Bora wewe una swala
King'asti anajiburuza chini, hana miguu kabisa

ila kweli!
tatizo ni vile alivonikata cha mbele kwenye mihongo ya Boflo hapo ndo sielewi kabisa alifanyaje!
kwani hajawahi kukuaga anaenda kijiji cha jadide siku za hv karibuni!manake sijui alinipiga wapi bao la kisigino!
huu mishono hii Boflo angeninunulia kente la liberia mie!
dah!
 
Last edited by a moderator:
PA072471.JPG

Dr hii imenikuna mtima wange........pruuu...kwenye droo......
 
Oh, Dr. kuvaa kama Mama Salma ? imposibo!!
Mama Salma zake ni PEKEE halinganishwi.....
Lakini yako spesho (shakhsia) ni wewe upendeze The best of the BEST.

wapi sampuli sasa.......?
 
huo mpasuo wa blouse aupandishe juu, na mshono wa picha ya kwanza aliyoweka kokutona nao mzuri sana ila hiyo blouse hapo kwenye kitovu aufunike

asante sana wakwetu.....idea nzuri....haya mambo yanahitaji wito ujue........
 
637215_386061_10150480323299642_329115514641_8470632_430316499_n_jpg7d86325cfa4349543ab88ba96348a682

My miss anavaa kama huyu Dada mwenye tabasamu picha ya juu lakini huvaa kivazi hicho anapoalikwa katika sherehe za watu wa west africa
 
Hii ya blue ni nzuri zaidi hata mi nimeimind, fundi anashusha tu kidogo ili kitovuni kusiwe wazi, halafu na juu pia anaunga kufunika kifua kidogo. Huu lazima utokelezeee.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom