aaah hapana ndugu angekuwa na akili za street angekubali kuja kwetu si kila tukitaka kukutana yeye guest tu, nje ya ngono na pesa hawana mawazo mbadala na kama siku ile ningekuwa na salio kubwa uenda ningechelewa kujua tabia yake halisi kweli wahenga walisema filisika tujue tabia ya mkeoWewe una akili ya shule, yeye ameishia la saba lakini ni street smart! Ngoma draw! [emoji23][emoji23]
najua kwanini unashangaa japo haikuwa kama malipo bali nilimpa kama ya vocha tu maana nilijua nipo na mtu mwenye malengo na mimi kumbe yeye alikuwa anasaka pesa tu kwangu, mbaya zaidi kabla nilikuwa namuhudumia bila kuhitaji kulipwa kingono.Jero
kazi kwelikweli kuna muda unaweza kudhani umepata mwenza kumbe mwenzako anahesabia amepata mteja wa muda mrefuEti mkono Wa heri kwani yeye in mstaafu, kwa jinsi ulivyoelezea huyo anauza tena atakua anakijiwe usiku, Hugo anakuuzia sio demu wako
Hakua rafiki huyo ni muuza nyapuwamaanisha nini ndugu kwamba HIV au?
Inategemea mtandao gani maana siku hizi kuna mitandao mingine promotion inaanzia buku na kuendelea na siku hizi tofauti na zamani mtu hawezi kuweka 500 bila kununua kifurushi vinginevyo hiyo 500 ingetosha dakika 1 na nusunilimpa ya vocha tu si kwa kile tulichotoka kufanya.
Pole mkuu ungemlipa akasepa tukwa staili hii tutakufa wengi maana ingekuwa nimemkuta barabarani sawa. kweli mapenzi hayana husomi na bachelor yangu naulizwa na binti aliyeishia shule ya msingi una akili wewe utanipaje jero?.
Jero ni hii silver ya kisasa yani hata mwendokasi haitoshiHivi jero ni buku 5?
kwa voda ingemfaa ndugu yanguInategemea mtandao gani maana siku hizi kuna mitandao mingine promotion inaanzia buku na kuendelea na siku hizi tofauti na zamani mtu hawezi kuweka 500 bila kununua kifurushi vinginevyo hiyo 500 ingetosha dakika 1 na nusu
kwa voda ingemfaa ndugu yanguInategemea mtandao gani maana siku hizi kuna mitandao mingine promotion inaanzia buku na kuendelea na siku hizi tofauti na zamani mtu hawezi kuweka 500 bila kununua kifurushi vinginevyo hiyo 500 ingetosha dakika 1 na nusu
kabisa alikuwa kwenye biashara maana kuna muda alisema ni heri ungeniambia leo sina hata kesho nitakupa lakini si kunipa jero alivyogundua nimekasirika akasema kwahiyo na hiyo jero haunipi? nikaamua kumpa tu ila nilipata mfadhaiko sana moyoniUlivamia Biashara ya mtu hiyo mkuu.
ni heri nilivyokuwa na hiyo jero ikawa rahisi kujua tabia yake kwamba kwangu yupo kimaslahi tu kama ningekuwa na pesa ndefu ningeendelea kufuga changudoa bila kujua maana siku za nyumba pindi hela ipo haikuwa rahisi kunotice kwamba napendewa pesa tu si vinginevyoMzee wa jero [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]