Kwenye mapenzi mnapokuwa mmenuniana inachukua muda gani mpaka kuanza kusemeshana tena?

eti,naomba kuwauliza.
katika mahusiano,inachukua how long toka kuanza kununiana na mpenzi wako mpaka kuanza kusemeshana tena?
Maana naona week ya pili inakatika sasa na hakuna mwenye dalili ya kumtafuta mwenzie.
Inategemea hofu yenu ya Mungu ikoje,haitakiwi kusubiri mpaka jua lichwe,lakini kama mmemkumbatia shetani vizuri mnaweza nuniana hata mwezi,which is not good spiritually even physically,kwani ujue pia maradhi kama High blood pressure lazima yajenge urafiki na wewe...
 
Hakuna ubingwa ktk mnuno, yaani hilo eneo ni moja ya kasehemu ka- mapenzi kama kichunusi vile,
Kama kweli ,narudia kama kweli mnapendana wote mtakuwa ktk upweke, na atakayezidiwa na upweke kwa kuyakumbuka mambo yanayompa furaha yaani zile tabasamu,ile sauti yake,ule uchokozi wake ,ule uongo wake,mapishi na mengine meeengi lazima utafute kisababu hivi cha kumaliza kujitesa kama mnaishi pamoja we hata Jamba halafu msingizie yeye , akiwa amelala chota vimaji hivi mmwagie kidogo halafu kausha kama sio ww vile, mapenzi ni kila kina ni furaha tu hata kununa ni furaha.kama hulipendi likinuna si ndo unapata unafuu .
Aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ndo wananuna nuna. Ukiona wapenz wamenuniana ujue wote wanamitabia yakike. Ukinunuwa mwanaume kama bado unampenda unaongeza sound na kubembeleza mpka kieleweke. Ukiona anazingua na unahisi kumchoka unamkataa mazima unamchana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom