Laana ya kutumia jina la Yusufu Makamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laana ya kutumia jina la Yusufu Makamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Vumbi, Jan 27, 2011.

 1. V

  Vumbi Senior Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wadau, nimeangalia shule moja yenye jina la Yusuph Makamba, na pale watoto waliopata zero wapo 314 (mia tatu na kumi nne)hivi; Unajua bwana haya mambo ya kutaja shule fulani majina ya watu fulani kwa 99% unawezaleta baraka au laana katika shule husika; Sasa ulitegemea uiite shule Yusuph Makamba afu watoto wafaulu!No way, lazima tu wangepata zero...kama alivyo mwenye jina! Sijatukana mtu jamani naomba comment yangu ichapishwe, asanteni, anayenipinga anipinge kwa hoja yenye nguvu...asomaye na afahamu [​IMG]
  S1806 YUSUF MAKAMBA SECONDARY SCHOOL <H3>DIV-I = 2 DIV-II = 4 DIV-III = 19 DIV-IV = 113 FLD = 314


  </H3>
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa vilaza hao au yusuphu au waalimu wao
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Duh!
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  HAHAHHAHHA direct proportional
   
 5. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  afadhali mwanangu sikumpeleka hata kama alichaguliwa kwenda huko!
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hebu wajaribu kubadilisha hilo jina tuone kama ndiyo tatizo! napendekeza jina la Mungi Secondary School tuone itakuwaje.
   
 7. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  zipo pia Jakaya Kikwete na Edward Lowassa ngoja niingie chaka kisha ntakuja na matokeo yao
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  itakaa ki Idd Amini hv
   
 9. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  :drama:
   
 10. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  s1803 lowassa secondary school <h3>div-i = 3 div-ii = 6 div-iii = 9 div-iv = 81 fld = 76


  </h3>
   
 11. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jama!jama!mtu akichukiwa atabebeshwa mzigo na usio wake,hivi kweli jina ndo lisababishe watoto wafeli?na siyo kwamba watoto wenyewe ni vilaza?
   
 12. G

  Godwine JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ha ha ha ha ha ngoja nikamwamishe mdogo wangu toka katika shule inayoitwa RIZ 1 nadhani mwakani mambo yanaweza kuwa kama haya
   
 13. jeviounipers

  jeviounipers Member

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 15
  National Examinations Council of Tanzania
  CSEE 2010 Examination Results

  S2008 JAKAYA KIKWETE SECONDARY SCHOOL

  DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 5 DIV IV = 48 FLD (DIV 0) = 76
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Khekhe heheeeeeeeee... Kuna shule inaitwa chang'aa kule kondoa, wamefeli mpaka unajiuliza ni jina au vipi... Nyingine inaitwa kwapakacha... wako watoto 122, kati yao 113 wana ziro na tisa wana four

  Wilaya ya kondoa hiyo... na mkuu wa wilaya na DED bado wapo kazini
   
 15. jeviounipers

  jeviounipers Member

  #15
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 15
  :sad: KAAAAZI KWELI KWELI SHULE YA MKWERE
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  naona unaongeza idadi ya post sio?
   
 17. V

  Vipaji Senior Member

  #17
  Jan 27, 2011
  Joined: Jun 11, 2009
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hapo kazi ipo!
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo huyu jamaa atakuwa hata hathamini mchango wa hii shule kupewa jina lake
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Majina yanaumba!
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Bora BEN BELLA - DIV-1=11 DIV-11=23 DIV-111=42 DIV-IV=74 FLD=3 Majina ya viongozi wa nje afadhali
   
Loading...