The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Mmmh, kama jengo limejengwa chini ya viwango (standard), naweza kukubaliana na wanaoshangaa jengo hili kujengwa kwa gharama ya 7.5M....
Lakini, kama limejengwa kwa viwango (standard) stahiki, itakuwa ni ujinga sana kushangaa gharama hiyo ndogo kabisa hasahasa ukizingatia gharama za ujenzi kwa sasa na kushuka kwa kasi kwa thamani ya shilingi yetu.
Na likely, wanaoshangaa ni wale ambao bado wapangaji ktk nyumba za watu wengine wakidhani ishu ya kujenga na kumiliki nyumba yako ni kama kwenda kuchota maji taka kwenye mtaro.