Ladieeeeees help......

Ladieeeeees help......

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,887
Mwenzenu nitaadhirika........nina shughuli nyeti na natakiwa nivae kama mama Salma......hebu naombeni mniwekee mishono tahfif ya vitenge hapa.......

samahanini kwa kuwasumbua lakini bila nyie nitaadhirika.......

NB....HATA WANAUME MNARUHUSIWA KUIBIA MISHONO YA NGUO ZA WAKE ZENU MKANILETEA...........
 
kitenge1.jpg
kitenge.jpg
 
Dr hebu tupe vipimo vya mwili wako kwanza ili utpunguzie kazi ya kukutupiamo mishono minono minono...

asante sana......hiyo ya green nimeipenda ila huko juu.......itabidi nirekebishe.....hebu angalia na nyinginezo........
 
images


huu hapo mbele panahitaji marekebisho.......paweje sasa.....ndio mtihani......
 
Dr hebu tupe vipimo vya mwili wako kwanza ili utpunguzie kazi ya kukutupiamo mishono minono minono...

Dr....size yangu ni 22 UK size.......hebu tupiamo mavitu chap chap.......
 
bongiwewalaza-11.jpg


asante my dear.....hapo kwenye kitovu na matiti....nitapakarabati.......huu moja kwa moja kwenye droo........
 
https://www.google.co.tz/search?q=n...v&sa=X&ei=0Sj2UdC5No2ShgfHtICQCA&ved=0CEMQsAQ

Must See Photos! BellaNaija Style's Best Dressed List from the 2013 Africa Magic Viewers' Choice Awards in Lagos | Bella Naija

I Need Pictures Of Nigerian Dress Styles - Fashion - Nairaland

Dresses for Ladies - Buy dress online | Pay on Delivery | Jumia Nigeria

Women Fashion from Nigeria and Africa






embu pekuapukua hapa unaweza ambulia



Mwenzenu nitaadhirika........nina shughuli nyeti na natakiwa nivae kama mama Salma......hebu naombeni mniwekee mishono tahfif ya vitenge hapa.......

samahanini kwa kuwasumbua lakini bila nyie nitaadhirika.......

NB....HATA WANAUME MNARUHUSIWA KUIBIA MISHONO YA NGUO ZA WAKE ZENU MKANILETEA...........
 
k.jpg


mweeee.....huu kiboko........
 
Na hii pia badala ya khanga iwe kitenge

zamda.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom