Laana inapotamalaki ulimwenguni! Tunaunajisi uumbaji

Laana inapotamalaki ulimwenguni! Tunaunajisi uumbaji

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,455
Reaction score
872,090
1438913563004.jpg
 
Wanamuambukiza ushetani wao ni aina fulani ya ibada za kishetani

huyo mtoto atakuwa kama hao. baba yake hatamuona manake daily anaona wazazi ni wanawake. huu ni ushetani hasa
 
huyo mtoto atakuwa kama hao. baba yake hatamuona manake daily anaona wazazi ni wanawake. huu ni ushetani hasa

Ndio itakayokuwa kwakuwa watakavyofanya na kunena atakuwa anaona atakulia katika mazingira hayo na ataona ndio inavyotakiwa kuwa
 
Ndio itakayokuwa kwakuwa watakavyofanya na kunena atakuwa anaona atakulia katika mazingira hayo na ataona ndio inavyotakiwa kuwa

huwa wanafungua ndoa jinsia moja halafu wanataka kuwa na watoto.
 
Yaan wakati mwingine huwa natamani Mungu angenikabidhi madaraka kwa saa moja tu,

Ambacho ningeifanyia hii dunia,,,,,,,,,,,,,basi tu.
 
Unaona sasa!!,hapa sasa ndio mambo yalipochachia.

Amesema hatalaani ardhi kutokana na matendo ya mwanadamu... Kwahiyo ambacho hakitalaaniwa ni ardhi. Laana ya mwanadamu iko pale pale
 
Yaan wakati mwingine huwa natamani Mungu angenikabidhi madaraka kwa saa moja tu,

Ambacho ningeifanyia hii dunia,,,,,,,,,,,,,basi tu.

hahahaaa! Mkuu inaonekana unakerwa sana na uovu wa dunia hii....
Lakn je? Ungejiadhibu hata ww? Maana lazma tu kuna ushenz unaufanya ambao unaujua mwenyew
 

Unajua, ingalau mimi sina dini lakini sasa naamini maelezo ya dini zote kuwa MWISHO WA DUNIA UNAKUJA.

Kama mwanamke anakwenda na mwanamke mwenzie, na mwanamme anakwenda na mwanamme mwenzie, hii hali ikienea duniani basi kizazi chote cha wanaadamu si kitakuwa kimeangamia. Kama hatuwezi tena kuongezeka na kuijaza dunia huo sio mwisho wa dunia kweli?

Kwenye jukwaa hili mara nyingi napenda kuweka mambo ya utani lakini hiki kimeniuma.

Samahani kama nimewakwaza watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom