Kwenye hili wewe ungefanya nini?

Kwenye hili wewe ungefanya nini?

Ghafla nimemkumbuka Jux alivyo toa majini kwa Salama Jabir (mkasi), kumhusu mpenzi wake alie gungwa China
 
Wakuu wa jukwaa salamu!

Umefunga ndoa na mpenzi wako,

Ndoa hairuhusu kuachana hadi kifo cha mmoja wapo kitokee,

Mara baada ya ndoa mwenza wako anahukumiwa miaka 4 jela.

Je ungemsubiri bila kuchepuka hadi atoke ili mwendelee na maisha?

Je ungetafuta kamchepuko ka kupoozea wakati ukimsubiri atoke?

Au ungevunja taratibu zote na kufutilia ndoa mbali then utafute ndoa nyingine?

Je wewe ungefanyaje?
Hata asipofungwa jela swala la kuchepuka bado ni mtihani
 
Hizi sheria inatakiwa ziangaliwe Upya kwani kuna kipindi zinakuwa functionless.kwani alizitunga nani?
 
Kwani kwenye kiapo uliapaje?
Kwenye shida na raha, na hiyo ndio maana halisi ya ndoa.
 
Wakuu wa jukwaa salamu!

Umefunga ndoa na mpenzi wako,

Ndoa hairuhusu kuachana hadi kifo cha mmoja wapo kitokee,

Mara baada ya ndoa mwenza wako anahukumiwa miaka 4 jela.

Je ungemsubiri bila kuchepuka hadi atoke ili mwendelee na maisha?

Je ungetafuta kamchepuko ka kupoozea wakati ukimsubiri atoke?

Au ungevunja taratibu zote na kufutilia ndoa mbali then utafute ndoa nyingine?

Je wewe ungefanyaje?

kumbe hadi kifo kitoke, so huko jela mwenzio ameenda kufa ama wataka uhalalishaji wa dhambi ya kuchepuka kwa comment za watu? kama unatabia ya kuchepuka mbona utafanya tuu hata ukiwa hauko jela.
sometimes leten mada zenye kuwazisha watu sio kutafuta uhalal wa dhambi.
coz jibu unalo kwa thread yako already.
 
sheria iko wazi kwamba ana haki ya kuoa ama olewa if ama
Sure! Kama mmoja wapo atahukumiwa kifungo cha maisha ina maana huyo hawezi kutoka hadi kifo,.......naona anayebakia angeruhusiwa kuoa/olewa tena.
efungwa kifungo cha maisha
 
kumbe hadi kifo kitoke, so huko jela mwenzio ameenda kufa ama wataka uhalalishaji wa dhambi ya kuchepuka kwa comment za watu? kama unatabia ya kuchepuka mbona utafanya tuu hata ukiwa hauko jela.
sometimes leten mada zenye kuwazisha watu sio kutafuta uhalal wa dhambi.
coz jibu unalo kwa thread yako already.
Hebu imagine mtu amehukumiwa kifungo cha maisha jela, yaani akitoka huko ni lazima awe amekufa........Je mwenza wa ndoa anayebaki uraiani inakuje?
 
sheria iko wazi kwamba ana haki ya kuoa ama olewa if ama

efungwa kifungo cha maisha
Hili jibu ndio nililokuwa natafuta........Je baada ya hukumu ya maisha na mwingine kuruhusiwa kuoa au kuolewa tena, itokee amepata msamaha au alikata rufaa baada ya muda fulani akashinda na kuruhusiwa kurudi uraiani......Hapo itakuwaje ilahali mwenzake keshapat ndoa nyingine?
 
Nimejiuliza kabla sijaandka hyo post ulioniquote lkn kiapo hakijatoa exception nyingne zaid ya kifo sasa labda wataalamu wa theology na canon laws watusaidie...

Kwa ubinadamu wng ntaifasir hyo sheria ilotaja kifo kama kiwakilish cha njia zote ambazo zitawatenga daima na kamwe hamtaweza kuwa pamoja tena kwny dunia hii kwahyo basi naiconssider life sentence kama njia nyingne ambayo itawatenga daima na hvyo ntaruhusu kuoa au kuolewa kwa mwenza alieachwa uraian.. (Mawazo yng sina ushahid wowte wa kimaandiko)
Na hilo ndio jibu
 
Kama ni ya kiislamu wala haina shida sana,kuoa mwisho si wake wanne bhana!

Ila hizi za kikristo mkuu ni tatizo..! naona hizi sheria za jela zifanyiwe marekebisho!

Ningependekeza, Jela iweke magheto maalumu, kwa ajili ya wanandoa ambao wametenganishwa kwa kifungo, maana tendo la ndoa ni haki ya mtu, tena muhimu kweli kweli....

Binafsi, ningetafuta mchepuko, wa kupozea njaa.. hiyo wala haina hata kutafuna maneno.
Si nasikia mpaka upate ridhaa ya huyo mke? Sasa unaenda kumwomba huko jela au? Wataalamu wa sharia watatujuza
 
Watu wanaona hawana hata
Mwez tyar kuna mmoja
Anamchepuko

Sembuse hyo jela
Mtu akose kuchepuka
 
Kile kipengele cha kwenye shida na raha kifanyiwe marekebisho.
 
Watu wanaona hawana hata
Mwez tyar kuna mmoja
Anamchepuko

Sembuse hyo jela
Mtu akose kuchepuka
Aisee?........na kuna wengine wanakuwa na mchepuko tangu mwanzo kabisa.......hadi mchepuko anahudhuria harusi yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom