Ndio. Kukaa bila mke au mume zaidi ya miaka 10 ukiwa mzima wa afya hata Mungu atakuhurumia.Hadi wakatoliki wanaruhusu?
Good for you Mkuu.Mf. Mr wangu leo hii kakamatwa na anatakiwa akae jela miaka minne yaan nitamsubiri kiroho safi tena usikute nina biashara zangu, au kazi yangu inayo nikeep busy sasa nichepuke nitafute nn maana nikirudi home nipo na wanangu au hata kama sina mtoto nitafuta cha kuniweka busy kiasi kwamba sitafikilia ngono kabisaaaaa
Ndio. Kukaa bila mke au mume zaidi ya miaka 10 ukiwa mzima wa afya hata Mungu atakuhurumia.
binadamu aliyekamilika hasa mwanaume hawezi kukaa miaka kumi bila tendo. Itakuwa kudanganyana tu. Hakuna anayeweza.
Sawa wakuu......mmeeleweka sana.Unashauriwa kuwa na mchepuko hapo maana miaka minne unaweza kufa kwa nyege
Kabla hujafunga ndoa kielewe hiki kipengele vizurNdoa hairuhusu kuachana hadi kifo cha mmoja wapo kitokee
Magereza ya wenzetu mbele hii kitu inafanyika ni kawaida sana wanaheshimu Conjugal RightsJela iweke magheto maalumu, kwa ajili ya wanandoa ambao wametenganishwa kwa kifungo
Aiseee? ila umesema kitu kweli kabisa changu ni simple kuliko mchepuko.Tutambuane kwa jinsia kablabya kuchangia.
sidhani kama mwanamke huwa anaplan mwenyewe kuchepuka kwa sababu kama hizo mnazosema.
Ila kwa mwanaume si bora ukachukue changudoa sababu utatumia kinga kuliko michepuko unaweza pinduliwa kwenye ndoa yako.
😡Utajifanya muaminifu unamsubiria, kumbe mwenzako anabanjuka na bwana jela...
Mi sina nidhamu hiyo
Ha haa schepukagi mie[emoji108]Hata ukiwa na bwana unamchepuko.......sipati picha ukiwa alone🙂🙂🙂🙂