Yusuf Makamba Secondary School na Matokeo ya kidato cha nne | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yusuf Makamba Secondary School na Matokeo ya kidato cha nne

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkeshaji, Jan 29, 2011.

 1. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF,
  Katika pitapita zangu za kutafuta matokeo ya kijana wangu aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana, sijui ni kwa bahati mbaya au nzuri nilikutana na matokeo ya shule moja ambayo ina namba za usajili S1806 inayojulikana kwa jina la Yusuf Makamba Secondary School. Matokeo hayo yalikuwa kama ifuatavyo (Summary):
  Division 1 = 2
  Division 2 = 4
  Division 3 = 19
  Division 4 = 113
  Failures = 314

  Hiyo ndiyo hali halisi. Sielewi kama matokeo hayo yana uhusiano wowote na somo wa hiyo shule.
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,669
  Likes Received: 742
  Trophy Points: 280
  vijana wanakua vilaza kama huyu mzee mwenyewe
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Hao watoto hawana adabu, kwa nini wanaiga akili ya mzee wao?? Wasije wakaishia kuiga hata tabia ya ubakaji.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2015
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,545
  Likes Received: 14,951
  Trophy Points: 280
  Sio kuiga tu hadi kuiba mitihani
   
 5. f de solver

  f de solver JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2017
  Joined: Feb 12, 2017
  Messages: 360
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 60
  Duuuu
   
 6. chakii

  chakii JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2017
  Joined: Sep 15, 2013
  Messages: 13,698
  Likes Received: 8,550
  Trophy Points: 280
  Hataree
   
 7. f de solver

  f de solver JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2017
  Joined: Feb 12, 2017
  Messages: 360
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 60
  Hivi bado imeharibu hata mwaka Jana???
   
Loading...