Laana ya kutumia jina la Yusufu Makamba

Hivi kuna shule inaitwa Julius Kambarage Nyerere, Wilbroad Slaa au Cleopa Msuya tuone matokeo yake??? Nimeamini jina la shule ndilo linazaa matokeo ya wanafunzi wake.

Watoto wote wanaosoma shule inayoitwa Rostam Aziz watakuwa mafisadi na watapass masomo yao kwa kuchakachua!!!!!!! hapana kwa kudesa!!!!!!!!!
 
Wadau, nimeangalia shule moja yenye jina la Yusuph Makamba, na pale watoto waliopata zero wapo 314 (mia tatu na kumi nne)hivi; Unajua bwana haya mambo ya kutaja shule fulani majina ya watu fulani kwa 99% unawezaleta baraka au laana katika shule husika; Sasa ulitegemea uiite shule Yusuph Makamba afu watoto wafaulu!No way, lazima tu wangepata zero...kama alivyo mwenye jina! Sijatukana mtu jamani naomba comment yangu ichapishwe, asanteni, anayenipinga anipinge kwa hoja yenye nguvu...asomaye na afahamu
lol.gif

S1806 YUSUF MAKAMBA SECONDARY SCHOOL <H3>DIV-I = 2 DIV-II = 4 DIV-III = 19 DIV-IV = 113 FLD = 314


</H3>
Dawg, thats funny.
YouTube - Baby Givin the evil look!
 
Mtoto ukimwita Matatizo, basi Jina lita m haunt, na siku zote yeye atakuwa na matatizo tu. Na vivyo hivyo, shule ya Kitaaluma ukiipa jina la Yusuph makamba, ambaye yeye ni Kilaza...basi na wanafunzi karibu wote wanakuwa Vilaza. Na hii ime jidhihirisha kwenye shule hii. Joke aside guys, hii hali ni mbaya sana. Hawa wanafunzi ndio washapoteza mwelekeo. Sababu kubwa ni waalimu na miundo mbinu ya sekondari.

Serikali inazalisha Sekondari na kuongeza wanafunzi, bila ya kuboresha miundo mbinu mingine. Walimu walidharilishwa na kutukana sana mwaka jana na Kikwete...na wao, wamemwonesha kwamba wanaweza kuathiri mwenendo wa taaluma nchini... wakaacha kufundisha..mambo yakabaki bora liende...walio athirika ni wanafunzi wetu!! na bahati mbaya, yule mkuu wa wilaya mchapa viboko, walishamfukuza.

Serikali kiziwi, inashindwa kila mahali..yaani SIFURI kabisa. Shule sifuri, Afya sifuri, Msongamano wa magari SIFURI, kilimo SIFURI, sekta ya MADINI sifuri, Umeme SIFURI. Na mtihani wa Kidato cha nne mwaka Jana..yamejazana MASIFURI tu.

Nayadediketi MASIFURI HAYA kwa KIkwete.
 
National Examinations Council of Tanzania
CSEE 2010 Examination Results

S2008 JAKAYA KIKWETE SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 5 DIV IV = 48 FLD (DIV 0) = 76
Kweli nimeamini kuna Correlation kati ya jina na performance ..., kuna haja ya ku review majina ya shule maana nyingi zimepewa majina ili iwe rahisi kupiga kampeni za sisiem na kurudi ikulu. Correlation
 
S0922 mwinyi secondary school


div-i = 0 div-ii = 3 div-iii = 9 div-iv = 52 fld = 80
 
S0740 ali hassan mwinyi isl. Sec. School


div-i = 0 div-ii = 3 div-iii = 2 div-iv = 38 fld = 67
 
S1152 sumaye buziku secondary school


div-i = 1 div-ii = 5 div-iii = 6 div-iv = 23 fld = 46
 
S0861 nelson-mandela secondary school


div-i = 0 div-ii = 3 div-iii = 7 div-iv = 40 fld = 87
 
S0614 nyerere secondary school


div-i = 0 div-ii = 4 div-iii = 8 div-iv = 44 fld = 85
 
S0140 mzumbe secondary school


div-i = 60 div-ii = 20 div-iii = 10 div-iv = 11 fld = 1
 
S0248 MARIAN GIRLS SECONDARY SCHOOL


DIV-I = 95 DIV-II = 4 DIV-III = 2 DIV-IV = 0 FLD = 0

Haha ha ha kwa Father BAYO sijui baddo yupo.
 
National Examinations Council of Tanzania
CSEE 2010 Examination Results

S2008 JAKAYA KIKWETE SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 5 DIV IV = 48 FLD (DIV 0) = 76


:msela:
Shule yenye jina la mkuu wa nchi, wanaiga starehe badala ya kula vitabu ndo hayo sasa. Raha ya wakubwa kwenda wafika kofia za mahafali bila kujali taaluma wanayopata.
Hahahahaaaaaaaaaa salaleeeeeeeeeeee
:msela:
 
S0118 katoke seminary


div-i = 12 div-ii = 8 div-iii = 5 div-iv = 1 fld = 0
 
S0111 itaga seminary


div-i = 7 div-ii = 16 div-iii = 18 div-iv = 4 fld = 0
 
S0146 nyegezi seminary


div-i = 41 div-ii = 21 div-iii = 15 div-iv = 2 fld = 0
 
Back
Top Bottom