Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,343
Line zingine za voda zinakubali kifurushi cha cheka business bundle hivyo ili ununue unatakiwa uwe na kuanzia bukukwa voda ingemfaa ndugu yangu
Line zingine za voda zinakubali kifurushi cha cheka business bundle hivyo ili ununue unatakiwa uwe na kuanzia bukukwa voda ingemfaa ndugu yangu
kwa wakati ule nilikuwa na amani tu maana nimekuwa namsaidia mara kwa mara hata bila kuhitaji kupewa mapenzi, nikajua anaposema tumalizane kabisa ni kwamba tuagane kumbe yeye anataka malipo ya penzi alilotoa, tatizo hakusema kabla sasa sijui kuwa nae muda wote katika mahusiano alihisi labda mimi ni mnunuzi tu kama wengine hata sielewi japo nilimuweka wazi nia ya kumfanya wa kudumuhahahaha broo ulivuka mipaka yaan jerooo,???
Kuna binti nilikuwa nae katika mahusiano ila kwa bahati mbaya siku ya makubaliano ya kupewa mchezo ilikuwa kesho yake anasafiri kwenda nje ya mkoa kufanya kibarua baada kupewa penzi nilimpa kiasi cha pesa kama mkono wa kwaheri japo nahisi mwenzangu aliitafsiri vibaya.
Kila shida akiwa huko lilikuwa jukumu langu, zaidi ya 60 elfu nilimpatia akiwa huko aliporudi tukapanga siku ya kulienzi penzi tukiwa faragha kimbembe kilianza baada ya kutoka guest ile kumshika mkono hataki eti watu wasijue kama wapenzi.
Mara ananiambia tumalizane kabisa nirudi zangu kwetu basi nikatoa jero nikamwambia hii ya vocha kesho mapema nitaweka mambo sawa, eti akaanza kunifokea wewe una akili kweli utanipaje jero?
Nikamuuliza kwahiyo unaniuzia au? mbona mimi nilikuwa nakusaidia hukiwa nje ya mkoa bila kupata penzi kutoka kwako?anasema je wewe ungekuwa msichana ungerizika kweli?.
fedha? au kosa hivi huu ndio utaratibu kweli au huyu wangu anatumia mwili wake kupata langu lilikuwa kumpa hela ile mara ya kwanza ya mkono wa kwaheri?
ndugu yangu umetumia maneno makali sana, sio room tu nimepanga sehemu ya kuweza hata kuleta mgeni ila huyu mpenzi wangu alikuwa hataki faragha iwe nyumbani lengo eti tufanye kwa siri kwanza sasa mimi ningefanyaje?are you serious??? inavyoonekana huna hata Room unaenda kulipia lodge kwaajili ya mpenzi wako, sasa wewe maendeleo utapata lini kama mpaka sasa unalipia lodge kwaajili ya kufanya mapenzi?? my kaka
ACHA UZINZI
husinicheke ndugu hilo jero lilikuwa kama kilinda mfuko baada ya kulipia guest, kwamba nitaombwa hela na mpenzi ambaye akiwa na matatizo namsaidia bila kudai malipo yoyote wala sikuwahi kufikiria. hivi katika hali kama hii usalama upo kweli?[/QUOTE
ndugu yangu umetumia maneno makali sana, sio room tu nimepanga sehemu ya kuweza hata kuleta mgeni ila huyu mpenzi wangu alikuwa hataki faragha iwe nyumbani lengo eti tufanye kwa siri kwanza sasa mimi ningefanyaje?
lazima alitafsiri kama dharau maana alisema ni bora ungesema una hata kesho nitakupa lakini sio kunipa jero japo baadae aliichukua. swali langu bado liko palepale kwamba hela ni ya kulipia huduma au alikuwa ana shida nyingine?Umleavyo nidyo akuavyo...
Umemzoesha mwenyewe pesa...
Ila kama kweli alitamka hayo maneno ya kumalizana kabisa kabla hajarudi kwao...
Hiyo ilikuwa kauli tata ya kumuonesha yeye kwamba ni mtoa huduma kwa malipo...
Na wewe kitendo cha kumpa jero ni dharau ya hali ya juu...
cc: mahondaw
asante kwa ushauri mzurihuyo ambaye hana uhuru na wewe sio mpenzi wako ni mpenzi wenu inuka kaka yangu fungua macho mwanamke anae jiheshimu hawezi kukwambia twende guest coz kwenda lodge ni kujishushia heshima next time usikubali kama hawezi kujiachia na wewe mwache aende akupishe mwnamke wako bado hajaja msubiri wakati wake ukifika