Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Mfianchi

Punguza uoga,nasikia alivyosema hagombei mkafanya sherehe?hizo siasa poti si umesikia Zitto..Hivi kunauoga gani unawapata kwa yeye kugombea tupeni siri
 
this is very low....umeniudhi..naondoa thanks niliokupa kwenye post yako ya kuanzisha thread.....
mie nitakupa thanks, usijali so long mwakalinga kajitangaza rasmi.
Akija kitila mkumbo kuomba kura nitamuunga mkono.jf ni family moja nyie wadini endeleeni na chuki zenu.
 
Minyakyusa kwa uongo bwana hata lisoma vipi huyu si alikanusha kuwa hagombei na mkufunga mjadala leo hii bila haya na wapambe wake mnamleta hapa.Mtu mama huyu hafai kwani ni muongo hivi tu kaanza ongopa hata kwenye. Vita vya mafisadi atatuongepea tu.Wanakyela wanawajua wapambe wa mafisadi na hao vibaraka wao
ZITTO KABWE alisema hatagombea na sasa kasema atagombea ubunge jee hafai?
 
Kama kawaida utawajua watu weusi kutokana na michango yao kupondana na kukatishana tamaa hata kwa kutafuta taarifa shida, watu wanaanza kukandia ili watu waogope na kukata tamaa, manake hata Mwakyembe alimng'oa Mwakipesile ambaye sasa ni mkuu wa mkoa kama angeogopa inamaana tusingemjua Dr. Mwakyembe.

Kama anataka kugombea hakuna cha ajabu kwani ni haki yake kisheria kama ilivyo haki yako wewe, akaze buti ushindani upo na si wakitoto.

Jamaa yuko na business centre kyela ambayo ina supermarket, ofisi na ukumbi wa kisasa, kituo cha Radio FM na Hotel kwa viwango vya wilayani jengo lake ndio la kisasa zaidi ukilinganisha na watu wengi ambao ni guest kwa kwenda mbele ijapokuwa linatumika kabla halijaisha. Manake kyela kila baada ya nyumba kuna guest mbili. Wengine maisha yetu ya kuungaunga yanatupa elimu kubwa na kuona mengi kama "slum dog millionaire".

Nimeshindwa kutuma picha manake naulizwa URL ya picha ambayo, ningewamwagia labda ingesaidia kwa taarifa zaidi.

safi sana kabla hajawa mbunge tayari ametoa ajira kubwa jimboni.sasa DR.wa sheria ya Katiba kafanya nini zaidi kwa wanaKyela?kwanini asijikite kwenye Corporate Law?
 
Kijana"Field Marshal"sasa unasemaje na kauli hii ya Mwakalinga kugombea?maana ulituambia wazi kuwa Mwakalinga hana nia hiyo japokuwa mimi nilikuhakikshia kabisa kuwa atagombea na kaanza harakati za kugombea Kyela!
Mwakalinga tupe hoja zake kutuambia utaifanyia nini Kyela!?

- Angalau hakufanya kiroho, kama ulivyotabiri, alisema hagombei na sasa ameamua kugombea, ni wapi amevunja sheria ya taifa, jamhuri au JF? Mamen grow up, twende na wakati hukurupuki tu na kuanza kuropoka kugombea, kuna sheria za kugombea mkuu nenda uzichambue kwanza ili uelewe kinachoendelea.

Respect.

Field Marshall Es!
 
Mwandishi ameyajuaje yote hayo? Lazima aliambiwa na mhusika.

Ushauri kwa Bwana Mwakalinga, ametangaza mapema sana kujitosa kwenye kinyang'anyiro na aangalie asije akajikuta anawekwa kwenye kibano cha CCM kwamba alianza kampeni za uteuzi mapema zaidi kabla ya wakati muafaka wa kufanya hivyo. CCM ni chama cha wenyewe na politics za huko ndani wanaziweza wao wenyewe, kwa hiyo inabidi awe makini sana.

Nina hakika ana nia njema sana, lakini watu wasiopenda ushindani wanaweza kutumia nafasi hiyo kumpaka matope. Ile mada iliyofungwa, ilisemekana kwamba yuko Arusha na baadhi ya wana JF wakapaka kwamba ameenda kukutana na "The Big Papaz". Kaa mbali sana hao jamaa (the big papaz) na wala usije ukaonekana unakunywa nao chai hata kama watakuwa wamekualika kwa nia njema, the easiest way ya kukupaka matope itakuwa kwamba umetumwa na hao mafisadi papaz.

Once mtu akipenyeza hiyo agenda ya kutumwa na mafisadi papa, ukizingatia mgogoro uliopo kati ya RA (+EL indirectly) vs Mwakyembe, basi atakuwa amekumaliza kirahisi sana kwa kuwa huo ndio umekuwa wimbo ndani ya CCM na hata kwenye magazeti kwamba wabunge wote walio na ugomvi na RA, jamaa ameandaa watu wake ambao atawa-finance ili waweze kuwashinda wabunge wa sasa kwenye nominations.

Kila la Heri Bwana Mwakalinga, tutaendelea kukumbusha kila tukiona unaenda kinyume na motto ya JF (kumkoma nyani giladi, will you DARE TO TALK OPENLY? - ukitimiza hilo utakuwa balozi mzuri na mwakilishi wa JamiiForum ambayo umeshiriki kuianzisha na kuwa mdhamini wake). Once ukifanikiwa Mbunge usije ukawa kama Dr. Msekela, usikimbie hiki kijiwe, endelea kuja ili tukupe vipande vyako pindi tukiona unachemsha, tukupe ushauri, tukupe maoni na tukukosoe pale tutakapoona umechemka ama chama chako/serikali ya chama chako ikichemsha. Iga mfano wa Bwana Zitto na Mzee wangu Dr. Slaa, hata joto likizidi bado wapo wanakubali kukosolewa na kutetea misimamo yao ambayo wao wanaiamini kwamba wamesimamia upande wa haki.

- Mwakalinga ni mtu makini sana na atakuwa amepata ushauri wa kutosha sana kutoka kwa wanaohusika sidhani kama anaweza kukurupuka tu na ishu nzito kama hii, mimi ninawatakia heri wananchi wa Kyela, maana this time watakuwa na serious candidates kwa manufaa yao na ya jimbo.

Respect.

Field Marshall Es!
 
Kama kawaida utawajua watu weusi kutokana na michango yao kupondana na kukatishana tamaa hata kwa kutafuta taarifa shida, watu wanaanza kukandia ili watu waogope na kukata tamaa, manake hata Mwakyembe alimng'oa Mwakipesile ambaye sasa ni mkuu wa mkoa kama angeogopa inamaana tusingemjua Dr. Mwakyembe.

Kama anataka kugombea hakuna cha ajabu kwani ni haki yake kisheria kama ilivyo haki yako wewe, akaze buti ushindani upo na si wakitoto.

Jamaa yuko na business centre kyela ambayo ina supermarket, ofisi na ukumbi wa kisasa, kituo cha Radio FM na Hotel kwa viwango vya wilayani jengo lake ndio la kisasa zaidi ukilinganisha na watu wengi ambao ni guest kwa kwenda mbele ijapokuwa linatumika kabla halijaisha. Manake kyela kila baada ya nyumba kuna guest mbili. Wengine maisha yetu ya kuungaunga yanatupa elimu kubwa na kuona mengi kama "slum dog millionaire".

Nimeshindwa kutuma picha manake naulizwa URL ya picha ambayo, ningewamwagia labda ingesaidia kwa taarifa zaidi.

- Ubarikiwe na Mungu wa Mbinguni, yaani wananchi wa Kyela kwanza.

Respect.

Field Marshall Es!
 
Mwakyembe alimng'oa Mwakipesile ambaye sasa ni mkuu wa mkoa
Duh, Siasa za Bongo wakuu zangu kiboko..Hivi kweli tunategemea Mwakyembe kufanikiwa kuliendeleza jimbo lake wakati mfumo wa Uongozi wenyewe unajionyesha wazi kuwa haiwezekani.
 
ZITTO KABWE alisema hatagombea na sasa kasema atagombea ubunge jee hafai?

- Mkulu Kanda2, na wewe ubarikiwe na Mungu wa Mbinguni strong point, katika demokrasia makini kama JF kila member hurusha maoni yake inakubalika, lakini at the end of the day huwa tunatafakari what is important kwa taifa, siasa ni mchzo mchafu sana na ninaamini kwamba Mwakalinga George, anaelewa vizuri sana hilo,

- Ninamshauri tu awe cool na makini, nimeongea naye jana na leo pia, amesharudi Dar kutoka Kyela, na ataondoka keshokutwa kurudi UK, aliwasili Dar wiki tatu zilizopita, akaenda Arusha kuona familia na kutembelea mbuga za wanyama, akaruka kwenda Zanzibar kuendelea na utalii, baadaye akarudi Dar, kabla ya kwenda Kyela, ambako alirudi Dar jana usiku.

- DK kama George, siku zote katika siasa ni lazima kuwa na maadui na marafiki, na washabiki sasa maadui wa DR, automatically wanakuwa washabiki wa George, na maadui wa George automatically wanakuwa washabiki wa DR, na maadui wa DK wanafahamika sana, sasa isiwe sababu ya kumchafua George, kama ambavyo tumekwisha sikia tayari na hizo kampeni chafu.

- Ni haki ya kila member hapa kusema anachotaka, lakini kumkashifu mpaka kumvua nguo member mwenzetu, tena kwa habari za kusaidikika it is beyond JF's civilization, maana ninaamini siku zote JF tunasimamia masilahi ya taifa, na tunaamini kwamba no one knows better kama a pure JF member, binafsi ninawaheshimu wote wawili kwa heshima sawa kabisa yaani George na DK, ninaamini wote ni vichwa na watawasaidia sana wananchi wa Kyela na mawazo yao ya maendeleo, na ninawatakia heri katika kampeni zinazokuja, tutasubiri kusikia kutoka pande zote mbili kabla ya kuamua wapi pa ku-support tena kwa 100%.

Respect.

Field Marshall Es!
 
All is good, ila hii ya kugombea kupitia CCM ndio imeniacha hoi kabisa!!

Dr. Hili halipaswi kukushangaza labda tu kama bado hujamtambua ni nani Mwakalinga. Ukiondoa ES ambaye yeye anasema waziwazi kuwa kuwa ni chama cha majambazi damu,(hivyo hata akitangaza kugombea kupitia huko haitashangaza) michango ya Mwakalinga a.k.a Mtanzania humu jamvini inatosha kabisa kukuonyesha kuwa thata is where he belongs. Akitangaza Masatu, MkamaP, GT, Kanda2, Kibunango na wengineo kuwa watagombea kupitia sisiemu wala usishangae.
 
Duh, Siasa za Bongo wakuu zangu kiboko..Hivi kweli tunategemea Mwakyembe kufanikiwa kuliendeleza jimbo lake wakati mfumo wa Uongozi wenyewe unajionyesha wazi kuwa haiwezekani.

Si mfumo wa serikali ambao hauwezi kuleta maendelo ila mfumo wake kichwani ndio umefika kikomo ndo maana maendeleo kelya yanaonekana kukoma.

Mwakalinga mda wote kawa nje ya ukumbi wa siasa lakini kulingana na miono yake mipana iliyo na mirija fanisi na fasaha, kisha toa ajira kwa wanakyela makumi kadhaa kama sio mamia.

Mwakalinga kawawekea watoto computing center ili waweze kubofya mambo kutokea umri wa awali yani chekechea na sio kuja kujifunza kufungua accout ya email mtu anapojiunga na udsm ktk fani ya IT.

Na nafikiri ni jambo jema kuwauliza wabunge/watu wanaotaka kugombea ya kuwa ni project ipi waliyofanya ya kuwaletea maendeleo ambayo ni kiashirio chanya cha kumkomboa mwananchi kutoka huko kwenye ngazi ya tawi. kikiwa na vimulimuli halisi ktk maendeleo endelevu.

MWakalinga ktk hilo atakuwa kisha pass awamu ya mwanzo,lakini pamoja na mwakyembe kisha kuwa mbunge takribani nusu mlongo sasa hilo tu linaweza kuwa kikwazo kwake.
 
Alisema kutokana na uzoefu wake wa uongozi na kufanya kazi mbalimbali barani Ulaya na elimu aliyonayo, anaamini kuwa ataweza...

Kazi alizowahi kufanya Bw. Mwakalinga nchini Uingereza ni pamoja na kuwa Mhazini wa Jumuia ya Watanzania Waishio Nje ya Nchi (Tanzanet) kwa muda wa miaka 4 na kuwa mmoja wa wanachama waanzilishi na mdhamini wa mtandao wa Jamii Forum.
Nadhani, tena naombea, kwamba ni gazeti lime ku mischaracterize. Mwanachama mwanzilishi wa Jami Forum! Muhazini wa Tanzanet?? I swear to godhead umesingiziwa. What in the world is Tanzanet? Kwanza, hakuna jumuiya ya Watanzania waishio nchi za nje, Tanzanet ni cyber community, kwa hiyo hukuwahi ku interact na watu in person katika hiyo organization zaidi majinamizi yasiyo exist kama Dilunga na Yo Yo na Masanilo. Unapojifanya kama Tanzanet ni jumuiya halisi unaonekana mwongo.

Whether it's you or a whacky journalist who mischaracterized you, you need to control the message. Usikubali kutoa interview na Mwandishi kilaza atakae kuja kuku potray kama mjinga mmoja katoka Ulaya anadhani akisema alikuwa anachangia JF basi gentlemen and ladies wa Tanzania wata fall on his lap! Hell to the no! Be clear and careful with these cluckerwacky journalists unapoaeleza biography yako. Uking'ang'ania hicho ki pointi cha kukaa Ulaya, sijui kuacha kazi nzuri Ulaya utapigwa KO moja kali sana na Mwakyembe, atakupiga madongo makali mno, hana heshima yule, unamjua! Wewe na Ulaya yako utaitwa wakuja. Siku hizi Watanzania hawatetemekei watu wanaotoka Ulaya.
 
Dr. Hili halipaswi kukushangaza labda tu kama bado hujamtambua ni nani Mwakalinga. Ukiondoa ES ambaye yeye anasema waziwazi kuwa kuwa ni chama cha majambazi damu,(hivyo hata akitangaza kugombea kupitia huko haitashangaza) michango ya Mwakalinga a.k.a Mtanzania humu jamvini inatosha kabisa kukuonyesha kuwa thata is where he belongs. Akitangaza Masatu, MkamaP, GT, Kanda2, Kibunango na wengineo kuwa watagombea kupitia sisiemu wala usishangae.

- Mimi ni mwanachama hai na mkereketwa wa CCM, CCM kama chama hakina tatizo lolote kimetutoa wa-Tanzania utumwani na kutupatia uhuru, dunia sio mbaya ila ni walimwengu, CCM sio mbaya ila viongozi wake wachache wabovu na wote tunawajua kama huamini pitia threads za humu JF mmoja baada ya mwingine kwa majina yao na matatizo yao,

- kushindwa kwenye wananchi wa Tanzania kuwathibiti kisheria na kisiasa, hasa katika uchaguzi tena kwa miaika 48, hakutufanyi wananchi wote wa Tanzania kuwa mafisadi kama hao viongozi wachache wa CCM, kunyoosheana vidole ni dalili za kuchanganyikiwa na fimbo za mafisadi, ndio maana tutazunguka hapa jangwani kwa karibu miaka 40, mpaka tutakapo get it right, yaani sisi wananchi kubadilika mawazo yakawa samba samba na wakati tulionao.

- Kugombea uongozi kupitia chama chochote nchini cha siasa, kwangu ni none-ishu, cha muhimu ni uwezo wa uongozi wa mgombea. Ninasema Salute kwa George kwa kutusafisha JF na kutupandisha to another level katika national politics za taifa letu, kwanza alianza:-

1. JF- Mwanakijiji 5 - Lowassa 0! (Akiwa Prime Minister),

2. Manumba 0! - JF-Invisible 5

sasa:

3. JF - George 0 Vs Dk. Mwakyembe 0 (so far)

Respect.

Field Marshall Es!
 
Dr. Hili halipaswi kukushangaza labda tu kama bado hujamtambua ni nani Mwakalinga. Ukiondoa ES ambaye yeye anasema waziwazi kuwa kuwa ni chama cha majambazi damu,(hivyo hata akitangaza kugombea kupitia huko haitashangaza) michango ya Mwakalinga a.k.a Mtanzania humu jamvini inatosha kabisa kukuonyesha kuwa thata is where he belongs. Akitangaza Masatu, MkamaP, GT, Kanda2, Kibunango na wengineo kuwa watagombea kupitia sisiemu wala usishangae.

Wewe huwezi pewa mbengu ukazipande shambani ili zizae matunda mengi wewe ukaenda kuzitupa ktk miamba ukitegemea mavuno tele.

Ama huwezi pewa fedha ya mtaji ukaibana na kuichimbia chini ya ukuta ukiwa na mlengo kwamba ukizifanyia biashara eti unaweza kula loss na mdai wako utakosa cha kumlipa.

mifano hiyo yafanana kabisa na wewe ukitakacho kutuambia hapa .
 
- Mimi ni mwanachama hai na mkereketwa wa CCM, CCM kama chama hakina tatizo lolote kimetutoa wa-Tanzania utumwani na kutupatia uhuru, dunia sio mbaya ila ni walimwengu, CCM sio mbaya ila viongozi wake wachache wabovu na wote tunawajua kama huamini pitia threads za humu JF mmoja baada ya mwingine kwa majina yao na matatizo yao,

- kushindwa kwenye wananchi wa Tanzania kuwathibiti kisheria na kisiasa, hasa katika uchaguzi tena kwa miaika 48, hakutufanyi wananchi wote wa Tanzania kuwa mafisadi kama hao viongozi wachache wa CCM, kunyoosheana vidole ni dalili za kuchanganyikiwa na fimbo za mafisadi, ndio maana tutazunguka hapa jangwani kwa karibu miaka 40, mpaka tutakapo get it right, yaani sisi wananchi kubadilika mawazo yakawa samba samba na wakati tulionao.

- Kugombea uongozi kupitia chama chochote nchini cha siasa, kwangu ni none-ishu, cha muhimu ni uwezo wa uongozi wa mgombea.

Respect.

Field Marshall Es!

Hata chadema huko viongozi ndo hivyo tu.
Angalia mbowe kakopa fedha toka enzi hizo hajalipa deni hadi leo,harafu akikurupuka huko utamsikia eti ccm ndio inatesa wananchi ,yeye hawatesi wananchi kwa kutolipa deni zaidi ya miaka 20.? Jamaa haoni hilo hata wafuasi wao hawaoni hilo.

Je usipokuwa mwaminifu kwa vitu vidovidogo je kwa vitu vikubwa utakuwa mwaminifu?

Angalia alivyomfurumusha aliyekuwa makamu mwenyekiti wake hayati CHACHA alipogusa kusitisha jinsi anavyojilipa fedha za walipa kodi.

CHADEMA nacho kimeoza kule yuko Mnyika na Slaa tu.
 
Mkamap,
Yawezekana Mwakalinga kapata baraka za mkuu wa mkoa!..Mkuu siasa za Bongo unazijua.. yaani kweli wewe umshinde mtu ktk Ubunge kisha apewe nafasi kubwa kuliko wewe unafikiri kweli utaweza kwenda mbele nchi yenyewe Bongo!....
Navyosikia Mwakeyembe hapatani na kila mtu K
yela kwa sababu ya majigambo yake, hii ndio sababu kubwa ya kutopendwa au kuchaguliwa kwake, sasa sielewi kama hili linaingia pia ktk Uongozi bora... haya ya kiongozi kutumia fedha zake mwenyewe inategemea na moyo wa mtu haipo ktk uongozi hata kidogo laa sivyo basi Bakhresa au Mengi ndio wanafaa Urais nchini maanake michango yao ni mikubwa kichizi.

Haya maswala ya kwamba hajafanya kitu kusema kweli mimi siamini zaidi ya kufikiria tu kwamba kuna siasa chafu zinapigwa Kyele. Zipo wilaya na mikoa ambayo imechagua vyama pinzani ilikoma kuendelea pindi tu baada ya uchaguzi...Ni vigumu sana hata nchi hizi za Ulaya kumtegemea mbunge, mimi nakwambia hivyo kwa sababu mbunge wangu NDP aliahidi mambo kibao hapa yafanyike lakini kashindwa kwa sababu mkoa umeshikwa na chama kingine Liberal. Nao Liberal wamekwamba mambo kadhaa kimkoa kwa sababu nchi imeshikwa na PC..basi ili mradi hakuna kinachoendelea zaidi ya watu kusifia mfumo unaowanyonga..

Mwakalinga ni mshikaji wetu na hakika kafanya mema na yanayostahili sifa kubwa lakini akumbuke tu kuwa Mwakyembe ni shujaa wetu sote.. Ujeuri wake ktk swala la Richmond ndio umetupa picha halisi ya madudu ya kina Lowassa.. Ndiye sababu ya Lowassa, Msabah na wengineo kung'olewa madakani..For that anastahili sifa kubwa pia hivyo ushindani wenu uwe mfano na wenye malengo mazuri kwa wananchi sii wa Kyela tu ila Tanzania nzima..
 
Huyo mwakalinga ni yule aliyeaanzisha computer centre pale Jitegemee JKT high School na baadae kuwa na Dar es Salaam International School pale Sinza?

Siye huyu aliyetajwa kama mmoja wa wanahisa wa ile kampuni ya kina Mwekyembe ya Umeme wa Upepo kule Singida?

Naomba kuelimishwa kidogo

Omarilyas

Omar,

Mwakalinga ni kweli miaka kama 10 iliyopita alianzisha shule na centre ya computer pale Dar. Hii ilikuwa ni kati yake na jamaa wengine na mmoja kwa sasa ni Dr. na mwalimu UDSM. Sijui ilikuwa sehemu gani ila nachofahamu ilikufa. Kufa kwake kuliwafanya wote waanze kujipanga upya na kuanza kujisomea mambo ya kufanya biashara ya IT. Ndiyo maana hata Mwakalinga katika kujiweka sawa, kaafanya IBM.

Huyo Mwakalinga wa Mwakyembe kwenye ile kampuni ya umeme ni mwingine. Huyo pia yumo ndani ya mtandao na hata kwenye hii thread ameshashusha ujumbe wake.
 
Mkamap,
Yawezekana Mwakalinga kapata baraka za mkuu wa mkoa!..Mkuu siasa za Bongo unazijua.. yaani kweli wewe umshinde mtu ktk Ubunge kisha apewe nafasi kubwa kuliko wewe unafikiri kweli utaweza kwenda mbele nchi yenyewe Bongo!....
Navyosikia Mwakeyembe hapatani na kila mtu Kyela kwa sababu ya majigambo yake, hii ndio sababu kubwa ya kutopendwa au kuchaguliwa kwake, sasa sielewi kama hili linaingia pia ktk Uongozi bora..
Haya maswala ya kwamba hajafanya kitu kusema kweli mimi siamini zaidi ya kufikiria tu kwamba kuna siasa chafu zinapigwa Kyele. Zipo wilaya na mikoa ambayo imechagua vyama pinzani ilikoma kuendelea pindi tu baada ya uchaguzi...Ni vigumu sana hata nchi hizi za Ulaya kumtegemea mbunge, mimi nakwambia hivyo kwa sababu mbunge wangu NDP aliahidi mambo kibao hapa yafanyike lakini kashindwa kwa sababu mkoa umeshikwa na chama kingine Liberal. Nao Liberal wamekwamba mambo kadhaa kimkoa kwa sababu nchi imeshikwa na PC..basi ili mradi hakuna kinachoendelea zaidi ya watu kusifia mfumo unaowanyonga..

Mwakalinga ni mshikaji wetu na hakika kafanya mema na yanayostahili sifa kubwa lakini akumbuke tu kuwa Mwakyembe ni shujaa wetu sote.. Ujeuri wake ktk swala la Richmond ndio umetupa picha halisi ya madudu ya kina Lowassa.. Ndiye sababu ya Lowassa, Msabah na wengineo kung'olewa madakani..For that anastahili sifa kubwa pia hivyo ushindani wenu uwe mfano na wenye malengo mazuri kwa wananchi sii wa Kyela tu ila Tanzania nzima..

- Exactly, ninachokisema ubarikiwe mkuu na Mungu wa Mbinguni, yaani hii tunaita matured political thinking.

Respect.

Field Marshall Es!
 
Omar,
Huyo Mwakalinga wa Mwakyembe kwenye ile kampuni ya umeme ni mwingine. Huyo pia yumo ndani ya mtandao na hata kwenye hii thread ameshashusha ujumbe wake.

- Una maana huyu jamaa anayepeleka wazungu wa Brooklyn Kyela, badala ya kwao Mwakaleli, ili awe mpambe wa DK, au?

Respect.

Field Marshall Es!
 
Mkamap,
Yawezekana Mwakalinga kapata baraka za mkuu wa mkoa!..Mkuu siasa za Bongo unazijua.. yaani kweli wewe umshinde mtu ktk Ubunge kisha apewe nafasi kubwa kuliko wewe unafikiri kweli utaweza kwenda mbele nchi yenyewe Bongo!....
Navyosikia Mwakeyembe hapatani na kila mtu Kyela kwa sababu ya majigambo yake, hii ndio sababu kubwa ya kutopendwa au kuchaguliwa kwake, sasa sielewi kama hili linaingia pia ktk Uongozi bora... haya ya kiongozi kutumia fedha zake mwenyewe inategemea na moyo wa mtu haipo ktk uongozi hata kidogo laa sivyo basi bakhresa au Mengi ndio wanafaa Uraios nchini maanake michango yao ni mikubwa kichizi
..
Haya maswala ya kwamba hajafanya kitu kusema kweli mimi siamini zaidi ya kufikiria tu kwamba kuna siasa chafu zinapigwa Kyele. Zipo wilaya na mikoa ambayo imechagua vyama pinzani ilikoma kuendelea pindi tu baada ya uchaguzi...Ni vigumu sana hata nchi hizi za Ulaya kumtegemea mbunge, mimi nakwambia hivyo kwa sababu mbunge wangu NDP aliahidi mambo kibao hapa yafanyike lakini kashindwa kwa sababu mkoa umeshikwa na chama kingine Liberal. Nao Liberal wamekwamba mambo kadhaa kimkoa kwa sababu nchi imeshikwa na PC..basi ili mradi hakuna kinachoendelea zaidi ya watu kusifia mfumo unaowanyonga..

Mwakalinga ni mshikaji wetu na hakika kafanya mema na yanayostahili sifa kubwa lakini akumbuke tu kuwa Mwakyembe ni shujaa wetu sote.. Ujeuri wake ktk swala la Richmond ndio umetupa picha halisi ya madudu ya kina Lowassa.. Ndiye sababu ya Lowassa, Msabah na wengineo kung'olewa madakani..For that anastahili sifa kubwa pia hivyo ushindani wenu uwe mfano na wenye malengo mazuri kwa wananchi sii wa Kyela tu ila Tanzania nzima..

Mwakyembe si shujaa wala nini
Ushajaa wake unatoa wapi? kusoma ile kitu ya kumdondosha wale jamaa hata mtoto wa darasa la nne angeliweza kuisoma kama tu angelihaidiwa na mwalimu wake usalama wa kutosha .Ndicho kilichotokea kwa mwakyembe.

Kama mkuu wa kaya angeamuwa kuizima ile kitu na ingezimwa pale alipewa go ahead tu.Hakuna ushujaa wowote pale.
Atuambie kafanya nini
 
Back
Top Bottom