Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

suala la elimu hatujajibiwa, kwani hatujaambiwa aligraduate lini SUA, na hatujaelezwa kwanini kwenye CV yake hazungumzii shahada yake ya uhandisi kilimo.

mkiweka sawa hilo tutaendelea vizuri na mjadala bila kuupotosha.

Ni wapi Mwakalinga kasema ali graduate SUA? NI wapi kasema yeye ni mhandisi kilimo?
 
Masanilo,

Unaweza kuandika utakacho kuhusu Mwakalinga lakini ambacho huwezi kufuta ni mafanikio yake katika shule na kazi.

Hakuna hata sehemu moja ambapo Mwakalinga amesema alimaliza SUA wala kuondoka kwake SUA hakukuwa kwasababu ya kufeli shule.

Mwakalinga ana degree tatu katika level ya masters, moja ambayo aliipata Poland na mbili akiwa amesoma UK. Pia amekuwa kwenye Telecoms tokea alipoajiriwa mwaka 1997 mpaka leo bila kukosa kazi hata siku moja, tena kwenye field ambayo ilikuwa na matatizo makubwa na wafanyakazi wengi kupoteza ajira kati ya 2000 na 2004. Alikuwa Lucent Technologies wakati ilipopunguza wafanyakazi wake kutoka 150,000 mpaka kufikia 20,000.

Andika utakacho lakini huwezi kukashifu mafanikio ya Mwakalinga kwenye shule na kazi.

Labda utusaidie wewe ndugu yetu umefanya nini kwenye taaluma yako hata udiriki kukshifu elimu za wengine?

"Hakuna hata sehemu moja ambapo Mwakalinga amesema alimaliza SUA wala kuondoka kwake SUA hakukuwa kwasababu ya kufeli shule"
 
Wanakyela ni watu wanaojua nani anawafaa na nani hawafai. Na vijana wao wanawajua. Kwa taaraifa na kwa faida ya wasiowafahamu watu wa Kyela wao hawana unafiki ndani ya mioyo yao. Hivyo naamini yeyote ambaye atakwenda kugombea huko itategemea wao wanamuelewaje .... HAWADANGANYIKIIIIIIIIIIIII. Ndiyo maana jamaa alienguliwa na kijana mdogo pamoja na kwamba alipata support na wenye nguvu lakini Wanakyela walichooka naye ile mbaya
 
Nyie wapambe tuambieni kitu gani kilitokea SUA kwenye shule alokuwa anapiga Mh Mwakalinga pale Agriculture Engineering enzi za Dr Hatibu na Prof Dihenga?

Subiri Francis Kifukwe aka Kalengamab atakuja na jibu..maana huyo na mauchawi yake aliyojifunza uko jangwani anaangaika sana,sijuhi ndo kiongozi wa timu ya Mwakyembe.Kwa mimi bora Mwakipesile kuliko huyu francis Kifukwe Kalengamab
 
Wewe Mnyakyusa wa kandete,
Kama unataka kujua nini kilitokea SUA si nenda chuoni watakupa data zote badala ya kuanza kuumiza kichwa kuulizia kitu kidogo kama hicho.

Lakini Kwa habari yako, Mwakalinga amesoma shule zake kwa umakini na mafanikio makubwa sana, uliza Rungwe Secondary, uliza Tambaza Secondary, uliza Mlimani, Uliza Poland, na uliza UK, historia zake babu kubwa zipo huko nadhani majibu utakuwa umeyapata.
kgwamaka
 
"Hakuna hata sehemu moja ambapo Mwakalinga amesema alimaliza SUA wala kuondoka kwake SUA hakukuwa kwasababu ya kufeli shule"
Ninyi mnaomjua Mwakalinga vizuri tuwekeeni CV yake hapa ili kukata mzizi wa fitina...ioneshe alizaliwa lini,alisoma wapi shule ya msingi,sekondari,chuo(under graduate),alikopata hizo Masters zake 3(kama sikosei) na mazagazaga mengine..hapo ndo tutajua huyu mheshimiwa kasoma SUA ama la
 
Wewe Mnyakyusa wa kandete,
Kama unataka kujua nini kilitokea SUA si nenda chuoni watakupa data zote badala ya kuanza kuumiza kichwa kuulizia kitu kidogo kama hicho.

Lakini Kwa habari yako, Mwakalinga amesoma shule zake kwa umakini na mafanikio makubwa sana, uliza Rungwe Secondary, uliza Tambaza Secondary, uliza Mlimani, Uliza Poland, na uliza UK, historia zake babu kubwa zipo huko nadhani majibu utakuwa umeyapata.
kgwamaka
Ninyi mnaomjua Mwakalinga vizuri tuwekeeni CV yake hapa ili kukata mzizi wa fitina...ioneshe alizaliwa lini,alisoma wapi shule ya msingi,sekondari,chuo(under graduate),alikopata hizo Masters zake 3(kama sikosei) na mazagazaga mengine..hapo ndo tutajua huyu mheshimiwa kasoma SUA ama la.....Tuachane na hizi SIFA za kupambana/kurembana KIJINGA...Sifa za kijinga
__________________
 
Balantanda,

Nilikuwa nakupa sana heshima kumbe na wewe... Mhh, ngoja niendelee kukupa heshima kwa leo. Kuna watu sasa hata wakiandika utafahamu tu wametoka kambi gani.

Kama wataka CV ya Mwakalinga wee subiri kampeni zikianza. Kutakuwa na WWW nzuri tu ambako kutawekwa habari zake zote.

Masanilo: Nina rafiki yangu mmoja yuko pale Dar na anamfahamu sana Mwakalinga na kwa siku nyingi. Aliniambia kisa hasa cha Mwakalinga na dada yake kuacha SUA. Nafikiri Mwakalinga atakuwa ameshamfahamu ni jamaa ganu huyo maana walisoma na kaka yake miaka hizo pale SUA au watu waliosoma naye wanafahamu fika kisa hasa.

Mwakalinga, jambo ulilolifanya kwa kweli linaonyesha jinsi ambavyo milele umekuwa ukisimama kama UKUTA kuwakingia kifua ndugu, jamaa na marafiki pale unapoona UNYANYASAJI umetokea. Bila kujali kupanda au kushuka cheo kwako, kuwa na degree 3 au 10, kufanya kazi popote pale basi USIBADILIKE.

Balantanda: Kuna mambo mengine si ya kuanika. Kila mtu/familia/Jamii kuna mambo ya ndani. Hata wee huwezi leo ukaanza kutuambia jana wee na mkeo/Mmeo mmefanya nini. Huwezi tuambie umbo la mkeo/mumeo likoje. Na kama kweli wataka kufahamu kisa hasa ili UMKALIE KOONI, si uende SUA (waweza hata kumuomba Mwakyembe akulipie na atafurahi sana) au mwambie George Mwakalinga wa USA akulipie na ukafanye utafiti ni SCANDAL gani Mwakalinga huyu Mhandisi ILIMFANYA aache chuo na kukimbilia Poland. Siku ikifika kumbuka hizi data zitawekwa.
Na kama chuoni haitawekwa sababu yoyote ya yeye kuacha SUA, basi lazima ufahamu kuwa wengine wanajua KUNUSA. Sasa hivi angelikuwa KAPIGWA rumba hadi anatisha. Alinusa akaona heri ajikite Poland na huyooo, akajimwaga zake Poland na sasa............. Mwataka mfahamu hadi anavaa chupi gani. Na hata akiwavulia na muone chupi, bado hamtaamini.

Kuna watu kama Mwita Maranya, wamekaa kama vile wanaishi Mombasa, na sauti lainiiii "Sasa huyu kaka Mwakalinga, aliachia nini SUA?" Wee nani hadi akuambie? Watakaomchagua ni Wanakyela na hao ndiyo watapata jibu wakihitaji. Na sidhani wananchi wa kawaida wako interested kufahamu huyu ni Prof. wa umeme wa Upepo au Mhandisi wa Richmonduli. Wao wanaangalia mita kadhaa tu na shida yao ni mtu wa kuwasaidia kutatua maisha yao. Degree nne au tano hapa hazileti maisha mazuri kwa Wanakyela.
 
Ni wapi Mwakalinga kasema ali graduate SUA? NI wapi kasema yeye ni mhandisi kilimo?

Ulianza kwa kusema uongo kwa kukana kuwa Mtanzania sio Mwakalinga na saizi hili swali dogo kuhusu SUA unalikwepa kwepa namna hiyo....duh kulikoni Mwakalinga????unatutia wasiwasi sana kuhusu UWEZO wako wa kusema UKWELI,may be UKWELI na MWAKALINGA ni vitu ambavyo havichangamani.
 
Mwaihojo,

Kwanza umeshalipa lile deni la DAGAA uliokopa? Yule mama wa pale Sokoni kila siku analalamika kwa majirani zako na wewe unajifanya kama vile huna masikio. Dawa ya deni ni kulipa na si kuja kushupalia ya watu wakati yako yamekushinda. Yaani siku nzima kukaa JF na kubadili tu majina.

Unakopa hadi DAGAA? Na mwakani kibarua cha Mwakyembe kikioata Mbawa, ndiyo UTAFULIA hadi ukaombe kazi pale KBS huku ukijifanya kuwa "Mzee nilikosea, kumbe wewe ndiyo mtu mzuri..." Njaa bwana, huwafanya watu waanze kusema vitu kama visivyo na miguu wala kichwa. Mtu kajiunga eti jumatano wiki hii na JF, bado mgeniii na anang'ang'ania kufahamu CV ya Mwakalinga. Hajui hata kudanganya.

Haya, wee Mwaihojo, jina lako jingine unatumia hapa JF ni lipi? Useme haraka maana itabidi watu waongo kama wewe, tumuombe INVISIBLE awe anaangalia IP zenu na kujua mwaingia kwa majina gani. Wee jifanye mjanja tu, tutakunasa na tundu bovu.

Usiige anachoandika Masanilo na Nyani Ngabu. Wenzio hawa wanajulikana kuwa ni WATANI wakubwa sana wa JF. Sasa wee kudandia lli-tereni linaloendeshwa na LAPUTOPU za NGUVU ya UPEPO wa SINGIDA, utalala chali sasa hivi na miguu juu kama Mende.
 
Balantanda,

Nilikuwa nakupa sana heshima kumbe na wewe... Mhh, ngoja niendelee kukupa heshima kwa leo. Kuna watu sasa hata wakiandika utafahamu tu wametoka kambi gani.

Kama wataka CV ya Mwakalinga wee subiri kampeni zikianza. Kutakuwa na WWW nzuri tu ambako kutawekwa habari zake zote.

Masanilo: Nina rafiki yangu mmoja yuko pale Dar na anamfahamu sana Mwakalinga na kwa siku nyingi. Aliniambia kisa hasa cha Mwakalinga na dada yake kuacha SUA. Nafikiri Mwakalinga atakuwa ameshamfahamu ni jamaa ganu huyo maana walisoma na kaka yake miaka hizo pale SUA au watu waliosoma naye wanafahamu fika kisa hasa.

Mwakalinga, jambo ulilolifanya kwa kweli linaonyesha jinsi ambavyo milele umekuwa ukisimama kama UKUTA kuwakingia kifua ndugu, jamaa na marafiki pale unapoona UNYANYASAJI umetokea. Bila kujali kupanda au kushuka cheo kwako, kuwa na degree 3 au 10, kufanya kazi popote pale basi USIBADILIKE.

Balantanda: Kuna mambo mengine si ya kuanika. Kila mtu/familia/Jamii kuna mambo ya ndani. Hata wee huwezi leo ukaanza kutuambia jana wee na mkeo/Mmeo mmefanya nini. Huwezi tuambie umbo la mkeo/mumeo likoje. Na kama kweli wataka kufahamu kisa hasa ili UMKALIE KOONI, si uende SUA (waweza hata kumuomba Mwakyembe akulipie na atafurahi sana) au mwambie George Mwakalinga wa USA akulipie na ukafanye utafiti ni SCANDAL gani Mwakalinga huyu Mhandisi ILIMFANYA aache chuo na kukimbilia Poland. Siku ikifika kumbuka hizi data zitawekwa.
Na kama chuoni haitawekwa sababu yoyote ya yeye kuacha SUA, basi lazima ufahamu kuwa wengine wanajua KUNUSA. Sasa hivi angelikuwa KAPIGWA rumba hadi anatisha. Alinusa akaona heri ajikite Poland na huyooo, akajimwaga zake Poland na sasa............. Mwataka mfahamu hadi anavaa chupi gani. Na hata akiwavulia na muone chupi, bado hamtaamini.

Kuna watu kama Mwita Maranya, wamekaa kama vile wanaishi Mombasa, na sauti lainiiii "Sasa huyu kaka Mwakalinga, aliachia nini SUA?" Wee nani hadi akuambie? Watakaomchagua ni Wanakyela na hao ndiyo watapata jibu wakihitaji. Na sidhani wananchi wa kawaida wako interested kufahamu huyu ni Prof. wa umeme wa Upepo au Mhandisi wa Richmonduli. Wao wanaangalia mita kadhaa tu na shida yao ni mtu wa kuwasaidia kutatua maisha yao. Degree nne au tano hapa hazileti maisha mazuri kwa Wanakyela.
Sikonge,nafurahi kusikia waniheshimu mkuu,nami nakuheshimu sana tu...Sidhani kama ni kosa kutaka Mwakalinga aweke CV yake hapa(keshayavulia maji nguo aisee..........),maana hiyo CV ndo itatueleza yeye ni nani na pia itajibu hayo maswali yanayojitokeza kila wakati kuhusiana na hiyo SUA..Halafu,George njia aliyoitumia (kwangu mimi) naona itammaliza mapemaaa kabla hata form hazijaanza kuchukuliwa...Binafsi,ningekuwa mimi ningesubiri muda muafaka ufike niingie uwanjani(bila hata kujinadi kupitia hapa JF),nina uhakika mengi yanayoandikwa hapa kuhusu George kuna watu wanayahifadhi/wanayachukua kwa lengo la kuyatumia hapo baadaye...George angetulia tu asubiri muda ufike achukue form aanze kujinadi,sasa hivi kaanza mapema mnooo(nionavyo mimi)...
 
Mwaihojo,

Kwanza umeshalipa lile deni la DAGAA uliokopa? Yule mama wa pale Sokoni kila siku analalamika kwa majirani zako na wewe unajifanya kama vile huna masikio. Dawa ya deni ni kulipa na si kuja kushupalia ya watu wakati yako yamekushinda. Yaani siku nzima kukaa JF na kubadili tu majina.

Unakopa hadi DAGAA? Na mwakani kibarua cha Mwakyembe kikioata Mbawa, ndiyo UTAFULIA hadi ukaombe kazi pale KBS huku ukijifanya kuwa "Mzee nilikosea, kumbe wewe ndiyo mtu mzuri..." Njaa bwana, huwafanya watu waanze kusema vitu kama visivyo na miguu wala kichwa. Mtu kajiunga eti jumatano wiki hii na JF, bado mgeniii na anang'ang'ania kufahamu CV ya Mwakalinga. Hajui hata kudanganya.

Haya, wee Mwaihojo, jina lako jingine unatumia hapa JF ni lipi? Useme haraka maana itabidi watu waongo kama wewe, tumuombe INVISIBLE awe anaangalia IP zenu na kujua mwaingia kwa majina gani. Wee jifanye mjanja tu, tutakunasa na tundu bovu.

Usiige anachoandika Masanilo na Nyani Ngabu. Wenzio hawa wanajulikana kuwa ni WATANI wakubwa sana wa JF. Sasa wee kudandia lli-tereni linaloendeshwa na LAPUTOPU za NGUVU ya UPEPO wa SINGIDA, utalala chali sasa hivi na miguu juu kama Mende.
Sikonge,hizi ni dalili kwamba UMEISHIWA HOJA..Mambo gani haya unaanza kuandika aisee
 
Kwi kwi kwiiiiii jamani ni majadiliano tu. Yupo wapi mzee wa Umeme wa Upepo aka FATAKI?

Huyo huyo mzee wa umeme wa UPEPO anashirikiana na RA kupeleka UPEPO (soma HEWA) kule Singida kisha anamsingizia Mwenzake kuwa anashirikiana na RA.

Fataki bana?. Log tu kwa jina lako hachana na haya majina mapya.
 
Back
Top Bottom