Kwetu sisi hiki ni kitoweo.

Kwetu sisi hiki ni kitoweo.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,663
Nyie mnawaua? Siye kwetu twawafuga ati..!!
295396_248567728507286_100000621812033_834153_4799920_n.jpg
 
Siyo kweli, hawa hawali panya bali ni sacred
 
attachment.php
ninawogopa hao................................yaani tauni tupu kwenye viroboto wao......labda uwe unawogesha kila wiki na detooooo.................
 
Wanawaabudu, sio kuwaua.
 
Last edited by a moderator:
Kwenu wapi, Iramba? Weka wazi wana JF wa-balance maoni yao kuhusu post yako.
 
Wanawaabudu, sio kuwaua.


Mbona hawa wahindi hatusikii wanapigiwa kelele na wale wavaa suluari fupi na maswahiba wao kwamba "hao panya siyo mungu!" Ina maana wao huwa wanawaangalia akina Paulo tu?
 
Last edited by a moderator:
dah,wahindi nao hawanazo kabisa,,,,ivi ugonjwa wa tauni unawapita pembeni kweli??
 
Back
Top Bottom