Laana ya kutumia jina la Yusufu Makamba

S1350 al qaem seminary


div-i = 5 div-ii = 14 div-iii = 11 div-iv = 7 fld = 0
 
S1357 ahlulbayt islamic seminary


div-i = 2 div-ii = 3 div-iii = 6 div-iv = 24 fld = 5
 
Serikali iwapeleke walimu wake waka shee experience na mapadiri pia mashehe.
 
mkwereee am speechless. naomba mwenye matokeo ya MAMA SALMA KIKWETE SECONDARY SCHOOL atuwekee hapa, mimi nimejaribu kufuatilia kwenye web ya wizara ya elimu naona chenga.
 
Wametumia jina la mzee wa mipasho? walitegemea nini unavuna ulichopanda:A S thumbs_down:
 
Csee 2010 examination results

s3561 salma kikwete secondary school
div-i = 3 div-ii = 8 div-iii = 27 div-iv = 119 fld = 150
 
S1324 harambee secondary school


div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 1 div-iv = 21 fld = 93
 
S1353 zakia meghji secondary school


div-i = 1 div-ii = 2 div-iii = 10 div-iv = 68 fld = 66
 
Ila watoto wamechemka hakuna uhusiano wowote na jina la shule, sema serikali ifanye juhudi mbadala kurekebisha mambo.
 
S1387 JANGUO SECONDARY SCHOOL


DIV-I = 2 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 28 FLD = 48

Huyu msanii wa kuigiza, naye walimpa jina.si haba
 
S1375 new era secondary school


div-i = 0 div-ii = 4 div-iii = 12 div-iv = 106 fld = 131
 
Csee 2010 examination results

s0497 temeke youth muslim sec. School
div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 18 fld = 22
 
jama!jama!mtu akichukiwa atabebeshwa mzigo na usio wake,hivi kweli jina ndo lisababishe watoto wafeli?na siyo kwamba watoto wenyewe ni vilaza?

Shule iitwe Fataki Sec School maana mwenye jina la skuli naskia alishabaka kadenti,laana kwelikeli
 
Ila watoto wamechemka hakuna uhusiano wowote na jina la shule, sema serikali ifanye juhudi mbadala kurekebisha mambo.
Wawap wewe,mwenye jina si alikuwa mwalimu uliza kwanini aliacha job...................alibaka denti
 
Na bado.kidato kimoja kima mikondo 8 mwalimu wa somo ni mmoja.Inatokea nini?Naona kikubwa ni watoto kupata sehemu ya kukulia
 
Back
Top Bottom