Laana ya mwanamke

Hamjitunzi bhana... Hivi unafikir kwann tusiwatende kama nmeanza uhusiano na ww nakuta huna bikra je hyo bikra nan kaitafuna? Hapo ndio panakuwa chanzo
Kwako wewe kujitunza ni ubikra?
 
afadhali umesema wewe mwanaume angesema mwingine hapa sijui ingekuwaje!!
Hamna kitu kibaya kama kumpotezea mwenzako muda
 
Kwako wewe kujitunza ni ubikra?
Hapo ndio chanzo kama ulishindwa kutunza bikra yenye maumivu kuitoa, yenye heshima sasa utawezaje kujitunza ukiwa unaujua utamu?

Hujiulizi kwann zaman ukikutwa huna bikra ilikuwa ni fedheha kubwa zaid ya kufumaniwa ukiwa ndan ya ndoa?
 
afadhali umesema wewe mwanaume angesema mwingine hapa sijui ingekuwaje!!
Hamna kitu kibaya kama kumpotezea mwenzako muda
Hamna cha laana Wala nn hyo ni mitazamo tu..
 
Hili ni kwa Wanawake tu, ukimsomesha mwanamke harafu akakukimbia yeye hapatwi na tatizo. Kuna wanawake wengi tu wamewafanyia wanaume
 
Hapo ndio chanzo kama ulishindwa kutunza bikra yenye maumivu kuitoa, yenye heshima sasa utawezaje kujitunza ukiwa unaujua utamu?

Hujiulizi kwann zaman ukikutwa huna bikra ilikuwa ni fedheha kubwa zaid ya kufumaniwa ukiwa ndan ya ndoa?
So kwakua sina bikra ndio siwezi kujitunza sio!
 
So kwakua sina bikra ndio siwezi kujitunza sio!
Hahahaha hyo ngumu Kabisa labda asitokee mtu wa kukutongoza lakn ukitongozwa utaachia tu..

Kama ulithubutu ukiwa hujajua utamu utashindwa nn wakat unaujua utamu?
Mm binafsi mwanamke wa sasa hivi akiniambia najitunza namuitikia tu kwakuwa ubishani sio jambo jema ila simwamini hata kwa asilimia 0.00001%
Hata mke wangu simwamini hata kidogo..
 
Hebu kwanza tupate maana ya "kujitunza" ili tuelewane vizuri
 
Hakuna kitu kinauma kama kupotezewa Muda, Ex wangu hadi leo pamoja na kuwa na kazi nzuri maisha yake hayaeleweki, kwenye mahusiano ndo usiseme, nabado napiga goti kwa Mungu siku atakayorudi kuomba msamaha kwakunikosea ndo amwachilie.
hahhaaa mwachie bwana , kwani ww haujamkosea ?
 
Mimi sijaelewa,hebu nipe mwanga kidogo nipate kuelewa
Kujitunza au kutunza ni kitendo kujiweka au kukiweka kitu ktk mazingira salama ambayo yatakifanya kisiharibiwe,
 
Hakuna kitu kinauma kama kupotezewa Muda, Ex wangu hadi leo pamoja na kuwa na kazi nzuri maisha yake hayaeleweki, kwenye mahusiano ndo usiseme, nabado napiga goti kwa Mungu siku atakayorudi kuomba msamaha kwakunikosea ndo amwachilie.
Ewe kwani hujaolewa?
Kwanini unamfanyia hivo? Acha hizo pigo
 
Hakuna kitu kinauma kama kupotezewa Muda, Ex wangu hadi leo pamoja na kuwa na kazi nzuri maisha yake hayaeleweki, kwenye mahusiano ndo usiseme, nabado napiga goti kwa Mungu siku atakayorudi kuomba msamaha kwakunikosea ndo amwachilie.
hahahaha we kiboko
Unajua pale unapojitoa kwa mtu kwa kila kitu kiasi hata akipata shida inakuwa kama yako then unaachwa kirahisi tu lazima maneno mabaya yakutoke kwasababu hajui amekuumiza kiasi gani. Mimi huwa nasema kitu usichopenda kutendewa usimmtendee mwenzio
 
Mtu mwenye hasira ni sawa na mtu aliyeshika kaa la moto.....kabla hajamrushia mtu kwanza linaanza kumdhuru yeye.....
 
Daah pole mwaya maana nimekufeel
 
Dah! Sijui huyu mwanamke wangu nimuache vipi maana kiukweli anamapenzi makubwa sana juu yangu ila sina hata future naye maskini!
Subiri kidooogo chamoto utakiona
Ujue mwanamke akikupenda anapenda kweli na akikuchoka anakuchoka kweli so trust me bora umwambie ukweli mapema kuliko kuharibu matarajio yake
Shidaa yenu inakuja mkifanikiwaaaa daaah mnaona mlieanza naye si kitu hapo lazima maisha yakunyooshe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…