Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

KUGOMBEA AU KUTOKUGOMBEA

Nawahakikishieni mwakani 2010 Kyela kutakuwa na mpambano wa nguvu. Mwakalinga yuko focused na anajua anataka kufanya nini Kyela. Naamini mshindi Kyela itakuwa ni demokrasia kama wahusika wataamua kupambana kwa hoja.

Kyela hakuna vurugu kabisa tofauti na watu wanavyoamini huku JF au Dar. Sisi tuliambiwa eti tutazomewa na kupigwa mawe. Lakini badala yake tuliona vijana wanaotaka kuongea na kutaka kukujua zaidi. Siku ya kwanza tukakuta kijijini wameandaa ulinzi lakini tukakataa na kuwaambi hatudhani kuna watu wanataka kutudhuru. Baada ya ku access security situation na kuona ni wanasiasa wanaikuza tu, baada ya siku ya pili tuliweza kutembea kwa miguu kwenda sehemu mbalimbali pale mjini.

Adamjee anyone??????????????, get me some Ritha Mlaki for Mwkalinga na Mwakyembe, one pill three time a day till Kyela "erection"... LOL
 
Topic imepoteza mvuto. Wabeba mabox wote wapo bize na mabox. Vioja vimekwisha

Una dharau sana wewe, nahisi umesahau kwamba una madada zao walibebba maboksi kama sie kabla ya kurudi bongo na wengine wako mwanza wnanunua ganja ya buku

take care
 
Imebidi nipitie list yangu yote ya kila mtu ambaye nilimwambia naondoka na ndege gani. Kumbe kuniuliza naondoka na ndege gani lengo lilikuwa baadaye utunge habari ukijifanya unaniunga mkono na baadaye kunigeuzia kibao?

Bwana Mdogo Mtanzania aka Mwakalinga

Kuwa makini sana na watu walikuzunguka, hata hao wanaojifanya ni rafiki zako waangalie kwa jicho la pili, akina Kanda, Fikraduni aka Fairplay na wenzao watakuharibia. Simama wewe kama wewe tambo za kipumbavu acha kujisifia kwa sifa za kijinga hakuta kujenga. Wazee unaowaamni wengi wao ni njaa tu wanataka kukutumia. Jipange upya weka mikakati endelevu ukitaka kuwa mwanasiasa mahiri jitahidi uwe mkweli uwongo kwako uwe mwiko. Achana kabisa na kambi ya Mwakipesile na wale wanaotokana na yeye umenielewa ie RA, EL, Mwang'onda na wote wenye kashfa. Simama wewe kama wewe Engineer gani unatumika mazee?

Talk to you soon, sikufagilii elewa

Mzee wako Masa
 
Masanilo,

Sasa huo ndio ushauri huku unafanya accusations ambazo hata huna uhakika nazo? Kambi ya Mwakipesile wewe ndio umetupeleka huko?

Sisi tunasimama kwa miguu yetu wenyewe; sina kundi wala situmiwi na mtu. Endeleeni tu kupata matope mtakavyo.
 
George,

Uwe unatoa thanks basi! Ninakuambia hivyo nikiwa na akili timamu, ukisimama mwenyewe I will support you fully, sina sababu ya kukupaka tope wala powder najaribu kuwa fair kijana. Soma kwa makini nilichokuambia hapo juu hata kama hutaki thats way forward.

Alamsiki

Masa
 
Kalengamab,

Nafikiri najua nani kavujisha hii habari. Shame on you brother! kwa umri wako unatakiwa uwe na busara na sio kuingiza siasa za kijinga kama hizi.

Kalengamab,

Kumbe ndiko huku ulikuwa unakuja? Nimekujua mkuu wangu. Namshukuru mungu wangu kwa kuniepusha kukutana na wewe siku ya Jumanne.

inaonekana umezungukwa na watu wengi sana na umeshaanza kujuta mapema kwenye post zako hizi

kuwa mwangalifu ni mawazo tu
 
Kalengamab,

Ulipokosea ni pale uliposema umenisindikiza airport. Imebidi nipitie list yangu yote ya kila mtu ambaye nilimwambia naondoka na ndege gani. Kumbe kuniuliza naondoka na ndege gani lengo lilikuwa baadaye utunge habari ukijifanya unaniunga mkono na baadaye kunigeuzia kibao?

Mtanzania bwana,

umerukaruka weeeeee, mwishowe umetumbukia ndani ya shimo mwenyeweeeee!tena kiulainiiiii.

Watu wameshakujua kwamba wewe ndiye bw.Mwakalinga lakini ajabu ni kuwa umeendelea kushupaza shingo kuwa siye.

kama ulivyokiri mwenyewe kwamba njia ya muongo ni fupi, haya sasa mwenyewe umejifunua.

kosa kubwa sana ulilolifanya na bado unaendelea kulifanya ni kukana kuwa wewe sio mwakalinga ilihali dalili zooote zinaonyesha ndiye. Kama mdau mmoja alivyokushauri hapo juu ni afadhali usingekubali wala kukataa.

sasa unaendelea kupata upinzani mkali kutoka kwa wadau wenzako wa JF ambao walipaswa wawe wa kwanza kukuunga mkono na kukupa kila aina ya support ili uingie mjengoni.

kaka jipange upya kama hmambo yenyewe ndio haya unayo safari ndefu saana kufikia malengo yako ya kuwa mwakilishi wa kyela mjengoni.
 
Mponjoli,

Kwi kwi kwi, sasa si nilikuwa na Mwakalinga kijijini na baadaye nikarudi mjini?

Mtanzania,

Inajua mara nyingi unajichanganya sana. Lakini siyo mbaya,unaweza kuwa mpambe wa mgombea. Mwakalinga ana haki ya kikatiba ya kugombea,ila alete hoja ya maendeleo otherwise wana kyela watamuaibisha.
 
Bwana Mdogo Mtanzania aka Mwakalinga

Kuwa makini sana na watu walikuzunguka, hata hao wanaojifanya ni rafiki zako waangalie kwa jicho la pili, akina Kanda, Fikraduni aka Fairplay na wenzao watakuharibia. Simama wewe kama wewe tambo za kipumbavu acha kujisifia kwa sifa za kijinga hakuta kujenga. Wazee unaowaamni wengi wao ni njaa tu wanataka kukutumia. Jipange upya weka mikakati endelevu ukitaka kuwa mwanasiasa mahiri jitahidi uwe mkweli uwongo kwako uwe mwiko. Achana kabisa na kambi ya Mwakipesile na wale wanaotokana na yeye umenielewa ie RA, EL, Mwang'onda na wote wenye kashfa. Simama wewe kama wewe Engineer gani unatumika mazee?

Talk to you soon, sikufagilii elewa

Mzee wako Masa

Masanilo;

Naomba nikwambie kuwa Mwakalinga hajanituma nimsemee, Kwanza kumsapoti kwangu ni sawa na wewe unavyomsapoti/kumchukia OBAMA au MUGABE. It is for politics only.

Kama una nia nzuri ungetoa ushauri muafaka. Mimi ninamharibia vipi Mwakalinga?, wewe unanifahamu kweli?

Umesema HUMFAGILII halafu unaji contradict na kuwa akiachana na EL na RA utamsupport...wewe ndo ulimpeleka kwa RA na EL?

Yaani mtu mzima unashindwa hata kuchambua ukweli na uwongo kwenye internet halafu unajifanya utam support!!. Hufai hata kwa support ya mawazo!. Wewe ni opportunist tu kama hao wazee wa Kyela, unachotaka ni kuganga njaa yako tu. PERIOD
 
Una dharau sana wewe, nahisi umesahau kwamba una madada zao walibebba maboksi kama sie kabla ya kurudi bongo na wengine wako mwanza wnanunua ganja ya buku

take care

Bwanaeeh Kwani umelazimishwa kubeba mabox? njoo Mbagala tulime Tanzania Ardhi kubwa sana bwana, na haina mwenyewe.

By the way umedandia Treni kwa mbele, Message ilikuwa kwa watu kama watatu tu humu; labda hukusoma mtiririko wa majadiliano.

Sisi wengine tulishakataa kutumikishwa kazi zisizo za kutumia akili.
 
Mtanzania bwana,

umerukaruka weeeeee, mwishowe umetumbukia ndani ya shimo mwenyeweeeee!tena kiulainiiiii.

Watu wameshakujua kwamba wewe ndiye bw.Mwakalinga lakini ajabu ni kuwa umeendelea kushupaza shingo kuwa siye.

kama ulivyokiri mwenyewe kwamba njia ya muongo ni fupi, haya sasa mwenyewe umejifunua.

kosa kubwa sana ulilolifanya na bado unaendelea kulifanya ni kukana kuwa wewe sio mwakalinga ilihali dalili zooote zinaonyesha ndiye. Kama mdau mmoja alivyokushauri hapo juu ni afadhali usingekubali wala kukataa.

sasa unaendelea kupata upinzani mkali kutoka kwa wadau wenzako wa JF ambao walipaswa wawe wa kwanza kukuunga mkono na kukupa kila aina ya support ili uingie mjengoni.

kaka jipange upya kama hmambo yenyewe ndio haya unayo safari ndefu saana kufikia malengo yako ya kuwa mwakilishi wa kyela mjengoni.

Kwa mara ya kwanza kwenye hii mada umeongea vipoints viwili vitatu hapa.

Ila naomba kukuuliza, unajuaje kama amekubali kuwa yeye ndo mtanzania hataka kama sie ili awapoteze malengo?

Fikiria tena kidogo!
 
Kalengamab,

Mheshimu mungu wako, hii taarifa yako ni ya kupika.

Kuna mambo umechemsha ambayo yananifanya niamini unajifanya unatuunga mkono kumbe lengo lako ni kutuchafua.

Hii habari ya mimi kuondoka umeipata kwa kuulizia ratiba ya Qatar Airline. Kuna watu tuliwaambia tunaondoka na Qatar Airline nahisi mmoja ndio
katoa hii habari upande mwingine na kisha wakachunguza ratiba ya Qatar Airline kwa jana.

Kuna ndege kweli ilikuwa inaondoka jana usiku saa sita Doha kuja Heathrow. Sisi tuliondoka na ndege ya saa nane usiku kuja Gatwick airport. Hapo ndipo ulipochemsha ndugu yangu na bahati njia ya mwongo ni fupi.

Nafikiri najua nani kavujisha hii habari. Shame on you brother! kwa umri wako unatakiwa uwe na busara na sio kuingiza siasa za kijinga kama hizi.

Hatimaye Mtanzania akiri kuwa ndiye George Mwakalinga
 
George,

Uwe unatoa thanks basi! Ninakuambia hivyo nikiwa na akili timamu, ukisimama mwenyewe I will support you fully, sina sababu ya kukupaka tope wala powder najaribu kuwa fair kijana. Soma kwa makini nilichokuambia hapo juu hata kama hutaki thats way forward.

Alamsiki

Masa

Mkuu Masanio,
Hakuna anayehitaji support yako mtu mnafiki kama wewe.
Tangu mwanzo wa Topic hii umekuwa ukirusha vijembe vingi sana kumfurahisha huyo msanii wako.
Wewe mwenye haujielewi kuwa uko wapi zaidi ya kuwakashifu watu.

Umekuwa mstari wa mbele sana kuongelea Elimu ya mwakalinga na wakati hauna uhakika na hilo.

Narudia tena,Hatuhitaji nguvu yako na badala yake nguvu yako ipeleke kwa huyo msanii na shemeji zake wachagga
 
Kalengamab,

Mheshimu mungu wako, hii taarifa yako ni ya kupika.

Kuna mambo umechemsha ambayo yananifanya niamini unajifanya unatuunga mkono kumbe lengo lako ni kutuchafua.

Hii habari ya mimi kuondoka umeipata kwa kuulizia ratiba ya Qatar Airline. Kuna watu tuliwaambia tunaondoka na Qatar Airline nahisi mmoja ndio
katoa hii habari upande mwingine na kisha wakachunguza ratiba ya Qatar Airline kwa jana.

Kuna ndege kweli ilikuwa inaondoka jana usiku saa sita Doha kuja Heathrow. Sisi tuliondoka na ndege ya saa nane usiku kuja Gatwick airport. Hapo ndipo ulipochemsha ndugu yangu na bahati njia ya mwongo ni fupi.

Nafikiri najua nani kavujisha hii habari. Shame on you brother! kwa umri wako unatakiwa uwe na busara na sio kuingiza siasa za kijinga kama hizi.

Mkuu Mtanzania.

Huyu Kalengamab, ni yule Mhaya.
Project manager wa NGO moja pale......
Anauma na kupuuliza.
 
Kalengamab,

Kumbe ndiko huku ulikuwa unakuja? Nimekujua mkuu wangu. Namshukuru mungu wangu kwa kuniepusha kukutana na wewe siku ya Jumanne.

Pamoja na kwamba ni mpambe wa Mwakyembe, nilifikiri kwa umri wako umekubali kwamba siasa si uadui lakini kumbe mambo yale ya kwenye mipira ya Yanga na Simba bado unataka kuyatumia kwenye siasa?

Ulipokosea ni pale uliposema umenisindikiza airport. Imebidi nipitie list yangu yote ya kila mtu ambaye nilimwambia naondoka na ndege gani. Kumbe kuniuliza naondoka na ndege gani lengo lilikuwa baadaye utunge habari ukijifanya unaniunga mkono na baadaye kunigeuzia kibao?

Pole sana ndugu yangu na mungu akusamehe sana!

Saaafi sana Mwakalinga a.k.a Mtanzania,kumbe na kwenye mipasho upo,wape vidonge vyao...teh teh teh!!
 
Ila naomba kukuuliza, unajuaje kama amekubali kuwa yeye ndo mtanzania hataka kama sie ili awapoteze malengo?

Sawa Kaijage wa mtanzania.

kila mtu hapa jamvini anayetumia akili yake kidogo tu haitaji kuaminishwa kwamba mwakalinga ndiye Mtanzania.

hata wewe ukweli unaujua ingawa kwa sababu unazozijua mwenyewe hutaki kukiri hadharani kwamba ndiye, inawezekana una maslahi binafsi na mwakalinga.

Na kama nia ni kupoteza malengo, basi mwambie amechelewa wadau wameshagundua janja yake ya nyani(sio NN) kutaka kula mahindi bichi.
 
Sawa Mwita Maranya aka....aka....aka.... Kaijage wa Chadema:)

Ila ni ushabiki, maslahi sina na Mwakalinga kwasababu hana cha kunipa. Ni mtafutaji kama mimi.

Huwezi kujua ukweli mpaka uambiwe kaka.

By the way siku hizi kimya sana umeshaondoka Dar?
 
Sawa Mwita Maranya aka....aka....aka.... Kaijage wa Chadema

Ila ni ushabiki, maslahi sina na Mwakalinga kwasababu hana cha kunipa. Ni mtafutaji kama mimi.

Huwezi kujua ukweli mpaka uambiwe kaka.

By the way siku hizi kimya sana umeshaondoka Dar?[/QUOTE]

_______________________________________________________________________________

Acha hizo FP,

Si mmeahidiwa laptop na mazagazaga mengine kibao? au wewe huna mpango na hizo ahadi zake?

siko kimya sana kama unavyodhani, mi nipo sana ndani ya jiji la Lukuvi.

Wakati rafiki yako mwakalinga akiwa kyela kujitambulisha mi nilikuwa ubaruku mbarali natafuta mchele.
 
Masanilo;

Naomba nikwambie kuwa Mwakalinga hajanituma nimsemee, Kwanza kumsapoti kwangu ni sawa na wewe unavyomsapoti/kumchukia OBAMA au MUGABE. It is for politics only.

Kama una nia nzuri ungetoa ushauri muafaka. Mimi ninamharibia vipi Mwakalinga?, wewe unanifahamu kweli?

Umesema HUMFAGILII halafu unaji contradict na kuwa akiachana na EL na RA utamsupport...wewe ndo ulimpeleka kwa RA na EL?

Yaani mtu mzima unashindwa hata kuchambua ukweli na uwongo kwenye internet halafu unajifanya utam support!!. Hufai hata kwa support ya mawazo!. Wewe ni opportunist tu kama hao wazee wa Kyela, unachotaka ni kuganga njaa yako tu. PERIOD

Kamanda unamatatizo ya akili am so soooorry! sihitaji kukujua mazee, najua ni laptop uwezo wa kufikiri wewe huna unataka kuweka ligi uporomoshe matusi. Sihitaji chochote kwenu hapa JF tunashindana kwa hoja, wewe na timu yenu hamjajibu hoja sasa mmekuja ooohh nakujua wewe mzee bla bla bla period....
 
Mkuu Masanio,
Hakuna anayehitaji support yako mtu mnafiki kama wewe.
Tangu mwanzo wa Topic hii umekuwa ukirusha vijembe vingi sana kumfurahisha huyo msanii wako.
Wewe mwenye haujielewi kuwa uko wapi zaidi ya kuwakashifu watu.

Umekuwa mstari wa mbele sana kuongelea Elimu ya mwakalinga na wakati hauna uhakika na hilo.

Narudia tena,Hatuhitaji nguvu yako na badala yake nguvu yako ipeleke kwa huyo msanii na shemeji zake wachagga

Watu kama nyie ndo mnamharibia Kijana wa Lowassa hapa Mtanzania aka Mwakalinga, atafute timu mpya hamna cha kujibu mnakuja na version mpya
Hii ni kitu gani
ni yule Mhaya.
Project manager wa NGO moja pale......
Anauma na kupuuliza.
Mwakalinga ni msanii kama yule mzee wa mamvi aliyeekwenda kuomba support Monduli, umepata laptop ngapi?

Hamkawii kuanza kusema Masanilo ni yule kijana mlinzi pale Gwakisa Guest House!
 
Back
Top Bottom