ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,285
- 19,471
nilikasirika sana alipogundua hilo akaniambia kwahiyo jero unanipa au haunipi nikaamua kumpa tu nikaondoka zangu
Basi huyo alikua njaa sana, 500 ilimtosha!!
nilikasirika sana alipogundua hilo akaniambia kwahiyo jero unanipa au haunipi nikaamua kumpa tu nikaondoka zangu
Usingempa mkuu hapo umechangia biashara kuendelea mzazikabisa alikuwa kwenye biashara maana kuna muda alisema ni heri ungeniambia leo sina hata kesho nitakupa lakini si kunipa jero alivyogundua nimekasirika akasema kwahiyo na hiyo jero haunipi? nikaamua kumpa tu ila nilipata mfadhaiko sana moyoni
Wanaume wanunuzi siku hizi ni wengiWanawake wanaojiuza siku hizi ni wengi, kwa maelezo uliyotoa huenda akawa mmoja wapo.
Yeah ni wengi pia maana watu wanakwepa usumbufu mwiiiingi wakati hata ukitongoza pia bado utaombwa hela tena ndefu zaidi na papuchi uhakika wa kupewa sio 100%.Wanaume wanunuzi siku hizi ni wengi
Hiyo hero tunayo itnyanduaja taja, baadae tutaiita MIATNO.Jero
kavu tu maana niliamini ni mtu sahihi japo yeye alikuwa akikomalia nitumieMkuu kama ulipiga na ndomu haina shida kuwa na amani kabisa
Kama anauza au hauzi au pesa ulizopeteza si ishu coz pesa na wife material vinatufutika ila si afya
Ulipiga kavu au na ndom?
Ungefanya kwa siri.ndugu yangu umetumia maneno makali sana, sio room tu nimepanga sehemu ya kuweza hata kuleta mgeni ila huyu mpenzi wangu alikuwa hataki faragha iwe nyumbani lengo eti tufanye kwa siri kwanza sasa mimi ningefanyaje?
Nimependa ushauri wako juuNdiyo maana huwa ninasema, Biblia ilipoandika 'Kila aziniye na mwanamke hana akili kabisa' haikukosea. Kama kweli pesa uliyokuwa nayo ulilipia guest ukabakiwa na shilingi 500, maendeleo kwako yatakuja lini?
Nilishaamua mwaka huu sitamshauri mtu yeyote kwenda kuzini ila kama hata chumba cha kupanga huna kwa ajili ya kukutana na mwenza wako wewe sijui nikushaurije. Acheni zinaa ndugu yangu..fanya mambo mengine ukiona umeshindwa kabisa kujizuia tafuta mmoja uoe. Kila siku utaendelea kuuziwa tu maana hakuna mwanamke siku hizi aliye tayari kukosa vyote. Kwa maelezo yako huna mpango wowote wa zaidi ya mwezi na huyo binti zaidi ya kuzini. Sasa kwa nini asidai malipo yake tu mapema.
Ni kweli alikuwa anakuuzia ila unasahau na wewe ni mnunuzi tu sema hutaki kujikubali.
Ila dah..kweli sitaki kushauri uzinzi, ila hiyo jero imenichekesha sana aisee!!! Jero!????

Pole kwa yaliokukuta pia mpenz wako alikosa maneno ya busara angekueleza baby au honey samahani ila nauli haitanitosha kufika home pia kukataa kutembea nawewe fika atakuwa Na mpenz wake ambae anaogopa au maeneo unayopita nae anamtu pia why akubali kulala guest akatae kwako fika hana malengo nawewe kiuwalisia kwako yupo kimaslahi ila hana upendo Wa dhati kwako kingine muache tabia yakuchukua wanawake mda wote watu Wa vioo chukua mwanamke ambae ukikaa nae anamawazo ya kimaisha anawaza maendeleo anakushauli hivi Na vile mwanamke mzuri ni tabia Na anaewaza maisha ya kesho yatakuwaje pole sanajambo zuri na la hekima japo huyu mtu hakuwa tayari maana hata kutembea pamoja halikuwa hataki alikuwa anapenda iwe kisirisiri sana
Usijenge hiyo fikra sio kila mwanamke yupo hivyo hata wanaume wengi matapeli kikubwa mtangulize Mungu akupe hitaji ya moyo wakohata hazinilizi kinachoniumiza ni kuhisi ni mke mtarajiwa kumbe changudoa. au ndio utaratibu wa kila mkitoka kwenye mapenzi upewe hela?