Kwenye hili wewe ungefanya nini?

Kwenye hili wewe ungefanya nini?

Kama hukutuma kadi za mialiko kwa vyovyote vile lazima ufanye mwenyewe.
Nilikualika ukaniambia nikutue wewe leo uko busy na mamsapu, basi ikabidi nichemshe tu mihogo yangu nile then niangalie movie hadi za akina Jetlee[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Nilikualika ukaniambia nikutue wewe leo uko busy na mamsapu, basi ikabidi nichemshe tu mihogo yangu nile then niangalie movie hadi za akina Jetlee[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Wacha nije kuangalia movie 🙂🙂🙂
 
Wakuu wa jukwaa salamu!

Umefunga ndoa na mpenzi wako,

Ndoa hairuhusu kuachana hadi kifo cha mmoja wapo kitokee,

Mara baada ya ndoa mwenza wako anahukumiwa miaka 4 jela.

Je ungemsubiri bila kuchepuka hadi atoke ili mwendelee na maisha?

Je ungetafuta kamchepuko ka kupoozea wakati ukimsubiri atoke?

Au ungevunja taratibu zote na kufutilia ndoa mbali then utafute ndoa nyingine?

Je wewe ungefanyaje?
Mkuu swali zuri japo linaweza kuwa na majib ya mzaha, ila ni mhim kujua kuwa kama mwenzi wako amefungwa inategemea na kosa, ipo sharia inayoruhusu wanandoa kuwa na pravety walao Mara moja kwa mwezi...

Hapo pia inategemea na gereza, tabia ya muhusika na kosa lake...

Pia ndoa haijavunjwa ndiyo maana katka shida na raha... Hyo walao inamatumaini, je ukipata mwenzi Wa maisha halafu baada ya wiki akapata ajari akiwa jogoo halipandi mtungi utavunja ndoa au utaendelea?

Kunavitu huwa havina majibu ila vikikukuta ndipo utapata majib mkuu
 
Big up Mkuu kwa maelezo mazuri..... Nimekuelewa sana.
 
Kama ni ya kiislamu wala haina shida sana,kuoa mwisho si wake wanne bhana!

Ila hizi za kikristo mkuu ni tatizo..! naona hizi sheria za jela zifanyiwe marekebisho!

Ningependekeza, Jela iweke magheto maalumu, kwa ajili ya wanandoa ambao wametenganishwa kwa kifungo, maana tendo la ndoa ni haki ya mtu, tena muhimu kweli kweli....

Binafsi, ningetafuta mchepuko, wa kupozea njaa.. hiyo wala haina hata kutafuna maneno.
Nadhani hapo ni ikiwa wewe upo Nje. Hebu niambie wewe ndio umefungwa Miaka 4 Jela. Utakubali Mkeo achepuke ili apoze Njaa?

Lakini pia, nakubaliana na wewe. Ni vyema pakawepo kautaratibu ka Mume na Mke Halali wa Ndoa kupewa angalau kwa Mwezi Mara moja kukutana na Mke ama Mume.

Jela ni chuo cha kujifunza Nidhamu. Sio sehemu ya kukomoana.

Tunatoa adhabu kwa Binadamu wenzetu utadhani tumewaumba sisi?

Tuna Hasira kuliko Mwenyezi Mungu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom