Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,878
- 4,435
Mbona hueleweki mkuu? ladha ipo au haipo?Ngono haina faida yeyote ile mara ya mwisho kuinjoy nilikutana na mmasai mmoja atleast niliinjoy lakini bado nikaona apart from kutumia nguvu kwenye ladha ya ngono ni pale kwenye kumwaga basi
cc. Ma mbwaNgono ni biashara, ngono ni kitega uchumi, ngono ni utamu, ngono ni ujasusi kwa jirani, ngono ni shina la siri, ngono ni uzazi, ngono chanzo cha magonjwa, ngono ni nira, ngono ni kujuana, ngono ni utemi, ngono ni uchafu, ngono ngono ngono mtakufa kabla ya siku mambwa nyie!
Ni ajabu kuwa baadhi ya watu ni wavivu kusoma, wavivu hata “kugugu” yeye akishaona ana tatizo ana assume ni tatizo la dunia nzima.Ooh dear wewe ni Asexual, nenda kajisome vizuuuuuri mna kakikundi chenu utakutana na wenzio mzidi kupeana ushauri na changamoto mbalimbali,
Ila usiwasimange ambao sio asexual kwa kupenda ngono, ngono ni tamu ndio ilowatoa Adam na Hawa bustanini.
Na mimi naongezea hapo,Ni ajabu kuwa baadhi ya watu ni wavivu kusoma, wavivu hata “kugugu” yeye akishaona ana tatizo ana assume ni tatizo la dunia nzima.
Kuongeza hapo kwenye Asexual, ngoja tumshangaze mleta mada …Kuna watu hawasikii ladha ya chakula maisha yao yote, wanakula tu ili waishi, Wanatushangaa iweje unakula na kufurahia chakula….
Si ndioooo! Kuna kaka yangu huwa anasema sijaja duniani kunywa vitu vichungu 😀 Akimaanisha beer.N mimi naongezea hapo,
Kuna watu wakinywa bia hua wanaiona ni chungu na mbaya,ni bora wanywe fanta orange,wakati huo huo kuna watu huwaambii kitu kwenye Bia . cc min -me
Mleta mada hajui kua ladha ya mapenzi haipo tu kwenye ngono,Si ndioooo! Kuna kaka yangu huwa anasema sijaja duniani kunywa city vichungu 😀 Akimaanisha beer.
Haaah nakuunga mkono mpaka mleta mada aje akupige!Mleta mada hajui kua ladha ya mapenzi haipo tu kwenye ngono,
Ngono hua ni last stage yakukamilisha raha ya mapenzi,
Utakuta mleta mada ndio wale wa rara nikurenge mra,hawana romance wala nini.
😀
Nakushauri ukasome Bibilia yako vizuri na kwa utulivu mkubwa. Ngono haikuwatoa bustanini Adam na Hawa.Ooh dear wewe ni Asexual, nenda kajisome vizuuuuuri mna kakikundi chenu utakutana na wenzio mzidi kupeana ushauri na changamoto mbalimbali,
Ila usiwasimange ambao sio asexual kwa kupenda ngono, ngono ni tamu ndio ilowatoa Adam na Hawa bustanini.
Anajua sana anajitoa ufahamu tu,Ni ajabu kuwa baadhi ya watu ni wavivu kusoma, wavivu hata “kugugu” yeye akishaona ana tatizo ana assume ni tatizo la dunia nzima.
Kuongeza hapo kwenye Asexual, ngoja tumshangaze mleta mada …Kuna watu hawasikii ladha ya chakula maisha yao yote, wanakula tu ili waishi, Wanatushangaa iweje unakula na kufurahia chakula….
Madam Netflix after dark 🏃Ni ajabu kuwa baadhi ya watu ni wavivu kusoma, wavivu hata “kugugu” yeye akishaona ana tatizo ana assume ni tatizo la dunia nzima.
Kuongeza hapo kwenye Asexual, ngoja tumshangaze mleta mada …Kuna watu hawasikii ladha ya chakula maisha yao yote, wanakula tu ili waishi, Wanatushangaa iweje unakula na kufurahia chakula….