Kwenye hili wewe ungefanya nini?

Kwenye hili wewe ungefanya nini?

Aisee?........na kuna wengine wanakuwa na mchepuko tangu mwanzo kabisa.......hadi mchepuko anahudhuria harusi yake.
Haa haa haa umeona eeeh

Hii imekaa poah sana

Michepuko ibarwha yake bhana
 
Haa haa haa umeona eeeh

Hii imekaa poah sana

Michepuko ibarwha yake bhana
Kwa jinsi hali ilivyo huwa najiuliza sana ni nani aliyeleta wazo la monogamy,.......inaonekana haikuwa asili yetu.
 
Wakuu wa jukwaa salamu!

Umefunga ndoa na mpenzi wako,

Ndoa hairuhusu kuachana hadi kifo cha mmoja wapo kitokee,

Mara baada ya ndoa mwenza wako anahukumiwa miaka 4 jela.

Je ungemsubiri bila kuchepuka hadi atoke ili mwendelee na maisha?

Je ungetafuta kamchepuko ka kupoozea wakati ukimsubiri atoke?

Au ungevunja taratibu zote na kufutilia ndoa mbali then utafute ndoa nyingine?

Je wewe ungefanyaje?
kuna haki za wafungwa especially kwenye nch zilizoendelea sijui kwa tz
kama mfungwa ameolewa/ameoa anapokua gerezan anamuandikisha mwenzi wake na ushahid juu wa cheti cha ndoa
then kwa mwez yule mwenz wake aliemuandikisha anaruhusiwa kwenda jela wanapewa rum na mda wanafanya sex
nchi kqma hz ni mexco,usa na nyingnezo bt kwa tz sijui kama hii sheria ipo ila haifatwi tu au ndo haipo kabsa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna namna maana ningeenda Mimi jela ht mwezi usingefika angeletwa ndani kwako pia

[emoji23] [emoji23] inawauma sema wanajitoaga fahamu tu
Kitanda hakizai haramu jamani, akirudi basi tunaendeleza alipopakuta tu maana hamna namna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom