Laana ya Ushoshalisti, Ukomunisti na Ujamaa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,175
Reaction score
48,459
Kama nchi ikiongozwa kwa falsafa za Kishoshalisti, kikomunist na kijamaa laana zifuatazo huwa ni sehemu ya maisha ya jamii husika.

Viongozi hulazimisha kuabudiwa.

Vyombo vya dola hugeuka kuwa kandamizi Kwa wananchi.

Viongozi hugeuza mfumo kuwa wa kifalme.

Wananchi wa kawaida hufukarishwa wakati viongozi hujilimbikizia mali watakavyo.

Jamii nzima hugeuzwa mandondocha wa viongozi.

Usilete mfano wa china hapa maana china inafuata sera za ubepari baridi.
 
Nchi gani inafuata sera za kisoshalisti,kikomunisti au kijamaa ?

Sera za ubepari baridi ndio zipi hizo ?
 
Utu ni Umaskini na Umasikini ni fedheha na laana
Kwenye ubepari ukizaliwa masikini utaendelea kuwa masikini mpaka wajukuu zako wataurithi maana mfumo wao ni mwenye nacho ataongezewa na masikini ataendelea kuwa masikini ili amtumikie beberu au mfumo. Hivyo sio rahisi masikini kupindua meza kwenye mifumo ya kibepari.
 
Achana na mambo ya nchi ila kwenye maisha yako binafsi ukitumia mfumo wa kijamaa utachakaa bwashee
 
Kama nchi ikiongozwa kwa falsafa za Kishoshalisti, kikomunist na kijamaa laana zifuatazo huwa ni sehemu ya maisha ya jamii husika.

Viongozi hulazimisha kuabudiwa.

Vyombo vya dola hugeuka kuwa kandamizi Kwa wananchi.

Viongozi hugeuza mfumo kuwa wa kifalme.

Wananchi wa kawaida hufukarishwa wakati viongozi hujilimbikizia mali watakavyo.

Jamii nzima hugeuzwa mandondocha wa viongozi.

Usilete mfano wa china hapa maana china inafuata sera za ubepari baridi.
Kingine sio viongozi wala wananchi akili hakuna maamuzi yanayofanywa na viongozi, unaweza kushika kichwa ila hakuna reaction yeyote kutoka kwa wananchi wapo tu kama hawapo bora liende..
 
Kama nchi ikiongozwa kwa falsafa za Kishoshalisti, kikomunist na kijamaa laana zifuatazo huwa ni sehemu ya maisha ya jamii husika.

Viongozi hulazimisha kuabudiwa.

Vyombo vya dola hugeuka kuwa kandamizi Kwa wananchi.

Viongozi hugeuza mfumo kuwa wa kifalme.

Wananchi wa kawaida hufukarishwa wakati viongozi hujilimbikizia mali watakavyo.

Jamii nzima hugeuzwa mandondocha wa viongozi.

Usilete mfano wa china hapa maana china inafuata sera za ubepari baridi.
this is nonsense and completely useless article of the day :HAhaa:
 
Kwenye ubepari ukizaliwa masikini utaendelea kuwa masikini mpaka wajukuu zako wataurithi maana mfumo wao ni mwenye nacho ataongezewa na masikini ataendelea kuwa masikini ili amtumikie beberu au mfumo. Hivyo sio rahisi masikini kupindua meza kwenye mifumo ya kibepari.
Ubepari ni mfumo wa shetani. Biblical proof is there.
 
Waliupiga teke ujamaa toka awamu ya Mwinyi kwa walichokiita azimio la zanzibar.
Kwa kuwa maandiko Yao rasmi (Katiba, Ilani, sera, falsafa,Itikadi) bado zinaonesha kuwa wao ni wajamaa, sisi tutaendelea kuwaita wao kuwa ni wajamaa.
 
Back
Top Bottom