Kwenye hili wewe ungefanya nini?

Kwenye hili wewe ungefanya nini?

Unawafundisha taratiiibu wakubali kuwa wewe ni baba yao na maisha yanasonga.

Kumbuka kitanda hakizai haramu.

Hayo unasema tu kwan by tha time narud baba wa watoto hao yuko wap
 
hiki ndio kifungo chako so kuchepuka ni maamuz yako ya kibinadamu kama ndoa ya kikristu bas ndio mkataba wa maisha
hata hvyo after 4 years ndoa unarud uraian so ndoa itaendlea tu
Ukikiuka unaanguka dhambini. Kuiona mbingu si kazi ndogo kwenye mazingira kama haya. Maombi ni muhimu yasikupate majaribu ya namna hii.
 
Hayo unasema tu kwan by tha time narud baba wa watoto hao yuko wap
Kwani we una shida gani nae? Inatakiwa umheshimu kwa kukutunzia mke kwa kipindi chote hicho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom