Kwenye hili FIFA wanatumia vigezo gani?

Kwenye hili FIFA wanatumia vigezo gani?

malinzi tunataka Taifa stars ya kisasa,sio kila siku yale yale

Taifa Stars ya sasa hata wafanye nini, bure tu.

Vipaji vinatakiwa vianzie chekechea, vipande kama mfumo wa elimu, hapo angalau tutapata wachezaji wachache wa maana.

Lakini hivi viaji vya kuibuka ukubwani, mawee. Mtu anaanza kufundishwa ball control, ball possession, ball position na What Where When Why za mpira akiwa ana miaka 20 unategemea nini? wakati hivyo ni vitu vya kufundishwa chekechea.

Niliisoma program ya Maximo, gozi langu anayo, ni nzuri sana ikifuatwa, alianzia chekechea.
 
Malinzi hana tofauti na wanasiasa, yaani porojo nyingi sana na uroho wa madaraka. Ni rais wa TFF wakati huohuo bado ameng'ang'ania uongozi wa mpira mkoa wa Kagera.
 
Back
Top Bottom