Nina kazi nayo muhimu sanaa.Kwani ungekuwa nayo ungeyafanyia kazi gani?
We polisi?Kazi ipi hiyo?
Wakuu wa jukwaa salamu!
Umefunga ndoa na mpenzi wako,
Ndoa hairuhusu kuachana hadi kifo cha mmoja wapo kitokee,
Mara baada ya ndoa mwenza wako anahukumiwa miaka 4 jela.
Je ungemsubiri bila kuchepuka hadi atoke ili mwendelee na maisha?
Je ungetafuta kamchepuko ka kupoozea wakati ukimsubiri atoke?
Au ungevunja taratibu zote na kufutilia ndoa mbali then utafute ndoa nyingine?
Je wewe ungefanyaje?
Wewe ni KE au ME?Mchepuko ni muhimu kwani dawa ya nyege ni tendo la ndoa na si vinginevyo. Maana utaweza kujichua kwa nyeto ama kwa kutumia matunda (karoti, dodoki, tango, ndizi) hutopata utamu wa ukweli maana joto mwanana na kupumuliwa kunahusika pia.
Wewe ni KE au ME?
Neno ni la kawaida ila maana niliyoielewa ndo ilikuwa na shida.Mimi ni mwanamme....kupumuliwa hakujalishi jinsia.....unataka kuniambia hujawahi kupumuliwa kifuani na mwanamke? Unapompa mwanamke kishindo cha raha/nguvu ile pumzi ya joto kifuani mwako (pale anapokupumulia kwa haraka kabla kukuambia usimuue) inaitwaje?