Ladieeeeees help......

Ladieeeeees help......

087f36e7fbaa71a38363f2bf9cc3c82c.jpg

533b2cfcaae94321231eb46b89224352.jpg
 
Mwenzenu nitaadhirika........nina shughuli nyeti na natakiwa nivae kama mama Salma......hebu naombeni mniwekee mishono tahfif ya vitenge hapa.......

samahanini kwa kuwasumbua lakini bila nyie nitaadhirika.......

NB....HATA WANAUME MNARUHUSIWA KUIBIA MISHONO YA NGUO ZA WAKE ZENU MKANILETEA...........

umefanya la maana sana kwa kweli!
yani hapa najidaije na mimi!ehehhhe
 
Kaunga
come zis way honey!
kuna mavitu ya ukweli
kwa kusema hivo walahi nshajua ukija nikudai nini!dah!
 
Last edited by a moderator:

Nimekuja sweetie,
aisee nimeenjoy kweli mishono iloletwa na wadau. Thanks god mwisho wa mwezi, salary yotee inaishia kwa vitenge. watu8 tupe na contacts za mafundi wazuri.

Usijali, nishahisi unanidai nini; just name your favorite color and brand.
 
Last edited by a moderator:
mtani huo wa kwanza kabisa!umevunja vunja mutima wangu!
yani this very fast naupeleka kwa fundi hiv hiv ulivyo!
santeeeeee!

Ili usikulimit kwa night events tu, punguza hayo maua kwenye mikono halafu iweke kwenye mikoyo yote na mwisho hicho kitambaa cha juu kisiwe cha kung'aa.
Nimeupenda pia, nahisi ni gauni; ila kama ni skirt na blouse mimi nitafanya gauni.
 
si ndo mana nimekuta lovie wangu!
af kweli ili hata kwenye kupokea mahari niende nayo enh!
 
Nimekuja sweetie,
aisee nimeenjoy kweli mishono iloletwa na wadau. Thanks god mwisho wa mwezi, salary yotee inaishia kwa vitenge. watu8 tupe na contacts za mafundi wazuri.

Usijali, nishahisi unanidai nini; just name your favorite color and brand.
ahahahahhahha hapo kwenye brand hapo lazima nikae!
tanteee!
 
si ndo mana nimekuta lovie wangu!
af kweli ili hata kwenye kupokea mahari niende nayo enh!

umeona eeh, yaani mimi kuna nguo ambayo unaivaa say mara moja tu mwisho wa siku unaishia kuigawa. Siku hizi nimekuwa makini sana nachagua mishono, rangi na materials ambayo naweza enda nazo hata kanisani ili nitumie vizuri pesa yangu.
 
watu8 tupe na contacts za mafundi wazuri.

Habari ya wewe dadaa!!!

Kwa hapa Dar kuna mama mmoja yupo maeneo ya Survey karibu na njia ya kwenda Brajec, yule Mchaga ukimpelekea hii mishono najua atawatolea nguo nzuri.

Pia kuna mafundi wengine wa kiume wapo Upanga huku mtaa wa Lugalo...hawa jamaa huwa wanachukua hata kazi za designers kama kina Ally Remtullah n.k

Bahati mbaya sana sina contacts zao bali najua tu namna ya kufika...
 
asante bro, ngoja nimtume dogo snowhite apate contact zao halafu nitamalizana nao.
Again thanks.
 
Last edited by a moderator:
Habari ya wewe dadaa!!!

Kwa hapa Dar kuna mama mmoja yupo maeneo ya Survey karibu na njia ya kwenda Brajec, yule Mchaga ukimpelekea hii mishono najua atawatolea nguo nzuri.

Pia kuna mafundi wengine wa kiume wapo Upanga huku mtaa wa Lugalo...hawa jamaa huwa wanachukua hata kazi za designers kama kina Ally Remtullah n.k

Bahati mbaya sana sina contacts zao bali najua tu namna ya kufika...

hao nadhani nawapata....si ndio wale huwa wanashona hata nguo za ma-miss........?
 
Yap nadhani ni hao...ni jamaa fulani ofisi yao ukiiona ni ya kawaida ila kazi yao ni nzuri sana...

Hata kama hauna idea ya mshono, ukifika pale utakuta kuna hizi magazines za intl designers...

Basi utachagua mshono na wao watautoa kama ulivyo...

hao nadhani nawapata....si ndio wale huwa wanashona hata nguo za ma-miss........?
 
hao nadhani nawapata....si ndio wale huwa wanashona hata nguo za ma-miss........?

hivi hapa mjini unashonea wapi nguo wakunyumba? yaani mie fundi wangu alifariki masikini, kuna wale mafundi wa njiro nilielekezwa kufika pale wana nyodooo nikasema pesa yangu hii naitafuta kwa jasho ati wala sikushona tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom