Ladieeeeees help......

Ladieeeeees help......

Mwenzenu nitaadhirika........nina shughuli nyeti na natakiwa nivae kama mama Salma......hebu naombeni mniwekee mishono tahfif ya vitenge hapa.......

samahanini kwa kuwasumbua lakini bila nyie nitaadhirika.......

NB....HATA WANAUME MNARUHUSIWA KUIBIA MISHONO YA NGUO ZA WAKE ZENU MKANILETEA...........
niambie size ya kiuno chako kwanza ni aina gani?
 
Shamyomy.jpg
 
Hii ni combo ya denim na kitenge...ila pia unaweza tumia kitenge mshono wote

kitenge%2520styles.jpg
 
Oh, Dr. kuvaa kama Mama Salma ? imposibo!!
Mama Salma zake ni PEKEE halinganishwi.....
Lakini yako spesho (shakhsia) ni wewe upendeze The best of the BEST.
 
images


huu hapo mbele panahitaji marekebisho.......paweje sasa.....ndio mtihani......

huo mpasuo wa blouse aupandishe juu, na mshono wa picha ya kwanza aliyoweka kokutona nao mzuri sana ila hiyo blouse hapo kwenye kitovu aufunike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom