Kwenye mapenzi mnapokuwa mmenuniana inachukua muda gani mpaka kuanza kusemeshana tena?

Hakuna ubingwa ktk mnuno, yaani hilo eneo ni moja ya kasehemu ka- mapenzi kama kichunusi vile,
Kama kweli ,narudia kama kweli mnapendana wote mtakuwa ktk upweke, na atakayezidiwa na upweke kwa kuyakumbuka mambo yanayompa furaha yaani zile tabasamu,ile sauti yake,ule uchokozi wake ,ule uongo wake,mapishi na mengine meeengi lazima utafute kisababu hivi cha kumaliza kujitesa kama mnaishi pamoja we hata Jamba halafu msingizie yeye , akiwa amelala chota vimaji hivi mmwagie kidogo halafu kausha kama sio ww vile, mapenzi ni kila kina ni furaha tu hata kununa ni furaha.kama hulipendi likinuna si ndo unapata unafuu .
 
eti,naomba kuwauliza.
katika mahusiano,inachukua how long toka kuanza kununiana na mpenzi wako mpaka kuanza kusemeshana tena?
Maana naona week ya pili inakatika sasa na hakuna mwenye dalili ya kumtafuta mwenzie.
Kama wew bado unamuhitaji ni bora umuamze tu maana saa Nyingine wakati wamenuna huwa wanatengeneza kwingine kukienda sawa tu ndio kuhama kimoja ( mnuno utaendelea daima)
 
Inategemea na level zenu za ukichaa, na nyie ni vichaa wote. Mpaka mmoja atakapopata akili atajishusha
 
Inategemea na level zenu za ukichaa,naona nyie mmebobea, mpaka mmoja atakapopata akili na kushuka then mtakuwa sawa
 
Kama wew bado unamuhitaji ni bora umuamze tu maana saa Nyingine wakati wamenuna huwa wanatengeneza kwingine kukienda sawa tu ndio kuhama kimoja ( mnuno utaendelea daima)

Muhitaji wa nn apo bwahahaha mambo mengine yakishamba kweli kweli,....IDK
 
Hakuna ubingwa ktk mnuno, yaani hilo eneo ni moja ya kasehemu ka- mapenzi kama kichunusi vile,
Kama kweli ,narudia kama kweli mnapendana wote mtakuwa ktk upweke, na atakayezidiwa na upweke kwa kuyakumbuka mambo yanayompa furaha yaani zile tabasamu,ile sauti yake,ule uchokozi wake ,ule uongo wake,mapishi na mengine meeengi lazima utafute kisababu hivi cha kumaliza kujitesa kama mnaishi pamoja we hata Jamba halafu msingizie yeye , akiwa amelala chota vimaji hivi mmwagie kidogo halafu kausha kama sio ww vile, mapenzi ni kila kina ni furaha tu hata kununa ni furaha.kama hulipendi likinuna si ndo unapata unafuu .
Kweli bro kama mnapendana kiukweli wiki mbili ni nyingi sana coz kila mtu ana hisi kuna kitu fulani kimepungua hapo lazima ujirudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom